Kwani si wanasemaga mwanaume akifa anaenda mbinguni kuandaliwa mabikra 72 na madimbwi ya pombe? Maana yake baada ya kifo ni mwendo wa kuchakata mbususu na kulewa milele!!
Toka kuanza kwa maisha ya viumbeFalsafa unajua imeanza lini?kazi ya falsafa ni kulisha akili yako matumaini kuwa unajitambua na una uwezo wa kudadavua na ya kuelewa mazingira ,lakini kiuhalisia ni kinyume chake
Hii ni kujilisha upepoSiwezi kufa form yangu ndo inakufa na kubadilika ,sasa ntakufaje?ni mwili ndo unakufa sio mimi,mimi ni uwepo tu ndani ya mwili,na ubongo ndo keyboard na monitor yangu dats all
Philosophy can't be whatever. It Is definite. It's a knowledge of all that is knowable by the power of reason.Whatever it might be still the sun will rise and set and waters from the river will still flow,its only jargons will be added to impress the ego of a fearful being
InaonekanaHaya ya fundamental biology tuwaachie form 3 huko,mwanasayansi anakuambia what he sees not what it is
3.5 billion Miaka iliyopita.Maisha yameanza lini?na ni nani au nini kimekutaarifu maisha yalianza?
Day dreamerUwepo mi si kitu
Mbegu ina jitambua?Unakumbuka mazingira uliyopo ukiwa mbegu?
We jamaa bana, ubudha umekuingia haswaUwepo mi si kitu
Kwani ni vipofu?Inaonekana
Umeisoma biology mwisho o- level.
Pole
Kwa hiyo Wanasayansi waliona?
Electricity
Positive na Negative charges
Heat
Bing bang theory
Crunch theory
Energy (kinetic energy and static energy)
Photon's
Electron's
Neutron's
Proton's
Radiation
Ultra Violet light
Frequency
Kumbuka Kuna Cause and effect ya kila kitu.
Halafu alikuambia nani mpaka waone?
Ni kweli ila nimewaambia huo mjadala wao wa Mungu falsafa kamwe haitawapa jibu ni hilo tu,ila sina shida na falsafaNdugu mleta mada
Hoja yako inamashiko kweli kweli lakini utakutana na upinzani mkali wa hoja and trust me u will fail
Kwa sababu umeizungumzia falsafa kwa ujumla badala ya ku specialize kwenye kipengele husika.
Wewe hukubali logic na philosophy, unajua swali la Yes/No tayari ni swali la logic?Mimi si atheist wala theist na kwenye mabishano yenu ambayo ni endeless hayanisaaidi.
Nijibu swali langu can everything be without nothingness?
Yes/no
sio unatumia philosophical tricks kukwepa maswali,hizo kajanja ni zako ni hazinisaidii chochote ,jibu huwezi stay quiet