Tetesi: Petitman: Mkongomani Bilionea anayempa 'support' Diamond kifedha

Petitman huyu ni Bilionea toka Congo DRC anaeishi TZ kwa muda mrefu sasa.

Inasemekana yeye ndo anamfadhili kijana wetu Dangote kifedha ili kuendesha ofisi na kufanikisha shoo zake ikiwemo hii ya karibuni ya A BOY FROM MADALE.

Kwa niaba ya Watanzania natoa shukrani za dhati kwa Mhe. Dr. Petitman.
Heko
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom