Philemon Luhanjo ni Mwizi-Norway’s newspaper

Philemon Luhanjo ni Mwizi-Norway’s newspaper

Ngoja hii niifuatilie vema nikipata data zaidi nije kumchana jf hakuna cha kuficha.

Eti ufuatilie vema na uje kumchana JF. Mbona mambo haya yanajulikana sana na kwa siku nyingi tu! Unafikiri hii ni mara ya ngapi Idara zilizopo Maliasili na Utalii chini ya Luhanjo zinafanya wizi wa namna hii?

Norway imekuwa ikidai irudishiwe fedha zake nyingi zilizo liwa na akina Luhanjo tangu akiwa Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili, Utalii na Mazingira kwa miaka nenda rudi. Na ukumbuke huyu jamaa ni TISS na bado ndio huyo anaongoza kwa UFISADI na hatimaye ufisadi una mpatia alama za juu kiasi kwamba anapewa ulaji usio na mipaka.

Hiyo ndio CCM bana. Ukisha kuwa FISADI mzoefu, unapewa ulaji kadiri unavyo taka. Bahati mbaya wenyewe wamesha shtuka wanadai chao.

Sasa ndio tumegundua kwamba FASTJET hakatizi anga za Scandinavia/NORDIC kwa sababu ya huu msala, eti?
 
Kuna watu hapa ninadiriki kuwaita mbwa kwa kuwa wamekosa uzalendo na watumwa wa kifikra na mawazo.Hapa JF sijawahi kusikia,kuona wala thread ikiwatuhumu wazungu kuiba rasilimali,kudhalilisha utu wa mtanzania.Kama Luhanjo amechukua pesa amerudisha pesa/mali walizotuibia wazungu na kama wanataka report basi na wao walete report ya rasilimali walizotuibia.Pambavu!

Kwa hiyo CCM na wewe mnasema kuwa alichofanya Luhanjo ni sawa kabisa..???
Yaani unaona Luhanjo kuwa mwizi ni sawa kabisa...!!!!
Labda Ritz na FaizaFoxy nao wanasema hivyo hivyo...!!!!
BTW..., ZeMarcopolo yuko wapi leo...???
 
Last edited by a moderator:
Ikulu ya Tanzania ilishageuzwa kuwa pango la walanguzi.....!
 
Ngoja hii niifuatilie vema nikipata data zaidi nije kumchana jf hakuna cha kuficha.

JK maskini anamtumia luhanjo kuiba billion moja na nusu yaani kweli Tanzania hata msitu mdogo kama kazimzumbwi tumeshindwa kuulinda kweli, maskini wewee JK anaambiwa arudishe fedha za watu aibu
 
Hakuna mtu msafi ndani ya ccm yote ni majizi.
Namuunga mkono kamanda Wenje aliyesema kuwa Philemon Luhanjo ni muhuni. Naongezea kwa kusema Luhanjo si muhuni tu bali pia ni fisadi papa!
 
Hapo ndiyo huwa namchukia mno JK. Pamoja kuwa na umri ka baba angu naishia kumuita ...,,🙁,!&(;/?£!!,/-/?
 
Huyo mzee wa ukoo wa panya walitarajia nini kwake?
Wazungu hawana dogo lazima wa muumbue na watamweka peupe uozo wake ufahamike na jamii iliyo mwamini.
 
Luhanjo kuwa karibu na JK katika utumishi wa serikali haimaanishi kuwa Luhanjo ni malaika,Hata Yuda alimgeuka yesu akiwa moja ya wanafunzi wake watiifu na kumuuza.CCM hatuna tabia ya kuoneana aibu wala kufumbiwa macho madudu.Hayo mambo yako huko kwenu mnakoburuzwa kama misukule.CCM ni maslahi ya chama na mtu baadae kwani hata huyo JK akimaliza muhula wake atakuja mwengine kuongoza chama na serikali.CCM hakuna mwenye haki miliki na chama kama ilivyokuwa Chadema chenye sura ya ukanda na wenye kukimiliki binafsi.

huoni aibu kuandika huo utumbo yaani badala ya kusimamia maslahi ya nchi wewe unanisamia chama, shame on you kinafaida gani chama katika mstakabadhi wa nchi yetu aaaaghr!!
 
Huyo mtu kajiandikia kwenye gazeti kama yeyote anaeweza kuandika. Tupe link tukasome wenyewe.

Halafu, gazeti la Norway linaandikwa Kiingereza?
episodes tunataka majibu.
 
Last edited by a moderator:
ZeMarcopolo HAMY-D na Chris Lukosi bila kumsahau ndugu yangu WABHEJASANA hebu mkuje kipande hii mtuambie kama mnakubaliana na mtazamo wa buku saba fc Mingoi kwamba alichofanya Luhanjo kuiba pesa za miradi ya WCST ni sawa kabisa kwakuwa amelipa kisasi cha rasilimali zetu ambazo ziliporwa na wazungu!

Hivi huko ccm mtu asipokuwa mwizi au fisadi huwa anapungukiwa ubinadamu wake?
 
