Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 5,355
- 8,066
Mengi yamesemwa kuhusu mchango wa Edward Lowassa akiwa Waziri wa Wizara mbalimbali na akiwa Waziri Mkuu.
Katika mazuri aliyofanyia Taifa ni kuongoza nchi za ukanda wa mto Nile (Riparian states) kupinga Mkataba wa Waingereza na Egypt wa mwaka 1929 kuhusu matumizi ya maji ya mto Nile.
Waanaofaidika na miradi wa maji ya Ziwa Victoria ni kazi ya Lowassa, tunamkumbuka na kumshukuru kwa hilo.
Petition: Mradi huo wa maji kutoka Lake Victoria uitwe Edward Lowassa Channel ili kulinda historia hii.