Philosophy is a disease for both theists and atheists

hatuelewani sehemu hii, unakubali Falsafa ni fani yaani elimu pweke ? Kama unakubali maana yake Inauanzilishi wake, Ina misingi kwayo ikafanya Falsafa isiwei Fizikia wala isiwe Kemia wala isiwe Hesabu. Sasa tumia hiyo Falsafa kama fani kuonyesha umuhimu wake
Sikuwa nnaongelea hiyo falsafa kama fani ama nn. Nilikuwa nnaongelea tu kama akina vile nember wachache humu walivyokuwa wanasema ukitumia lugha tu ni falsafa, ukitunga sentensi tu ni mantiki. Sio kama fani ya kumsoma fulani na fulani. Ni ule umaana wenyewe tu.
 
Walishasemaga 'Truth (just like beauty too) is best adorned when unadorned'

Mimi suala lolote linalotumia akili kutafakari kuhusu vipande vya ukweli ili kuviunganisha na kuifaidi ile maana ya hivyo viukweli ili kujenga ukweli mzima nnaona ni falsafa na mantiki tayari.

Sasa utaniambiaje havina kazi?
Umeona ulicho kiandika ? Ndiyo maana nasema hivi Falsafa ni mchezo tu kama michezo mingine bali ni kama mazingaombwe, angalia ulichokiandika ni kama vile unataka kulazimisha tuamini ya kuwa Kuna kweli nyingi wakati si kweli unaposema vipande vya ukweli maana yake ukweli hauwezi kusimama kwa wenyewe wakati ukweli ndiyo uhalisia na unajitosheleza mfano Leo hii naposema mtoto ni mdogo kuliko baba, huu ni uhalisia na umejitosheleza wenyewe hauhitaji kuungwa na mwingine, huu ndiyo ukweli Sasa unaposema vipande vya ukweli ukiing'amua his kauli yako haina maana kilugha wala kisheria. Sasa haya ndiyo maneno ya Falsafa yaani kila wa kala nyinyi ilimradi tu kuyakuza mambo na kuyafanya yaonekane magumu mambo mepesi.
 
Sikuwa nnaongelea hiyo falsafa kama fani ama nn. Nilikuwa nnaongelea tu kama akina vile nember wachache humu walivyokuwa wanasema ukitumia lugha tu ni falsafa, ukitunga sentensi tu ni mantiki. Sio kama fani ya kumsoma fulani na fulani. Ni ule umaana wenyewe tu.
Sasa hao memba waliongopa kutumia Tamko Falsafa kama fani sehemu ambayo wanadai ni wazo tu, na ukitumia Falsafa kinyume na fani inakuwa haina maana sababu inakuwa inatoka ile maana ya Philo na Sophis/Sophy Sasa kwa maana hii itakuwa na maana gani Falsafa ? Ukweli ni kwamba wanatumia Falsafa kama fani na si kinyume chake. Ukitumia kwa maana ya "Loving Wisdom" itakuwa haina maana mno.
 
I know a man goes by name Socrates, he was referred as Great philosopher in ancient Greece. He ince say what he know is that he know nothing.
 
angalia ulichokiandika ni kama vile unataka kulazimisha tuamini ya kuwa Kuna kweli nyingi wakati si kweli unaposema vipande vya ukweli maana yake ukweli hauwezi kusimama kwa wenyewe wakati ukweli ndiyo uhalisia na unajitosheleza mfano Leo hii naposema mtoto ni mdogo kuliko baba, huu ni uhalisia na umejitosheleza wenyewe hauhitaji kuungwa na mwingine, huu ndiyo ukweli Sasa unaposema vipande vya ukweli ukiing'amua his kauli yako haina maana
No, hakuna kweli nyingi Ukweli ni mmoja tu huo niloita truth. Halafu vipande vyake vipandepande vinavyoijenga huo ukweli ndio nimeita facts.
Mfano; Fact one1. Baba hubalehe akiwa na umri wa miaka kadhaa.
Fact two2. Mtoto huzaliwa akiwa na umri wa miaka sifuri.
Fact three3. Baba ni aliyezaa/zalisha mtoto.
Truth: Baba ni mkubwa kuliko mtoto. Truth haijapingana na fact bali imezihusianisha na kuzipa maana. Hivyo tu simple. Falsafa inafaa sana hasa kwa kuwa tunaishi duniani na tunatumia sayansi kutawala maada. Ingekuwa hatukuja japo kujifunza chochote huku sasa si tungeanzia na kubakia tu mbinguni moja kwa moja.
 
