MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,344
- 13,598
Ndani ya Nothingness au simple term empty space siku zote Kuna kitu au vitu vinaendelea.Unathibitisha kutokuwepo kwake matter vs antimatter .
The King of Philosophy in JF 🙌You can't think in hypotheticals without philosophy.
The act of thinking in hypotheticals is philosophizing.
I am humbled sir.The King of Philosophy in JF 🙌
Hahahahahaaaaaaah! Aaaaaah man made my day eeeeeh!Reality: Philosophy is a disease.
Kiranga: Is that your philosophy?
The problem is, we are so açcustomed to philosophy untill it becomes almost uniaginable to live without it.Reality:its just reality.
Brother!Hii mada ni tamu sana, ujinga mwingi na uzandiki wa kifikra umeletwa na hizi Falsafa na Mantiki. Nakuunga mkono kwa maana hii, huu ni ugonjwa hatari sana.
Ukitaka kuwa mjinga na usiwe una fikiria mambo katika uhalisia wake soma Falsafa na Logic kama Elimu.
Nilisoma Falsafa na kadhalika nikasema Logic, sikupata humo zaidi ya kufikiri kama walivyofikiri waasisi wa fikra hizo.
Ubaya Falsafa iliingizwa mpaka kwenye dini. Kwenye Uislamu Ilmu Al Kalam (Inaingia humo Falsafa na Mantiki) zikapelekea watu kuharibu imani na kukengeuka. Waislamu walio ingiza Falsafa ujinga huu waliutoa kutoka kwa wasio kuwa Waislamu.
Ndiyo maana kwetu sisi kujifunza Falsafa ni haramu.
Siyo kweli wasome kina Imamu Shafii utakutana na kauli zao kuhusu Falsafa, watu Hawa walichukua mawazo hayo mgando Toka kwa Wakristo na kuyaingiza katika itikadi ya Uislamu, yakazaliak mapote kama Qaadariyyah, Muutazila, Jahmiyyah, Ashaira na wengine.Brother!
Huo ni msimamo wa Ibn Taymiyyah na walioshika njia yake.
Naomba unipe aya inayosema hivyo au ulivyo DAI Toka kwenye Qur'aan.Lakini wapo wengine waliosema falsafa ipo na maneno ya namna hii yapo hata kwenye Quran. Mfano wa huyu ni Imam Ghazal na wengineo.
Nitajie wanazuoni wakubwa katika Uislamu wenye kuruhusu kusoma Falsafa, Mantiq kuanzia kina Imam Abuu Hanifa, na wengine.Wewe kwako ukiona ni haramu ni mtazamo wako na unaheshimiwa. Kwa wengine si haramu heshimu pia mtazamo wao.
Unaijua Falsafa ? Mimi nimewahi kuisoma na kisadiki. Unajua athari iliyo letwa katika Itikadi ya Uislamu baada ya Waislamu kujifunza Falsafa ? Unawajua Ahlul Qalam ?Na hapa aikhtalifiwi Mtume. Bali inaikhtalifiwa fahamu/uelewa wako na waliyo na ufahamu kama wako.
Kufasiri Falsafa kama Jaribio hii siyo sahihi, na sijaona maana hii hapo kabla. Falsafa ni fani pweke kwayo Ina misingi yake ukitaka kuelewa maana ya Falsafa msome Aristoto na zile Ten Categories (Maaqulat Ashara) zake msome alipokuwa anaelezea chanzo.falsafa ni jaribio la kuelewa na kueleza kwa kutumia akili inayofuata njia ya mantiki. Na mantiki ni aina ya msingi wa kufikiri kwa ujumla jinsi ya kutoa hoja sahihi!
Naanzia chini halafu nitakuja juu!Siyo kweli wasome kina Imamu Shafii utakutana na kauli zao kuhusu Falsafa, watu Hawa walichukua mawazo hayo mgando Toka kwa Wakristo na kuyaingiza katika itikadi ya Uislamu, yakazaliak mapote kama Qaadariyyah, Muutazila, Jahmiyyah, Ashaira na wengine.
Naomba unipe aya inayosema hivyo au ulivyo DAI Toka kwenye Qur'aan.
Inaonekana humjui Imam Al-Ghazal, kwanza kipindi chake alibishana nao sana watu Hawa na mpaka akaandika kitabu kiitwacho "Tahafut Al Falaasifa" itakuwa humjui Imam Al-Ghazal, japo aliathariwa na watu hao mpaka akawa Ashaira, ila inasemwa kabla ya mauti yake alitubu.
Wengine walio tubia kutokana na fikra hizo za kifalsa ni Imam Abu Musa Al Ashaariy, Imam Abul Maali Al Juweiny. Soma haya mambo upambaukiwe kijana inaonekana uko mbali na hivi vitu.
Wanazuoni wengine walio isema vibaya Falsafa,Ilmu Al Kalam, Ilm Al Mantiq ni Imam Al Harawi katika kitabu chake "Dhamu Al Qalam wa Ahlihi" kadhalika Imam Suyuti, Sasa unaposema ni msimamo wa Imam Ibn Taymiyyah unaonyesha wazi kwamba huna ulijualo juu ya haya mambo.
