Ndondobwila
JF-Expert Member
- Jun 9, 2015
- 562
- 409
Nimeweka default storage kuwa SD card, lakini kila ninacho download kinawekwa kwenye phone storage. Kwa hiyo baada ya muda mfupi phone storage inajaa, nashindwa ku download apps zaidi.Mkuu mbona me natumia hii j8 bt ipo poa tu, charge safi mnooo,internet ipo safi yaani sioni tatizo,labda camera Si gud sana kwa wapenda mapicha japo ni 13mp bt hovyo
Tecno siyo ya mchina. Za mchina ni xiaomi na infinix, ambazo ni nzuri sana ingawa hazifikii samsungMchina ni mchina tu...najua wanajaribu kujenga confidance ya customers..ila bado sana..wangejikita kwenye research zaidi ili kuja na kitu cha uhakika sio kuigaiga tu..na sioni mantic ya kurukia phantom 8..eti kwa sababu samsung wametoa galaxy 8 na Apple wana iphone 8..hiyo kukrupuka!
me tooSimu ya Tecno hata nipewe bure sichukui
Inauzwa bei gani?Tecno Phantom 8 Speculations
5.5 inches full HD display (confirmed)
6GB or 4GB RAM
64GB storage (confirmed)
13MP + 12MP dual rear cameras (confirmed)
20MP front camera (confirmed)
Helio P25 Octa-core 2.6GHz Processor
3500 mAh battery (confirmed)
Android 7.0 Nougat with HiOS (confirmed)
Glossy Plastic or Glass finish (confirmed)
Tecno Phantom 8 Plus Speculations
6.0 inches full HD display
6GB RAM (confirmed)
64GB storage
Helio X30 Processor
One normal camera lens + one 2x Telephoto Lens camera
20 MP front camera (confirmed)
4000 mAh battery
Android 7.0 Nougat with HiOS (confirmed)
Metal or Glass finish
780,000Inauzwa bei gani?
Ka si mchina ni ya nani?Tecno siyo ya mchina. Za mchina ni xiaomi na infinix, ambazo ni nzuri sana ingawa hazifikii samsung
Wacha ushamba wewe TECNO ni mchina,tena ndio za kwanza kwanza kwa soko la AfricaTecno siyo ya mchina. Za mchina ni xiaomi na infinix, ambazo ni nzuri sana ingawa hazifikii samsung
Kwa nini?Hata mimi nitawakimbia soon
Labda ana speculate price [emoji23]unavyorudia neno speculation badala ya specifications unaleta kichefuchefu!
Hii nikweli hata mie sina kipingamizi juu ya hiloChief kuna jambo uwa unasema kuwa mtk haziko energy efficient kama processor zinazo designiwa na wale waingereza jina nimesahau bt wanazotumia samsung na sony n.k
But mbona hawa tecno simu zao zinakaa sana na chaji na hizo mtk zao.
Kuna siku nilimnunulia mtu tecno w5 kabla ya kumpatia nimekaa nayo siku mbili ikiwa full ntacheza internet zunguka kote but mpaka usiku bado ina charge.
UnaotaTecno kwa miaka 5 ijayo, itakua mbele ya Samsung
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tecno kwa miaka 5 ijayo, itakua mbele ya Samsung
Unacheka mkuu.. Tecno anakuja kwa kasi mno[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]