PhD kwa Mwl Christopher Mwakasege

PhD kwa Mwl Christopher Mwakasege

Anaepropose mwakasege apewe PhD hata diploma hana hii ni Tanzania zaidi ya uijuavyo
Una uhakika hana hata diploma.. kwa taarifa yako alikuwa mchumi wa serikali.
 
Kuna yule Mchungaji Mwalimu Jacob ambaye uwa anatoa mafundisho yake ya kiroho kupitia Kiss FM siku ya Jumapili asubuhi kuanzia saa moja hadi saa mbili kwa sasa ana PhD. Napenda mafundisho yake. Siku moja katika moja ya mafundisho yake alisema zamani alikuwa ni mwanamuziki akiimbia band ya Morogoro Jazz akiwa na marehemu Mbaraka Mwinshehe. Na kwamba yeye ndiye aliyetunga ule wimbo unaowahasa vijana kuacha kucheza na masomo badala yake waweke bidii kwenye masomo yako.
Okey
 
Namkubali sana sana sana huyu mchungaji, kwa mda mrefu nimekuwa nikitafuta cd za mafundisho yake sipati, yeyote anayeweza nisaidia nikapata cd hizo. Shukrani sana.
Kama upo Dar mkuu waweza kwenda Luther house..(Azania KKKT) opposite na NBC bank Posta ya zamani. wanazo ofisi pale utapata vitabu na masomo yote.
 
Kwani yeye anatumikia wa Lutheri?
La hasha.....lakini kwa kuwa mlutheri nilitegemea walutheri 'tuwe' wa mwanzo zaidi kutambua kazi yake (kama bado 'hatujafanya' hivyo kwa namna nyingine).
 
La hasha.....lakini kwa kuwa mlutheri nilitegemea walutheri 'tuwe' wa mwanzo zaidi kutambua kazi yake (kama bado 'hatujafanya' hivyo kwa namna nyingine).
Sina hakika sana... ila nacho weza sema huduma yake imegusa watu wengi...so atakayeona inafaaaa amtukuze Mungu kupitia Mwl huyu.
 
Kama upo Dar mkuu waweza kwenda Luther house..(Azania KKKT) opposite na NBC bank Posta ya zamani. wanazo ofisi pale utapata vitabu na masomo yote.
Mkuu mm nipo mkoani hakuna namna yeyote kama kutumiwa kwa basi na njia nyingine zinazofanana na hizo?
 
Kama una ndugu au rafiki Dar mwambie akufanyie mpango akutumie kwa basi
Sawa mkuu ila ningependa kama ningeweza wasiliana na wahudumu wa kanisa nione kama kuna namna wanaweza nisaidia.
 
mzurimie upo mkoa gani?
Kuanzia tar 6 mwezi wa tatu atakuwa na semina pale viwanja vya chuo kikuu cha Dar es salaam kwa wiki moja.
Pia kama uko Dar unaweza ukafuatilia kila wiki kwenye
-Upendo fm radio 107.7 fm kila jumapili na jumamosi saa 3-4 usiku
-Wapo Fm radio 98.1 fm kila jumatano saa 3-4 usiku.

Kama uko Kaskazini(Arusha na Kilimanjaro)
Unaweza ukamfuatilia kila jumamosi na jumapili radio sauti ya injili saa 3-4 usiku.
Mimi nilieko mbeya ni radio gani inarusha mahubiri ni siku gani na SAA ngapi
 
Mkuu mm nipo mkoani hakuna namna yeyote kama kutumiwa kwa basi na njia nyingine zinazofanana na hizo?
Mikoani hawana ofisi.. labda mpaka wawe na semina kupitia wakati wa semina unaweza pata. Masomo na vitabu vyake.
Ila kama una mtu Arusha au Dar muombe akununulie kisha akutumie.
 
Mikoani hawana ofisi.. labda mpaka wawe na semina kupitia wakati wa semina unaweza pata. Masomo na vitabu vyake.
Ila kama una mtu Arusha au Dar muombe akununulie kisha akutumie.
Noted
 
Back
Top Bottom