Philemon Luhanjo ni Mwizi-Norway’s newspaper

Philemon Luhanjo ni Mwizi-Norway’s newspaper

Soma vizuri hapo kwamba ni close Man with Jakaya Kikwete.

Sasa sijui kama una guts za kumchana Jk, je ujila wa buku 7 utalipwa na nani? Si ndio mwanzo wa kukimbia mji huu.
Rais Kikwete yupo karibu na watu wengi, katiba imemruhusu kuchagua viongozi wengi tu serikalini kuanzia Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wilaya, Wakuu wa Wizara na wengine.

Ufisadi kafanya Philemon Luhanjo, lawama umpe JK una ukili kweli wewe.

Ipo siku wajanja watakupora mke wako lawama zote utampa Kikwete.
 
Hatari sana....Nina wasi wasi huenda NGO nyingi hasa zinazoongozwa na watanzania zinaingiliwa na serikali au Watu fulani kwa mgongo wa serikali...haiwezekani mtu/Watu wachache waharibu Sura ya nchi kimataifa na taifa lisichukue hatua....sio bure
 
Ngoja hii niifuatilie vema nikipata data zaidi nije kumchana jf hakuna cha kuficha.

Ni wewe Simiyu Yetu tunayekufahamu, au kuna jamaa kaiba password yako..??
Simiyu Yetu, njoo huku, kuna mtu kaiba password yako...
Unaonekana una-comment kama m-Tanzania mzalendo, kinyume kabisa na 'ajira' yako...
 
Last edited by a moderator:
maCCM hakuna kustaafu,kaiba serikalini,kaenda tena kuiba kwenye NGO!!!TANZANIA BILA YA SHERIA KALI KAMA ZA CHINA TUSIJIDANGANYANE HATUFIKI POPOTE KIMAENDELEO
 
Rais Kikwete yupo karibu na watu wengi, katiba imemruhusu kuchagua viongozi wengi tu serikalini kuanzia Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wilaya, Wakuu wa Wizara na wengine.

Ufisadi kafanya Philemon Luhanjo, lawama umpe JK una ukili kweli wewe.

Ipo siku wajanja watakupora mke wako lawama zote utampa Kikwete.

Ritz kumbe upo..??
Ningeshangaa sana kama usingekuwa hapa 'kumtetea' fidasi mwingine 'aliyegunduliwa' hivi karibuni.
CCM ni chama vha mafidadi, ila kila mkiambiwa hamtaki kusikia....Oneni sana, kila kukicha fisadi 'mpya' anaumbuliwa.

Copy: ZeMarcopolo, FaizaFoxy na Mamndenyi.
 
Last edited by a moderator:
Rais Kikwete yupo karibu na watu wengi, katiba imemruhusu kuchagua viongozi wengi tu serikalini kuanzia Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wilaya, Wakuu wa Wizara na wengine.

Ufisadi kafanya Philemon Luhanjo, lawama umpe JK una ukili kweli wewe.

Ipo siku wajanja watakupora mke wako lawama zote utampa Kikwete.
kama ni hivi,mtumishi mkuu waserikali kaiba hivi nani wa kumuamini tena katika jamii yetu!!mzee na mvi kakosa hata pesa ya kumpa accountant achakachue mahesabu ya warsha nyingi,give aways kibao kama tshirts,posho ya walinzi wa msitu etc!!amefanya hivyo kwa kiburi cha ikulu usibishe
 
maCCM hakuna kustaafu,kaiba serikalini,kaenda tena kuiba kwenye NGO!!!TANZANIA BILA YA SHERIA KALI KAMA ZA CHINA TUSIJIDANGANYANE HATUFIKI POPOTE KIMAENDELEO
Sheria za China zikiletwa Tanzania basi ujue safu ya uongozi wa juu Chadema hakuna atakaebaki.Ruzuku peke yake itasababisha wote kuchezea kitanzi acha pesa za wafadhili,wake za watu na ulaghai
 
Sasa hata wenyewe wakiamua kufuatilia miradi wenyeji tunadai tunadhalilishwa .....Tanzania jamani!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ngoja hii niifuatilie vema nikipata data zaidi nije kumchana jf hakuna cha kuficha.

Thubutu yako!!
umchane nani wewe, halafu ukale polisi?

Endelea kuwapigia makofi tu.
eti umchane, kakupunguzia ujira nini? Inaonekana unapigwa buku 1 sasa badala ya 7 nini?

Njaa itakutoa roho wewe, sitaki kuamini kama unaweza kuwa na chembe hata ndogo za akili na uelewa.

nafikiri hata wazazi wako wanajuta kwanini hawakukutupa jalalani enzi hizo kama wangejua mapema kuwa wamezaa janga ktk familia.

