Unaelewa ila unajifanya umekufa,thread nzima irudie nishakujibu maswali yote ya kijinga yangu yote matatu umeruka sasahivi sioni ukisema usitumie logic kwasababu unadhani mimi ni mpumbavu utacheza na akili yangu kuwa nimesahau ukipewa hoja unaikwepa unasema this is rubbish kama nani labda ,wewe ndo takataka unaye spin vitu vya msingi thread nzima imejaa thibitisha,prove,logic,philosophy,ukijibiwa badala ujibu unabaki tu usitumie sasa logic,ooh hapo bado hujaprove bado,ooh hapana hiyo ni rubbish ,mi siko hapa kuimpress mi ego ya watu weka hoja pangua hoja swali la number kule umekimbia,la yupo umewarushia mpira wakristu na waislamu ,nimekuuliza can everything exists withput nothingness,ndo umeanza kuruka ruka ka marage mi sio theists hao kila kitu thibitisha,mara muweza wa yote kila post,we jibu maswali yangu kama yalivyo ,mind tricks ni michezo ya karata hatuchezi kamari hapa wala hatushindani tunaelimishana umekazia mabishano tuuu,mi nshamaliza kama unataka iface hiyo thread niliyoiweka upangua hizo hoja,hujajibu hata moja just personal attacks na kujikuza weee that pride is nothing than agony ,na sipo hapa kukupangia uweje nipo hapa kupangua hoja hatua kwa hatua si kombolela ah ah