Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,902
- 145,987
Unajuaje Mungu yupo kweli na si hadithi ya uongo tu?Mada inaongelea jinsi LOGIC inashindwa kumwelewa MUNGU ndo maana katika mada nikasema ukitaka kumjua MUNGU kwa kutumia logic huwezi,kama huwezi huo ni ugonjwa haukusaidii kufahamu kilicho non-reasonable kwa kutumia logic maana hicho mnacho bishana kipo nje ya logic ni illogical,atheists na theists wanafanya argumentation na sio understandings,kama mtu kakupa logic kuwa if you want to experience the illogical drop the logical,we utakubali na ndo unategemea hapo?mbona simple,philosophy haiwezi leta jibu la mabishano yao unless waachane nayo kwa hiyo mada mezani ni kama UGONJWA kama hujaelewa na hapa una matatizo au your prisoned in an ego
Tuseme kwamba ukutaka kumuelewa Mungu usitumie logic.
Sawa.
Mimi nakuambia mimi ndiye Mungu, niamini.
Utajuaje hilo ni kweli au si kweli bila kutumia logic?