PGM Ina shida gani Tanzania

PGM Ina shida gani Tanzania

Mgaigai

Member
Joined
Nov 20, 2021
Posts
46
Reaction score
71
Habari zenu wakuu,

Combination ya PGM Ina shida gani maana naona mwanafunzi akisema anasoma hio anaambiwa ajitafakari Mara mbilimbili au Kama Ana hela aendelee.

Shida ni Nini katika hii comb?

Nawasilisha

images%20(2).jpg
 
Kusomea Urubani ni pesa yako tu na wanaanza fundisha kuanzia miaka 17 imradi tu uwe umemaliza Form Four na uwe na Dollar 17000.

Pale Moswood Terminal 1 watakufundisha na utakuwa na uwezo wa kupata PPL (Leseni Binafsi ya Kurusha Ndege), ukitoka hapo ndio waenda kwenye CPL, ATPL ambapo huko pote utakuwa wafanya Rating kutokana na ndege unayotaka au zilizopo kwenye shirika unalofanyia kazi.

NB: Marubani wengi ila ndege chache hivyo unaweza soma ila ukawa day worker kupeleka Watalii Mbugani
 
Ndiyo jibu.
 
Urubani hata ukisoma HKL unaweza somea ni ela yako tu!!

Urubani ni udereva wa kawaida sema wenyewe ni wa ndege!

Shughuli upo kwenye AERONAUTICAL ENGINEERING hii ndio yenyewe sasa kama huna Physics hutoboi..na hii sio lazima mtu asome PGM hata PCM au PCB wanasoma, ni uwe na pesa tu ya ada. Hawa sio tu wanaendesha bali wanaweza kuunda na kutengeneza ndege!
 
Kwa nchi zetu kusoma maana yake unajiweka sawa kupata white colar job, sasa kwenye kuamua mostly mtu anaangalia asome combination ipi ambayo baadae anaweza kujiendeleza impatie fursa, kwa msingi huo sasa ndipo unapoa angalia PGM inaweza kukupa link ya kutokea wapi!

Ingawa niseme wazi kwa nchi zetu hizi unaweza kua lolote unavyotaka bila kujali ulisoma nini, issue ni why ujitese na masomo complicated then uishie kufanya kazi ambazo ungeweza kusoma masomo abit easy?

Simply, career guidance kwa nchi zetu na familia nyingi hakuna, we unasoma tu kwa kuangalia watu wanasemaje itafahamika!
 
Bongo kama bado uko shuleni unaweza uka-complicate sana maisha kumbe baada ya chuo haijalishi ulisoma nini ndo uhalisia unaonekana. Yaani mara nyingi wabongo tunakuja kugundua mtaa unahitaji nini tukishamaliza chuo. Omba usiwe ulienda chuo kimhemko. Kuna madogo form six walipiga one kali sana PCM wakaenda Petroleum Engineering sasa hivi wanasota. Kibongobongo hela zipo kwenye vitu vilaini vilaini kama uhasibu, banking and finance na procurement. Na hata kama sio hizo hata fani zingine zinahitaji sana TIMING. Kuna jamaa yangu f6 alikula zero ila hakupanik. Akarudi mtaa na kusoma mwelekeo akaamua kwenda DIT kusoma Diploma ya mambo ya maabara. Akapata kazi Azam na baadae kwa mkemia mkuu hadi leo. Anavuta noti ndefu sana kuliko sisi tulioenda Chuo direct. On top of that pia BAHATI. Kama una nyota ya punda utapigika tu haijalishi ulisoma nini.
 
Kusomea Urubani ni pesa yako tu na wanaanza fundisha kuanzia miaka 17 imradi tu uwe umemaliza Form Four na uwe na Dollar 17000.

Pale Moswood Terminal 1 watakufundisha na utakuwa na uwezo wa kupata PPL (Leseni Binafsi ya Kurusha Ndege), ukitoka hapo ndio waenda kwenye CPL, ATPL ambapo huko pote utakuwa wafanya Rating kutokana na ndege unayotaka au zilizopo kwenye shirika unalofanyia kazi.

NB: Marubani wengi ila ndege chache hivyo unaweza soma ila ukawa day worker kupeleka Watalii Mbugani
Marubani ni wachache na ndege ni nyingi
 
Back
Top Bottom