PhD kwa Mwl Christopher Mwakasege

PhD kwa Mwl Christopher Mwakasege

wewe ndiye uliyetuambia habari za Mwakasege
toa sifa zake na Elimu mpaka unampa Phd
hovi hawa wote wenye Dini zao umewadharau au unawatambua uwepo wao
nimeamini ww ni mjinga wa kutupwa unayewakashifu wenzako kwa kudharau hata Haduja Kopa
Mwakasege kaanzia Mbuguni km mchimbaji / mtafutaji wa Tanzanite mpaka ya 1989 na ndiko alikouanza Uinjilist
ww endelea na Mambo ya Dini kwenye Jukwaa husika la DINI hapa unatuchokoza
Mods wakusaidie
Inadhihilisha chuki zako.usipomjua mtu c dhambi.Dhambi NI kusema uongo kuhusu yeye.Tafuta alianzia wapi ndo utakapong'ata kucha kwa aibu yako
 
Mwakasege na marehemu rufufu mkandala utofauti wao ni kuwa Mwakasege anahaulisha mandishi kutoka lugha ya kigeni kuja kiswahili na kuwahubilia watu kwa njia ya injiri ila marehemu mkandala alihaurisha mazungumzo kutoka lugha ya kigeni kuja katika kiswahili

Hivyo Mwakasege hapaswi kupewa PhD kwani ni mzee wa kukopy na kupaste

Ukiwa msomaji mzuri wa vitabu ukimsikiliza Mwakasege hana jipya sema anasaidia wale watu wasipenda kusoma na wasio juwa lugha ya kigeni ila kiukweli mzee hana jipya
 
Ninachojua hawa wachungaji wanaishi maisha ya juu na starehe huku asilimia kubwa ya wasikilizaji wao ni walala hoi, hata huyu Mwakasege nae ni mpigaji tuu bonge la jumba, watoto shule ulaya kwa sadaka zetu.
Nikuulize swali dogo san maan nikikuuliz kubwa ntakuonea maana andiko lako linajitosheleza kuonyesha ulivyo mdogo.Haruni na wanawe waliambiwa watakula WAPI????
 
Huyu tapel na mchumia tumbo apewe PhD kweli? God i bage your forgiveness as i call him a global Tapel who use your words to destroy your people
 
Mwakasege na marehemu rufufu mkandala utofauti wao ni kuwa Mwakasege anahaulisha mandishi kutoka lugha ya kigeni kuja kiswahili na kuwahubilia watu kwa njia ya injiri ila marehemu mkandala alihaurisha mazungumzo kutoka lugha ya kigeni kuja katika kiswahili

Hivyo Mwakasege hapaswi kupewa PhD kwani ni mzee wa kukopy na kupaste

Ukiwa msomaji mzuri wa vitabu ukimsikiliza Mwakasege hana jipya sema anasaidia wale watu wasipenda kusoma na wasio juwa lugha ya kigeni ila kiukweli mzee hana jipya
kwako ndio hana jipya au ulitaka haubiri chuki za kidini kama mnavyofanya nyie kwenye mihadhara?
 
Huyu tapel na mchumia tumbo apewe PhD kweli? God i bage your forgiveness as i call him a global Tapel who use your words to destroy your people
Acha chuki ndugu yangu hivi alishawahi kukutapelia? au unatafuta kick tu!!
okay nisisema inaweza kuwa ugumu wa maisha+njaa ndio vinakufanya uwe na chuki dhidi ya mwalimu mwakasege
 
="David Harvey, post: 17747065, member: 235385"]kwako ndio hana jipya au ulitaka haubiri chuki za kidini kama mnavyofanya nyie kwenye mihadhara?[/QUOTE]
Siwezi kukubishia maana sokoni hakosekani kichaa hivi nani kaongelea udini hapa wewe Mwakasege si umemjua leo watu tunajua Mwakasege tangu anaunga Unga akiwa na mkutano umeme ukikatika basi na mkutano umekwisha hana uwezo wa kuwasha jeneta aendelee na mkutano

Enzi hizo injiri ya Tanzania marehemu mzee moses crola mzee wa yoooo ndio habari ya mjini

Kwaiyo tukiongea vitu hapa nyamaza Mwakasege mpigaji tu tambua hivyo
 
Acha chuki ndugu yangu hivi alishawahi kukutapelia? au unatafuta kick tu!!
okay nisisema inaweza kuwa ugumu wa maisha+njaa ndio vinakufanya uwe na chuki dhidi ya mwalimu mwakasege
Haya buana. We endelea na walimu wako hao. Wasikilize pia Goe Dav, Kilawa, Lusekelo, Gwajima, Malisa, Baba God, Bendera n.k. wote ni walimu wema sana
 
My God bless you very much Mwal. Kristopher Mwakasege for gospel ministry.
 
="David Harvey, post: 17747065, member: 235385"]kwako ndio hana jipya au ulitaka haubiri chuki za kidini kama mnavyofanya nyie kwenye mihadhara?
Siwezi kukubishia maana sokoni hakosekani kichaa hivi nani kaongelea udini hapa wewe Mwakasege si umemjua leo watu tunajua Mwakasege tangu anaunga Unga akiwa na mkutano umeme ukikatika basi na mkutano umekwisha hana uwezo wa kuwasha jeneta aendelee na mkutano

Enzi hizo injiri ya Tanzania marehemu mzee moses crola mzee wa yoooo ndio habari ya mjini

Kwaiyo tukiongea vitu hapa nyamaza Mwakasege mpigaji tu tambua hivyo[/QUOTE]
acha maisha ya kukariri ndugu yangu hata kama alikuwa na maisha ya kuunga-unga,unadhani maisha hayabadiliki? au ulikuwa unapenda awe na maisha hayo hayo ya kubangaiza?
Tambua kuwa maisha yanabadilika kutoka hatua moja kwenda nyingne wapo watu wengi tu waliokuwa masikini lakini leo ni matajiri.
Acha chuki zako na mwakasege coz utajitesa na kujiumiza,muache afundishe watu neno la mungu
 
Haya buana. We endelea na walimu wako hao. Wasikilize pia Goe Dav, Kilawa, Lusekelo, Gwajima, Malisa, Baba God, Bendera n.k. wote ni walimu wema sana
hao wengine unawajua wewe hapa tunamzungumzia mwakasege han wengine siwajui ila nawasikia tu
 
Nikuulize swali dogo san maan nikikuuliz kubwa ntakuonea maana andiko lako linajitosheleza kuonyesha ulivyo mdogo.Haruni na wanawe waliambiwa watakula WAPI????

Na wewe nikuulize mbona Paul alishona magunia ili apate pesa ya kujikimu we unafikiri alishindwa kupiga, ukiwa mtumishi sio chanzo cha kutafutia maisha na hao akina Haruni hawakuwa na utajiri wa kutisha kama hawa watumishi wetu wa siku hizi akiwemo huyu Mwakasege maisba yao ni ya juu sana tena sana.
 
Haujatumwa wala kulazimishwa kupelek sadaka
 
Kuna waliosotea maPhd yao haswa,,muangalie vzuri huyu jamaa anaitwa dr Ellie VD Wamilina,falsafa ndio kwake,saikolijia ndio usiseme,kwenye dini tena usithubutu kumgusa,,anawafundisha hao hao akina mwakasege... Usipende vya bure,bure ni dharaua
 
Back
Top Bottom