Falsafa ina dumaza sana akili kijana, angalia mtiririko ulio uweka Kuna nukta umeziweka hazina haja ya kuwekwa wala hazihitaji ufafanuzi bali hazina uhusiano kwa maana ziko wazi na zinapingana na lugha.Baba habelihi baba ameshabalehe tayari. Hapa umeonyesha ufinyu wa maarifa juu ya baba. Hakuna umri sifuri kijana si katika lugha wala popote.
 
Hahahahaaaah! Haiya.
 
In fact drop even the thing you think you ARE! That thinking! That you are droping ZERO, ZIP..
Man your think like a philosopher before 1596 , before Rene Descartes. Unachofikiria huyu mwamba alisurmarize.

"I think, therefore i am"
 
Kweli hakuna jipya chini ya jua, ni sura tofautitofauti tu za kitu kilekile.
 
Hapa upo sawa, nobody can prove that nothingness exists. One can only know that nothing exists.

To prove one needs something already, but if you think about it everybody just know that nothing is
How do you know anything about everybody? Aren't you assuming.

I don't subscribe to the idea that nothingness or nothing exists outside of the world of abstract ideas.

How do you prove that nothingness exists? Doesn't nothingness inherently mean non-existence?

Do you mean to say non-existence is existence?

Isn't that a contradiction?
 
Man your think like a philosopher before 1596 , before Rene Descartes. Unachofikiria huyu mwamba alisurmarize.

"I think, therefore i am"
Ukishaanza na "I" tu, umesha conclude kuwa upo kabla hata ya kufikiri.
 
How do you know anything about everybody? Aren't you assuming.

I don't subscribe to the idea that nothingness or nothing exists outside of the world of abstract ideas.

How do you prove that nothingness exists? Doesn't nothingness inherently mean non-existence?

Do you mean to say non-existence is existence?

Isn't that a contradiction?
I was assuming. I know myself so I just assumed it might apply to others. There is no way I can be sure.

I might agree that nothingness is abstract an idea and it still it is real nonetheless.

I repeat. Can't prove that. But you can know

The contradiction is real in a single polarity you choose. But if one accept the total(and by that also means the none). All contradictions dissapear
 
That is a lot of mumbo jumbo.

Nothingness does not exist.

Because once it exists, it ceases to be nothingness.

It becomes something in existence.
 
A function of a man is to think, and maybe that is the why we are here, on surface of this stone traveling though endless space.
It is no longer politically correct and appropriate to refer to humanity as man. Because that is archaic, exclusive, patriarchal and gender specific.

That whole "I think, therefore I exist" mantra, as proof of existence, is putting the cart before the horse though.

You start by thinking you exists anyway, that is why you start with I.

It is like saying "I exist and think, therefore I exist"

A tautology.

Also, how do you know that thinking and existence must coexist?

After all, we have good reason to think a lot of things exist without being able to think.

How do you know that it is impossible to think without existing as an "I" entity?

If we create some sophisticated software logic that is capable of thinking, through Artificial Intelligence for example, will it be justified to say "I think, therefore I exist"?

Will that software logic become a person with an "I" self identification?
 
A function of a man is to think, and maybe that is the why we are here, on surface of this stone traveling though endless space.
I think this explains something, one can not exist in this world he/she ceases to think.

Maybe we are here to also learn how to think, because what we see changing from infancy to old age is mostly the thinking in a person.

Yes the body changes a lot too, but because at death it is droped at death it serves as a proof the body is unimportant kiivyo.
 
I was assuming. I know myself so I just assumed it might apply to others. There is no way I can be sure.

I might agree that nothingness is abstract an idea and it still it is real nonetheless.

I repeat. Can't prove that. But you can know

The contradiction is real in a single polarity you choose. But if one accept the total(and by that also means the none). All contradictions dissapear
Forget about other the only proof of existence available to you at any given moment is you are something that think. And it advised to not trust stimulus from senses to base your existence.
 
think this explains something, one can not exist in this world he/she ceases to think.
I agree
Maybe we are here to also learn how to think, because what we see changing from infancy to old age is mostly the thinking in a person.
Spiritual we are here in this simulation like/ game like experience, we call life to develop our primitive conscious to higher dimensions of existence. The goal is for us human to understand we are one, hence no need of conflict, just like great have reveal to us " love your neighbor like yourself". Any person who can look at other person without single judgement the path is clear for him, cause he have reached higher dimensions.

It seam we are wicked one left here, punished by pain of existence and we will continued to be born in other forms of life until we did something right with our thinking, until we reach Nivarna.
 
Samadhi,satori
 
Exactly.!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom