henry frank
Senior Member
- Dec 16, 2015
- 127
- 114
Mwarabu kafanikiwa kweli kuwateka watu kiakili
mzurimie upo mkoa gani?Nina Kaka yangu alimwongeleaga akanivutia nimfatilie zamani, ila sijawahi kwenda anaposalisha. Naomba mkumbuke kutuambia akiwa live tumwangalie hata online kama tupo mbali na mkoa aliopo.
Kisa tuu ana wafundisha dini? Teh Teh...Naona huu ni wakati muafaka kwa vyuo vyetu vikuu ndani ya Tanzania kumtunuku Shahada ya (Heshima) kutambua na kuuthamini mchango wa Mwl huyu katika ukombozi wa Fikra haswa katika maswala ya Uchumi na Uongozi.
Mkuu hatuongelee dini... tunaangalia mchango wake katika taifa amewezaje kugusa maisha ya WaTz. Wanao amini na wasio Amini.Kisa tuu ana wafundisha dini? Teh Teh...
na anageweza kufungua mkanisa ambao ungejaa sana... heshima kwa ke aliye juuYeye sio mtu wa kupenda misifa ni mtu anatumia karama yake angeweza kujiita nabii au mtume au bishop
Zali la mentali lilitokea wakati mimi nina njaa...Islam ndo dini ya Kweli
Natafuta muislam anioe mke Wa pili nipo tayari kubadili dini
Amegusa maisha ya waktisto si watanzania wote...apewe hiyo PhD na baraza la wakristo.Mkuu hatuongelee dini... tunaangalia mchango wake katika taifa amewezaje kugusa maisha ya WaTz. Wanao amini na wasio Amini.
Mbona the Late Dr Myles Munroe alipofika Tanzania .. Mh Dr Gariab Bilal makamo wa Rais enzi hizo. Alihudhuria semina yake na kumpokea kama Kiongozi wa Nchi? Ni kwa sababu ya Mchango wake juu ya ukombozi wa kifikra..
kama humjui ni bora ukakaa kimya kuliko kujibu hoja usio ijuaAnaepropose mwakasege apewe PhD hata diploma hana hii ni Tanzania zaidi ya uijuavyo
ni vizuri kunyamaza kuliko kuandika hicho ulicho andikaKisa tuu ana wafundisha dini? Teh Teh...
Usihukumu usije ukahukumiwa!Na Antony Lusekelo apewe PhD ya ujasilia mali na kujipatia pesa kilainiiiiii!!!!!
Gwajima PhD ya Mitusi..... na uzinifuuuu