Nitajie wanazuoni wakubwa katika Uislamu wenye kuruhusu kusoma Falsafa, Mantiq kuanzia kina Imam Abuu Hanifa, na wengine.
Unaijua Falsafa ? Mimi nimewahi kuisoma na kisadiki. Unajua athari iliyo letwa katika Itikadi ya Uislamu baada ya Waislamu kujifunza Falsafa ? Unawajua Ahlul Qalam ?
Kijana huijui Falsafa, ndiyo maana unasema maneno haya, ukiwasoma Ashaira wao kutokana na hizo fikra wakakanusha sifa za Allah na kuthibitisha sifa sita tu, lakini chanzo ni wao kuathirika na falsafa wakatumia akili zao kumeuelezea Allah, wakaacha nususi (Qur'aan na Sunnah).
Kufasiri Falsafa kama Jaribio hii siyo sahihi, na sijaona maana hii hapo kabla. Falsafa ni fani pweke kwayo Ina misingi yake ukitaka kuelewa maana ya Falsafa msome Aristoto na zile Ten Categories (Maaqulat Ashara) zake msome alipokuwa anaelezea chanzo.
Tumia Misingi ya Mantiki kuelezea chanzo Cha Ulimwengu na kumuongelea Muumba. Ukipatia Mimi naacha kutumia hii jf. Sasa Mantiki kama mnavyo fasiri ni njia ya kumfanya asikosee katika kujenga hoja kwa kutumia akili.
Kingine, unakubali ya kuwa akili ina ukomo ?
Hoja yako hapa iko wapi ? Kwahiyo unatafakari kwa kurejea akili yako yenyewe au kuerejea nususi za kisheria ?Kwa mfano Mungu akisema ona au angalia! Au akisema isipokuwa kwa watu wenye akili au wenye kutafakari! Na maswali ya namna hii Mungu kayatumia zaidi maumbile ya uumbaji ambayo binadamu anayoshuhudia kwa kuyaona kwa macho yake.
Unakielewa ulichokiandika ? Falsafa na maneno kipi kilianza ?Unapofikiri ni unafanya jaribio la akili la kuelewa hapa unatumia falsafa. Ili msingi wa kufikiri wa kutoa hoja iliyosahiji hapa unatumia mantiki (Logic).
Ondoa Tamko "Bahati" nasibu katika hiyo maana. Sababu Lugha ametuumbia Allah ili tuwasiliane ndiyo maana Zina kanuni na misinformation anuai.Tufahamu lugha ni sauti za bahati nasibu: Pengine labda neno falsafa ndilo linaloshindwa kueleweka. Ukisema falsafa haifai kisa kuna nyengine za hovyo utashindwa kueleweka. Kwa sababu kisu huwezi kukitia uharamu kwa vile wengine wanatumia kwa kuulia.
Kijana umefafanua wapi ? Na uhalali wake uko wapi ?Nimejaribu kufafanua zaidi hii uliyosema haramu ili kuweka sawa. Wenye misingi yao watakoasema inafaa waache watumie. Na wenye misingi yao wataosema haifai waache wasiitumie.
Narudi kwenye Qur'aan soma Surat Al Ikhlwas.Naanzia chini halafu nitakuja juu!
Fulani anasema yeye ni mungu au Mungu anasema yeye ni Mungu!
Utajuaje kama hii ni kweli au si kweli bila kutumia mantiki (logic)?
Aidha, ni maana ya falsafa?
Umefanya kama huyu mwamba nadhani ni Betrand Russel na mwenzake, walijenga hoja fulani hadi wakapata majibu yalofuta hoja zoooote hadi hiyo hoja yenyewe.Haya mambo nimeyafatilia kwa undani sana na kwa muda mrefu sana. Shida vijana wengi wanavutiwa na Sanaa ya kucheza na maneno tu, ila watu waliishi katika mambo hayo na wakaja kutubu na ni mabingwa, na kuzama zilifika Wanafalsafa walionekana wajinga na kituko balaaa.
Miaka hiyo nilikuwa najivunia sana Falsafa na kul kujenga hoja ila kadiri nilivyokuwa nazidi kusoma na kufatilia mambo haya kwa undani nikawa najiona mtupu sana.
Mfano waangalie Wakana Mungu wengi hata Hawa ambao tuko nao humu ndani, ni wajinga kuanzia kwenye kujenga hoja mpaka kwenye kujibu maswali.
Brother!Hoja yako hapa iko wapi ? Kwahiyo unatafakari kwa kurejea akili yako yenyewe au kuerejea nususi za kisheria ?
Au ukoambiwa fikiria wewe unaelewa nini ?
Bado unakumbuka!Narudi kwenye Qur'aan soma Surat Al Ikhlwas.
Kingine usikimbie mjadala. Maana huwa unasema unaenda kufatilia halafu unapotea mazima. Leo naona umekuja tena
Sasa utilize akili na ujenge hoja na kama jambo hulijui Bora useme hulijui.
Tuendelee ...
