Rais Kikwete yupo karibu na watu wengi, katiba imemruhusu kuchagua viongozi wengi tu serikalini kuanzia Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wilaya, Wakuu wa Wizara na wengine.
Ufisadi kafanya Philemon Luhanjo, lawama umpe JK una ukili kweli wewe.
Ipo siku wajanja watakupora mke wako lawama zote utampa Kikwete.
Ngoja hii niifuatilie vema nikipata data zaidi nije kumchana jf hakuna cha kuficha.
Ipo siku wajanja watakupora mke wako lawama zote utampa Kikwete.
kuna watu hapa ninadiriki kuwaita mbwa kwa kuwa wamekosa uzalendo na watumwa wa kifikra na mawazo.hapa jf sijawahi kusikia,kuona wala thread ikiwatuhumu wazungu kuiba rasilimali,kudhalilisha utu wa mtanzania.kama luhanjo amechukua pesa amerudisha pesa/mali walizotuibia wazungu na kama wanataka report basi na wao walete report ya rasilimali walizotuibia.pambavu!
Huna lolote mnafiki tu wewe, ufuatilie nnNgoja hii niifuatilie vema nikipata data zaidi nije okumchana jf hakuna cha kuficha.
Haya manyang'au ya CCM ni wevi, walafi na hayana hata uso wa aibu na huruma...yanakula bila kuogopa au kuchoka na yajiandae, yatakula sana hadi udongo siku ya kufa...watoto wa jamii ya tanzania wanaoteswa na njaa na umaskini, watcheza na kushangilia juu ya makaburi Yao...CCM ni wafu wanaotembea.
Close associate of JK!!yaani kwa wazungu hapo maana yake they suspect rais anahusika ingawa hawajamtaja direct
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Luhanjo kuwa karibu na JK katika utumishi wa serikali haimaanishi kuwa Luhanjo ni malaika,Hata Yuda alimgeuka yesu akiwa moja ya wanafunzi wake watiifu na kumuuza.CCM hatuna tabia ya kuoneana aibu wala kufumbiwa macho madudu.Hayo mambo yako huko kwenu mnakoburuzwa kama misukule.CCM ni maslahi ya chama na mtu baadae kwani hata huyo JK akimaliza muhula wake atakuja mwengine kuongoza chama na serikali.CCM hakuna mwenye haki miliki na chama kama ilivyokuwa Chadema chenye sura ya ukanda na wenye kukimiliki binafsi.
soma vizuri hapo kwamba ni close man with jakaya kikwete.
Sasa sijui kama una guts za kumchana jk, je ujila wa buku 7 utalipwa na nani? Si ndio mwanzo wa kukimbia mji huu.