Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,223
- 7,408
Ginimbi wa Tanzania na Kongo.
DuuhGinimbi wa Tanzania na Kongo.
HekoPetitman huyu ni Bilionea toka Congo DRC anaeishi TZ kwa muda mrefu sasa.
Inasemekana yeye ndo anamfadhili kijana wetu Dangote kifedha ili kuendesha ofisi na kufanikisha shoo zake ikiwemo hii ya karibuni ya A BOY FROM MADALE.
Kwa niaba ya Watanzania natoa shukrani za dhati kwa Mhe. Dr. Petitman.
Mkuu kama unatumia kaya, punguza kidogoNdio. Jamaa ana migodi ya Almasi Congo pia nchini amewekeza kwenye media house kadhaa. Tuna mengi ya kujifunza toka kwake
Meneja wa Oh MyMmmh..mkuu hii chai ...petitman huyo huyo aliekua anazunguka na wema kila sehem mpk mikoba kumbebea leo hii kawa bilionea au unamzungumzia mwingne
Mi nilijua tu, bila Petit man Wakuache Diamond saa hizi ashakufa.
Huyo punda wa Majizzo ,ana Migodi?Petit ni punda wa kubeba madawa ya kulevya .Ndio. Jamaa ana migodi ya Almasi Congo pia nchini amewekeza kwenye media house kadhaa. Tuna mengi ya kujifunza toka kwake