Philosophy is a disease for both theists and atheists

Nataka uulize bila kutumia logic wala falsafa, maana umesema ziko diseased.

Acha unafiki.
Ulinipinga kwa logic,nimekuuliiza kwa logic ,nataka ujibu ,wakati unapinga ulikuwa huoni kuwa natumia logic ,mpaka swali limekuja Unapotezea eti uliza illogically unakimbia kwa style zako zilezile za kila siku,najua kwanini hutaki kujibu hilo swali, na uelewe ndo hivyo, najua jibu unalo.
 
Kwa nini unataka kutumia logic wakati logic ni sehemu ya falsafa na wewe umesema "philosophy is diseased"?

Kwa nini unatumia kitu kilicho diseased?

Si utumie mfumo wako mwingine tu ambao hauna logic na hivyo hauna falsafa na hivyo hauko diseased?

You are contradicting yourself.

But I doubt you know what a contradiction is.

After all, you despise logic.
 
Wewe ndo ulionzisha logic na philosophy?
Acha kujitoa ufahamu jibu swali halafu ntakujibu why?swali hili la tatu unakimbia kwa style hi hi
 
Huwezi kuuliza swali bila kutumia logic. Dhana ya swali ni logic tayari.

Sasa wewe unayesema logic ni ugonjwa mbona unauliza swali kwa kutumia logic tena?
 
Nishajibu hilo hapo awali ,jibu swali
 
Liulize nje ya logic.

You are contradicting yourself.
Hizo ndo fallacy za atheists,mkibanwa mnatafuta root escape,inshort hilo swali ambalo unalikimbia muda wote ndo MUNGU,maswali yote awali hukusema kuwa illogical sasahivi umeona umetaitishwa unaanza vimind games vyako
 
Thibisha kuwepo kwa Mungu, km sio imani tyuuh na sio uhalisia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mada inaongelea jinsi LOGIC inashindwa kumwelewa MUNGU ndo maana katika mada nikasema ukitaka kumjua MUNGU kwa kutumia logic huwezi,kama huwezi huo ni ugonjwa haukusaidii kufahamu kilicho non-reasonable kwa kutumia logic maana hicho mnacho bishana kipo nje ya logic ni illogical,atheists na theists wanafanya argumentation na sio understandings,kama mtu kakupa logic kuwa if you want to experience the illogical drop the logical,we utakubali na ndo unategemea hapo?mbona simple,philosophy haiwezi leta jibu la mabishano yao unless waachane nayo kwa hiyo mada mezani ni kama UGONJWA kama hujaelewa na hapa una matatizo au your prisoned in an ego
We ni kilaza

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo
Screenshot_20221230-002740.jpg
 
What do you mean? Philosophy as a desease! It means if you study philosophy in detail you can either kill theism or atheism. If you kill both, then what is the meaning of life?
 
make your own definition and enjoy,who do you expect will raise a definition for you,and if you know it so what?life is just living ,enjoy the present
 
Hizo ndo fallacy za atheists,mkibanwa mnatafuta root escape,inshort hilo swali ambalo unalikimbia muda wote ndo MUNGU,maswali yote awali hukusema kuwa illogical sasahivi umeona umetaitishwa unaanza vimind games vyako
Usipokubali logic unajuaje hii fallacy na hii si fallacy?
 
Back
Top Bottom