Philemon Luhanjo ni Mwizi-Norway’s newspaper

Philemon Luhanjo ni Mwizi-Norway’s newspaper

Hivi kwa trend hii....mr dhaifu hayumo kweli? Kwa maana huwezi kuwa na rafiki ambae mnatofautiana interest
 
Luhanjo ni mwizi mkubwa sana, aibu kwa watoto wake na wajukuu wake wasomapo habari hizi
 
Mazoea ya funikafunika mwanaharamu apite huko kwa wenzatu ni uwazi katika uwajibikaji na matumizi ya madafu yao, sasa na uzee huu mtu unaaibika kihivyo jamani. Huenda ndio pesa hizo anazozitumia kuendeshea mashamba ya vitunguu na mpunga anayolima huko Wanging'ombe, mkoa wa Njombe.

Luhanjo ni mwizi aliyebobea na ndio maana alikuwa karibu sana na mwizi mwenzie Jairo ; hawa wawili ni watu wa karibu sana na mkweree kwahiyo wao walitumiwa kama makuwadi wa kuiibia nchi rasilimali zake. Jairo na Luhanjo wamenunua mashamba makubwa kule Lupembe mkoa wa Njombe kwa hizo hizo hela za wizi; wawili hawa pia wamejenga mahekalu huko Tegeta, kumbe ndio hizo hela za kutoka Norway ndio walizikomba wakati huo Jairo msaidizi wa mkweree pale magogoni!!!
 
Luhanjo hakuwahi kuwa CCM ni mtumishi wa serikali.Sio wote waliopo serikalini ni CCM
Weeeeee CCM ndio ya kulaumiwa! Wamepewa madaraka ya nini sasa kama hawachukui hatua kwa watumishi wao wakitenda hovyo?
 
Nani atawawajibisha wakati muwajibishaji naye ni kama wawajibishwaji? Read between the lines "Luhanjo is a close associate of Tanzania’s president Jakaya Kikwete,..."

Hapo kwenye wekunde maana yake ni kwamba Kikwete naye ni mwizi!!!
 
Ahsante ila naomba tuwekee link ya hilo gazeti la Aftenposten tujisomee zaidi.
 
Luhanjo kuwa karibu na JK katika utumishi wa serikali haimaanishi kuwa Luhanjo ni malaika,Hata Yuda alimgeuka yesu akiwa moja ya wanafunzi wake watiifu na kumuuza.CCM hatuna tabia ya kuoneana aibu wala kufumbiwa macho madudu.Hayo mambo yako huko kwenu mnakoburuzwa kama misukule.CCM ni maslahi ya chama na mtu baadae kwani hata huyo JK akimaliza muhula wake atakuja mwengine kuongoza chama na serikali.CCM hakuna mwenye haki miliki na chama kama ilivyokuwa Chadema chenye sura ya ukanda na wenye kukimiliki binafsi.

Hiki ulichokiandika hapo kwenye RED una uhakika nacho au umeamua kuandika tu kwa vile umeamua kujivua ufahamu?
Matukio mangapia yametokea na hakuna Hatua zozote zilizochukuliwa na CCM
1. Mangula alikuja na hoja ya kuwaondoa wote waliopata madaraka ndani ya CCM kwa kutumia Rushwa ndani ya miezi 6 je ameishakamilisha hilo?

2. Nape alikuja na hoja ya kuwaondoa Mapacha 3 (Lowasa, Rostam na Chenge) ndani ya CCM kwa sababu ya Ufisadi unaokidhalilisha Chama (CCM) je ametekeleza?

3. Vipi wezi wa Fedha za EPA, Melemeta, Kagoda, Richmond Serikali ya CCM imechukua hatua gani hadi sasa?

Jitahidi sana ndugu unapoandika basi utumie akili zako mwenyewe usipende sana kutumia akili za kuazimwa kutoka Lumumba zinakudhalilisha.
 
Mmenipeleka Mbaliiiiiiiii! Miaka Kadhaa Ilio Pita, Niko Ilembula Lutheran Church, Njombe Huko! Luhanjo Alipenda Sana Kuhudhuria Katika Kila Halambee Na Kumwaga Pesa, Kumbe Ri~kwibaji! Kwa Wana Siasa Wabena Namwamini Thomas Nyimbo Tu!
 
Kuna watu hapa ninadiriki kuwaita mbwa kwa kuwa wamekosa uzalendo na watumwa wa kifikra na mawazo.Hapa JF sijawahi kusikia,kuona wala thread ikiwatuhumu wazungu kuiba rasilimali,kudhalilisha utu wa mtanzania.Kama Luhanjo amechukua pesa amerudisha pesa/mali walizotuibia wazungu na kama wanataka report basi na wao walete report ya rasilimali walizotuibia.Pambavu!

Fallacy of generalization!!

a childish way of making argument.

can't imagine if this is outstanding way of thiking emanating from a person who absolutely has undergone complete neurological development during his or her pre and post natal stages.

patriotism is all about morals in all aspects of life in regard with the quality of being national and respect to others in and outside the country as well.

on your side,
Does theft signify patriotism ?

Judge and classify by yourself, in which category are you?
a fool Or a patriot?

Then ask your neighbour nearby you, in which group do I (you) belong to, between the two?

a response given would actually suit your position if the one asked ain't been a victim of your case ever.
finally ,come out and tell us who you are.You might be more than a fool.
 
Luhanjo hakuwahi kuwa CCM ni mtumishi wa serikali.Sio wote waliopo serikalini ni CCM
Nani kasema? Acha tabia ya Mbuni kufukia kichwa kwenye mchanga wakati mwili wote upo nje.
 
corruption +corruption every day corruption+corruption what's this? jaman Tanzania hakuna zuri wizi tu daily tunaenda wapi xaxa?
 
Huyo mtu kajiandikia kwenye gazeti kama yeyote anaeweza kuandika. Tupe link tukasome wenyewe.

Halafu, gazeti la Norway linaandikwa Kiingereza?
episodes tunataka majibu.
kwani Luhanjo ni wa Chadema? Halafu wewe dume jike, mbona kuuliza eti wakuletee link. Hocus pocus nani akufanyie kazi hii?!! kwanini usiingie mwenye kwenye mitandao ya magazeti ya Norway upate kusoma! Au bado tu huamini kuwa ccm wote ni ukoo wa panya? Kama ni hivyo lala pembeni, tupishe watanzania wazalendo, wapenda nchi yetu labda wewe ni msomali usiojua kuwa ccm wote ni wezi! Mleta mada kadadabua gazeti lililoandikwa nchi nyingine, ukitaka ukweli juu ya link ya gazeti hilo tafauta mwenyewe. Mbona sisi wengine tumehangaika na kufanikiwa kuliona gazeti hilo. Kama shida ni lugha kaulize ccm waliokupeleka shule za kata, kama wewe ni msomali uliyesomeshwa hapa Tanzania.
 
Nimejifunza kitu kimoja tu , kwamba kumbe MVI si kielelezo cha uungwana .
 
Kila kukicha Tanzania tunachafuka na wizi, rushwa, uzembe, ukatili na uvunjaji wa haki za binadamu.

Tunakimbiwa na kila mtu je, tutakuwa wageni wa nani???
 
Back
Top Bottom