vijembe wapi mkùu tupe hoja mangulaàliongoza makatibu wakûu wa vchama kuanzia mikoani mpaka mashinani vp babu?
japo post si yangu naomba nikwambie tuache ushabiki wa kiroho huwezi kumlinganisha mangula na slaa kwanza mangula aliongoza CCM kama taasisi na wanachama wengi huwez kumlinganisha na slaa anaeongoza kampuni jadili kisomi mkuu
Wadau kama
tuwajuavyo majembe hayo mawili wote wamepata kuwa na hadhi ya ukatibu
mkuu wa chama ingawaje mpaka sasa dr. slaa bado ni katibu lakini katika
utendaji wao hawa watu kila mtu ana mafanikio yake hasa historia zao za
kutukuka sasa je kati ya hawa unafikiri ni yupi ana mvuto na uwezo zaidi
wa kiuongozi?? piga kura yako
mangula nafikiri ni zaidi coz ameongoza CCM taifa zima na kama tujuavyo CCM na CDM ni mlima na kichuguu huwezi kusema slaa anamzidi mangula vinginevyo ni utashi wako binafsi
hahaha hivi 2005 ushindi ule ni CHAKACHUZI?
kiazi we!!unaleta mada tupige kura halafu unaleta ushabiki..ulitakiwa kuwa neutral gamba wewe
tena ndo uchakachuz wa aibu,lipumba nlimsikia siku moja anasema hata kwenye kituo ambacho alipigia kura alipata zero.
vp mradi wa karatu mkuu? KAVIWASU?
Hahahahah jamaa unaota!!! zinduka for God's sake this is Dec 2012....huyo mangula aliiongoza ccmweli kipindi kipi??? na kwann walimweka pembeni??? na kipi kilichowafanya wamrudishe tena??? mangula is history...dr.slaa is the hottest news in town!!!
mazingira magumu kudidimiza akina ZZK??? MANGULA kaongoza akili za watu 6,000,000 vp huyo babu yenu??