Umenena vema 👍Kutokana na fumbo pande zote mbili haziwezi kwenda mbali zaidi kwa kutafuta majibu ambayo fumbo hilo huwa kikwazo kutengeneza fikra sahihi kutokana na ukomo uliopo ambao hauwezi kupata majibu sahihi.
Hii hupelekea pande mbili kutokuona haja ya kuamini mawazo na fikara sahihi ambazo kila pande huamini kile kilichopo kutokana mazingira ya mawazo ambayo yamejengwa katika misingi ya kila pande kuukubali ukweli au kutokubali kulingana na ukomo wa fikra na mawazo juu ya uwepo wa fumbo.
Sio rahisi kwa pande moja kukubali hoja za pande nyingine maana kila pande huona hoja na mawazo yatolewayo na pande nyingine hayana mashiko kutokana na fumbo ambalo kila pande haina uthibitisho wa kuwepo au kutokuwepo kwa kitu husika.
Kila pande hutengeneza hoja za kimsingi ambazo huaminiwa na wafuasi wa pande husika ambapo hupingwa na kuleta mjadala mkubwa kwa pande nyingine ambayo hutumia mawazo na fikra zilezile kuuliza maswali ambayo huwa na majibu mengine hayana .Hii hupelekea mjadala mkubwa baina ya pande hizo mbili kwa kupingwa hoja zitolewazo na kila pande.
Hitimisho hutolewa na kila pande ingawa hupingwa pia na pande nyingine maana mawazo na fikra hukumbwa na fumbo.
Hahahahaaah, reality wewe ni uatari kiukweli. Tunasema unyama ni mwingi mwaisa aseee🤨.Wakwangu unajua sifa zake mpaka utake uthibitisho?
Huyo mr.misifa umwambie adrop Ego thubutuThe problem is, we are so açcustomed to philosophy untill it becomes almost uniaginable to live without it.
I agree this is the way because even the great taecher, a master indeed once said 'Ili kuingia ufalme wa nbinguni mtu ajikane nafsi yake kwanza'. It is like saying drop everything you think you are, drop all ego attachments. In fact drop even the thing you think you ARE! That thinking! That you are droping ZERO, ZIP..
True nishaelezea hili mpaka nimechoka,logic ndo njia yakufikia illogical,na ukifika illogical logic haina maanaUmefanya kama huyu mwamba nadhani ni Betrand Russel na mwenzake, walijenga hoja fulani hadi wakapata majibu yalofuta hoja zoooote hadi hiyo hoja yenyewe.
Yaani ni kama mtu atumie ngazi kupanda juu kabisa halafu akifika huko ndio ataona uhalisia kwamba vyote havina maana (iwe chini, iwe juu chochote) hadi hiyo ngazi alopandia haina maana nayo anaichomelea mbali anabaki yeye tu.
Lakini bwana REALITY pamoja na Kiranga mnasumbuana kitu kidogo sana. Kimsingi ni kwamba falsafa ni kama ngazi ambayo bila hiyo ni ngumu kufika juu na kujua kwamba haina maana. Lakini bila hiyo tena (na bila chochote) tena unabaki chini ambapo napo hakuna maana! I hope wote mtaelewana.
Falsafa ni ya muhimu katika kuuelewa uhalisia na kuufikia, na uhalisia ni kama kilakitu na hamna kitu vyoote!!
Unadhani haelewi anajitoa tu ufahamuHahahahaaah, reality wewe ni uatari kiukweli. Tunasema unyama ni mwingi mwaisa aseee[emoji2955].
Maana tukifanya kuashumu kwamba unaye huyo Mungu 'Wa kwako' sifa zake zipo kwenye totality na ndio nothingness. Sasa akija mtu awaye yote kukutaka kuthibitisha kwamba 'nothing' exists anakuwa hana akili maana we all know that nothing exists. Na kuleta uthibitisho wake itakuwa ni sawa na kuleta uongo maana watu watakuuliza "bro ulisema ni nothing sasa hii 'something umeitoa wapi"
Lakini pia haiishii hapo mfano ukasema sifa yake ni 'everything'; atakayekuomba uthibitisho atakuwa pia hana akili maana hiw can you bring everything in front of anything just in order to prove that everything exists!!! Na pia hata ikiwezekanaa, utakuwa ni uongo maana hata huyo anayethibitishiwa pia anapaswa kuwa ndani ya hiyo 'everything' utakayoipeleka kama evidence.
All in all ulimaliza yote pale ulipojadili ukasema kwamba TRUTH IS ONE, Kweli kama kitu ni cha kweli hakiwezi kutengana na ukweli mwingine ili kuuthibitisha maana vinakuwa moja tu ziiiip.
Kwanini Wanafalsafa wote katika harakati zao walishindwa kupatia katika chanzo Cha Ulimwengu. Rejea historia ya Wanafalsafa wa kale wa Magharibi, kina Socrates, Aristoto, Plato na wengine ?Falsafa ni ya muhimu katika kuuelewa uhalisia na kuufikia, na uhalisia ni kama kilakitu na hamna kitu vyoote!!