Ok mi niwapongeze lakini pia niwape pole wazazi wako kwa uvumilivu wao kwani wanaamini ktk falsafa ya kazi ya mungu haina......

Wewe ni janga kwelikweli, hujitambui na hujielewi.hivyo kumchana huyo jamaa yatakuwa ni matokeo ya njaa but not insight.
 
Luhanjo kuwa karibu na JK katika utumishi wa serikali haimaanishi kuwa Luhanjo ni malaika,Hata Yuda alimgeuka yesu akiwa moja ya wanafunzi wake watiifu na kumuuza.

Haikuchukua Muda Yesu aliijua nia ovu ya Yuda. Yuda alijinyonga.
Kwa Miccm ni tofauti. Kampuni binafsi ya ukaguzi wa hesabu imetoa ripoti Ministry of International affairs wameificha. Dalili za Luhanjo 'kujinyonga' hazipo na hazitakuja kuwepo.
Sababu ni moja tu, Luhanjo alimgawia JK sehemu ya pesa ili aongezee mtaji wa biashara yake ya PODA
 
Luhanjo kuwa karibu na JK katika utumishi wa serikali haimaanishi kuwa Luhanjo ni malaika,Hata Yuda alimgeuka yesu akiwa moja ya wanafunzi wake watiifu na kumuuza.CCM hatuna tabia ya kuoneana aibu wala kufumbiwa macho madudu.Hayo mambo yako huko kwenu mnakoburuzwa kama misukule.CCM ni maslahi ya chama na mtu baadae kwani hata huyo JK akimaliza muhula wake atakuja mwengine kuongoza chama na serikali.CCM hakuna mwenye haki miliki na chama kama ilivyokuwa Chadema chenye sura ya ukanda na wenye kukimiliki binafsi.

hallo hivi huyu anatuona sisi vipofu,ni kweli huko serious au?,mbona unahubiri mambo ambayo CCM haijawahi kufanya ila niya kufikirika tu,hayo maelezo ukaeleze vijijini kule songea,simiyu,n.k maana wale wanashangilia tu,maadamu wamebebwa kwenye malori basi lakini sio humu great thinkers,you are totally wrong.
 
Rais Kikwete yupo karibu na watu wengi, katiba imemruhusu kuchagua viongozi wengi tu serikalini kuanzia Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wilaya, Wakuu wa Wizara na wengine.

Ufisadi kafanya Philemon Luhanjo, lawama umpe JK una ukili kweli wewe.

Ipo siku wajanja watakupora mke wako lawama zote utampa Kikwete.

Wewe mbona hao wajanja hawajakupora mke? Waliosema Luhanjo yuko close na Kikwete ni huyo aliyeandika au ni hao donors waliotoa pesa zao na zikaliwa na Luhanjo na Kikwete akiwa anajua?

Wote tu mafisadi wameua mradi kwa kufisidi fedha za mradi hata ukatae ukweli ndivyo ulivyo,sasa tuma majambazi wako waje wanipore mke we si group leader wa majambazi na muuza sembe?
 
Luhanjo hakuwahi kuwa CCM ni mtumishi wa serikali.Sio wote waliopo serikalini ni CCM

Gazeti halisemi Luhanjo ni mwana ccm, Gazeti linasema MWiZI Lihanjo ni best friend wa Mwenyekiti wa CCM taifa. JK ni rafiki wa majizi. JK ni Mwizi. So CCM inaongozwa na MWIZI.
 
Mm,mbona kama umeshikiwa akili, pole sana.
[FONT=comic sans
ms]Luhanjo kuwa karibu na JK katika utumishi wa serikali haimaanishi
kuwa Luhanjo ni malaika,Hata Yuda alimgeuka yesu akiwa moja ya wanafunzi
wake watiifu na kumuuza.CCM hatuna tabia ya kuoneana aibu wala
kufumbiwa macho madudu.Hayo mambo yako huko kwenu mnakoburuzwa kama
misukule.CCM ni maslahi ya chama na mtu baadae kwani hata huyo JK
akimaliza muhula wake atakuja mwengine kuongoza chama na serikali.CCM
hakuna mwenye haki miliki na chama kama ilivyokuwa Chadema chenye sura
ya ukanda na wenye kukimiliki binafsi.
[/FONT]
 
Jamani
Mpaka wafadhili wanajua kwamba Rais anakula na mafisadi,anayalinda,ni marafiki zake?

Wanaiba fedha za wafadhili?
 
Back
Top Bottom