Last edited by a moderator:
Huyo mtu kajiandikia kwenye gazeti kama yeyote anaeweza kuandika. Tupe link tukasome wenyewe.

Halafu, gazeti la Norway linaandikwa Kiingereza?
episodes tunataka majibu.

Hii na ile ya muhasibu wa cdm zinaweza kuhitaji suluhu za kufanana juu ya hoja kama yako mkuu????!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu hapa ninadiriki kuwaita mbwa kwa kuwa wamekosa uzalendo na watumwa wa kifikra na mawazo.Hapa JF sijawahi kusikia,kuona wala thread ikiwatuhumu wazungu kuiba rasilimali,kudhalilisha utu wa mtanzania.Kama Luhanjo amechukua pesa amerudisha pesa/mali walizotuibia wazungu na kama wanataka report basi na wao walete report ya rasilimali walizotuibia.Pambavu!

Mkuu kwenye hili suala bora unayamaze kimya tuu kama akina Lizaboni ZeMarcopolo au chama hapo utaeleweka sijategemea kuona comment kama hii mkuu.

Yani jamaa kalipiza jinsi wazungu wanavyoiba rasilimali zetu? Je hao wazungu wanaletwa na nani? Tuna ukaguzi kila kona ya Nchi hii. Ni nani anayeruhusu wizi huo ufanyike? Hii comment yako inasababisha maswali mengi sana, piga kimya mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Buku saba series!!!!!
luhanjo kuwa karibu na jk katika utumishi wa serikali haimaanishi kuwa luhanjo ni malaika,hata yuda alimgeuka yesu akiwa moja ya wanafunzi wake watiifu na kumuuza.ccm hatuna tabia ya kuoneana aibu wala kufumbiwa macho madudu.hayo mambo yako huko kwenu mnakoburuzwa kama misukule.ccm ni maslahi ya chama na mtu baadae kwani hata huyo jk akimaliza muhula wake atakuja mwengine kuongoza chama na serikali.ccm hakuna mwenye haki miliki na chama kama ilivyokuwa chadema chenye sura ya ukanda na wenye kukimiliki binafsi.
 
Luhanjo anajulikana kukwapua bilioni sita za wizara ya mambo ya nje na kusingizia eti zile rudishwa embu atupe bank statement ya wizara ya mambo ya nje akiwa katibu mkuu tuone alivyokuwa akijineemesha na na rafiki yake Jakaya , yameeanza kuchomoza kabla hujafa hujumbika huyu ataambuka sana mwaka huu
 
Mzee mzima Luhanjo 'amepiga' USD 1,200,000 (Ambayo ni sawa na shlingi za kitanzania Bilioni 1.9)...!!!

Hapo akipeleka sh. milioni 500 Lumumba kwa Nape Nnauye kwa ajili ya allowances za akina Ritz na ZeMarcopolo, anabakiwa na Sh. billioni 1.4 !!!!!!!

Hii ndio Tanzania..!!!!

haha. haha,ndio maana mkuu wangu Simiyu Yetu kutwa kucha yupo jf hali akashiba
 
Last edited by a moderator:
Huyo mtu kajiandikia kwenye gazeti kama yeyote anaeweza kuandika. Tupe link tukasome wenyewe.

Halafu, gazeti la Norway linaandikwa Kiingereza?
episodes tunataka majibu.

mtazitaapika hizo hela ngoja 2015 ifike sijui utajificha wapi!
 
Last edited by a moderator:
Luhanjo kuwa karibu na JK katika utumishi wa serikali haimaanishi kuwa Luhanjo ni malaika,Hata Yuda alimgeuka yesu akiwa moja ya wanafunzi wake watiifu na kumuuza.CCM hatuna tabia ya kuoneana aibu wala kufumbiwa macho madudu.Hayo mambo yako huko kwenu mnakoburuzwa kama misukule.CCM ni maslahi ya chama na mtu baadae kwani hata huyo JK akimaliza muhula wake atakuja mwengine kuongoza chama na serikali.CCM hakuna mwenye haki miliki na chama kama ilivyokuwa Chadema chenye sura ya ukanda na wenye kukimiliki binafsi.

...Really?? Hili lingekuwa Kweli, Watu Wangekuwa Wameishavuliwa Magamba Zamaani....!! Nyii wengine endeleeni tu Kulipia Ada ya Chama, kama mnalipia, lakini tambueni kuwa Chama Kina Wenyewe na Wenyewe sio Nyinyi bali hao Wanaoogopana kuvuana Magamba!! Na hili halihitaji Uwe na busara ya Profesa Kulitambua, Mkuu!

😛uke:
 
Huyo mtu kajiandikia kwenye gazeti kama yeyote anaeweza kuandika. Tupe link tukasome wenyewe.

Halafu, gazeti la Norway linaandikwa Kiingereza?
episodes tunataka majibu.

Hivi hapo kwenye blue,
Tanzania kuna gazeti linaandika Kiingereza ??
 
Back
Top Bottom