Rais Kikwete yupo karibu na watu wengi, katiba imemruhusu kuchagua viongozi wengi tu serikalini kuanzia Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wilaya, Wakuu wa Wizara na wengine.
Ufisadi kafanya Philemon Luhanjo, lawama umpe JK una ukili kweli wewe.
Ipo siku wajanja watakupora mke wako lawama zote utampa Kikwete.
Luhanjo hakuwahi kuwa CCM ni mtumishi wa serikali.Sio wote waliopo serikalini ni CCM
Luhanjo ni mteule wa Rais. Unapokuwa mteule wa rais unatakiwa ufanye kazi kwa uadilifu na nidhamu ya hali ya juu kwakuwa once a mistake utakuwa umekinajisi kiti cha rais. Sasa Luhanjo ameandikwa historia yake. Wanetoka mbali na rais. Kaiba vidola hivyo, rais anajua, Audit report wameikalia bado unataka Rais aainajisike?! Utakuwa mwehu basi!! Hakuna namna unaweza kumwacha rais kwenye hili tope. Kwa Kifupi JK marafiki zake wa karibu karibia 98% ni wezi. Anza na Mtawa, huyo Luhanjo, Chenge, Rostam, Karamagi wengine malizia mwenyewe. Mwenyekiti wa CCM ni Mwizi. Sera ya CCm ni wizi.
Ufisadi? Tushazoea, labda tuambie kingine.
Sheria za China zikiletwa Tanzania basi ujue safu ya uongozi wa juu Chadema hakuna atakaebaki.Ruzuku peke yake itasababisha wote kuchezea kitanzi acha pesa za wafadhili,wake za watu na ulaghai
Ngoja hii niifuatilie vema nikipata data zaidi nije kumchana jf hakuna cha kuficha.
Jamani
Mpaka wafadhili wanajua kwamba Rais anakula na mafisadi,anayalinda,ni marafiki zake?
Wanaiba fedha za wafadhili?
Sheria za China zikiletwa Tanzania basi ujue safu ya uongozi wa juu Chadema hakuna atakaebaki.Ruzuku peke yake itasababisha wote kuchezea kitanzi acha pesa za wafadhili,wake za watu na ulaghai
Gazeti halisemi Luhanjo ni mwana ccm, Gazeti linasema MWiZI Lihanjo ni best friend wa Mwenyekiti wa CCM taifa. JK ni rafiki wa majizi. JK ni Mwizi. So CCM inaongozwa na MWIZI.
luhanjo hakuwahi kuwa ccm ni mtumishi wa serikali.sio wote waliopo serikalini ni ccm
View attachment 116377
Wildlife Conservation Society of Tanzania's links with national authorities were strengthened when Philemon Luhanjo took over as chairman and chief executive officer of WCST. Luhanjo is a close associate of Tanzania's president Jakaya Kikwete, and was previously secretary general of the Presidential Office and the President's spokesman.
President's men took over, Norwegian aid money disappeared
Norwegian authorities paid US$1.2 million to the Wildlife Conservation Society of Tanzania. Much of this can not be explained. Five countries are now investigating the environmental organisation.
.