Philemon Luhanjo ni Mwizi-Norway’s newspaper

Philemon Luhanjo ni Mwizi-Norway’s newspaper

Watanzania Tugutuke! kwanini viongoz wa nchi wako kimya kukemea ufisadi? Hivi ni nani aliyetuloga? hivi Tanzania bila Rushwa bila CCM bila UFISADI haiwezekani? ebu watanzania wezangu tuungane kuuyakataa madudu yanayofanywa na utawala wa CCM! Hii inanifanya niamini CCM sera yake ni kufanya madudu (ufisadi) na kulindana! tukikatae CCM Maana imetufikisha pabaya !
 
WEVI,MEVI,MIJIZI,MACHOLI,MIJAMBAZI MBUGANI KWENYE MATWIGA,MATEMBO MPK MISAADA NA BADO HAISHIBI WALA HAINA HURUMA da! kazi kweli watanzania tusonge mbele


Haya manyang'au ya CCM ni wevi, walafi na hayana hata uso wa aibu na huruma...yanakula bila kuogopa au kuchoka na yajiandae, yatakula sana hadi udongo siku ya kufa...watoto wa jamii ya tanzania wanaoteswa na njaa na umaskini, watcheza na kushangilia juu ya makaburi Yao...CCM ni wafu wanaotembea.
 
Haya manyang'au ya CCM ni wevi, walafi na hayana hata uso wa aibu na huruma...yanakula bila kuogopa au kuchoka na yajiandae, yatakula sana hadi udongo siku ya kufa...watoto wa jamii ya tanzania wanaoteswa na njaa na umaskini, watcheza na kushangilia juu ya makaburi Yao...CCM ni wafu wanaotembea.


aibu....matumbo ya heal za umma, hadi njaa ya ubwaba kama chokoraa wa mitaani???? Bofya ktk link iliyo chini jionee mijitu inayoongoza na chama mfu inavyofakamia ...dentists wa wildlife!!

https://fbcdn-sphotos-c-a.akamaihd.net/hphotos-ak-prn2/1380687_684819801530123_1049973272_n.jpg
 
1.2$mil kitu gani bana,hao wamekosa kazi ya kufanya


Ma-CCM yanaziita vijisent tu....maana yalikoweka mafungu fedha ya wizi, meno ya tembo, Frau, simba, uuzaji wa wanyama pori, madawa wa kulevya ....ni mafungu makubwa mno...kweli 1.2$ mil ni vijisent tuuuuu......

Muhimu ni...CDM wazitafute hizi sent popote zilipo duniani, kwa gharama yoyote...ili ziwekwe ktk malengo na gharama za mipango ya maendeleo kwa manufaa ya umma...hakuna kusamehe hata ndururu....! Magamba watakoma muda utakapowadia.
 
Ccm ni ukoo wa panya,wote ni wezi...ukikuta mtu ana mvi upande wa ccm juakuwa ni mwizi angalia Lowasa,Luhanjo nae wezi wale wale
 
Jk alikuwa na Luhanjo wizara ya mambo ya ndani then akahamia naye Ikulu kuendeleza naye kale ka mchezo chetu CCM cha kula na kulindana (Kinana, Karamagi, Kagoda, Mkapa, Yona, Anna, Rostam, Chenge, Idrissa, Lowasa, Simba, Chavda etc)
Kanchi katamu haka
Chama Cha Mapanya (CCM)
 
huyu mzee amejaza sana ndugu zake serkalini
This is the saddest part in the whole saga...no wonder the Mingois tunawaona humu. Tumejenga taifa la wezi, serikali imejaa wezi, bunge limejaa wezi na mahakama imejaa wezi na yote hii ni kwa sababu chama cha wezi ndicho chama tawala. Kwa kuwa tuliwaruhusu wazazi wezi kujaza watoto wao wezi serikalini, sasa yatubidi tuamue kutoviruhusu na vijukuuu vyao wezi kuja kukamata madaraka...kazi tunayo 2015.
 
Last edited by a moderator:
Halafu. hili jizee ni li Mkiti la Baraza la SUA. Wameumiajeee?
 
Luhanjo kuwa karibu na JK katika utumishi wa serikali haimaanishi kuwa Luhanjo ni malaika,Hata Yuda alimgeuka yesu akiwa moja ya wanafunzi wake watiifu na kumuuza.CCM hatuna tabia ya kuoneana aibu wala kufumbiwa macho madudu.Hayo mambo yako huko kwenu mnakoburuzwa kama misukule.CCM ni maslahi ya chama na mtu baadae kwani hata huyo JK akimaliza muhula wake atakuja mwengine kuongoza chama na serikali.CCM hakuna mwenye haki miliki na chama kama ilivyokuwa Chadema chenye sura ya ukanda na wenye kukimiliki binafsi.

issue ni wizi wa hao vigogo u-ccm au u-cdm kwenye mada hii umetoka wapi, nyie ndio mijizi yenyewe tunayoizungumzia hapa
 
Uteuzi wa Rais!!!!Katiba ijayo lazima isort out haya madudu.

Huyu Philemon ana ujuzi gani na Wildlife?
 
Luhanjo hakuwahi kuwa CCM ni mtumishi wa serikali.Sio wote waliopo serikalini ni CCM

Haiwezekani kwani huwezi kupata cheo kikubwa kama cha katibu mkuu kiongozi bila kuwa mwanamtandao (CCM) kwani ndo kichaka cha wezi,wala rushwa na mabo kama hayo.Wewe endelea kujitekenya tu ukweli unajulikana sisi siyo wale wa jana.
 
Napata taabu sana kusoma baadhi ya maoni ya wasomaji pale tunapoondoka kwenye hoja ya msingi na kujadili UKANDA NA UKABILA fika inaonyesha wote tunaochangia nasi tumefilisika kihoja

Ili kusaidia watoto wetu wawe na mawanda (scope) makubwa ya kutafuya hatima ya nchi yao ni bpra tujadili hoja tiachana na uccm na uchadema

Kimsingi tujadilia hoja iliyoletwa kwetu
 
The link to the president no problem for embassy
“There is nothing negative in former top people from environmental authorities managing organisations or being on the boards and doing volunteer work,” Inger Naess, Counsellor at the Norwegian Embassy in Tanzania, told Aftenposten in January.
She thought it was quite unproblematic that former senior officials from the government, Tanzanian environmental authorities are controlling WCST, and confirmed that the Norwegian embassy knew this right from the start. Naess said that Gamassa has been one of several main contacts for the embassy.
“The pension age here is 60, and it is good and natural that resourceful people are contributing. If you have previously worked in the ministry that does not disqualify you from managing an NGO that receives Norwegian aid money,” Naess said.
As the suspicion of financial irregularities has been strengthened in recent months, Aftenposten asked again whether the embassy believes the link to the government apparatus is problematic. The embassy had nothing to add.

tumbo halina shukrani hata wale wakaviumbiwa bado laana ya ulafi ipo palepale tu...........
 
Acha ale tu! kwani kuna nini? system ndiyo hiyo! kwanza watanzania hatuna akili, tunaangalia, yanapita, tunasahau na kuwakumbatia baada ya kusahau au kupoozwa! kwani aliyemteuwa kuwa mwenyekiti alikuwa hamjui kuwa ni mwizi? hiyo ni system kali ambayo mguu mmoja upo IKULU- mwingine, vyombo vya dola, kichwa kipo....
 
....nionyeshe rafiki yako ili nijue wewe ni mtu wa aina gani!
 
Back
Top Bottom