Peter Tosh na Gregory Isaacs | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Peter Tosh na Gregory Isaacs

Discussion in 'Jamii Photos' started by Askari Kanzu, Oct 11, 2012.

 1. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Mnawakumbuka hawa magwiji?

  [​IMG]
   
 2. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  wanalainisha sauti
   
 3. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kabisa. Bila huo moshi sauti itakuwa na mikwaruzo mingi.
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Gregory Isaac Cool ruler!! nyimbo zake nazipenda sana hasa night nurse tulikuwa na kanda yake home nikiwa Iringa my bro aliinunua hiyo ni 1991, wakati ule kanda zinarekodiwa na local studios. Pale iringa kulikuwa na Studio FM5 km sijasahau na Wamahanji hahha ilikuwa balaa collection zao zilikuwa kali. Peter tosh sijawahi kuwa mshabiki wake so sizijui saaaaaaaaana nyimbo zake! Ila Bob Mlay ooops Bob marley zoote zipo kichwani sema nianze!! from Judge Not to Confrotation! RASTA LIVE!!!!!!
   
 5. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #5
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wanafalsafa ya moja kwa moja toka mungu sio ya kuchakachua.kama bangi inaleta uchizi hawa wangekuwa machizi kuliko wote.rip
   
 6. paty

  paty JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,257
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  oooh mungu awalaze kwa amani sons of negust. sellasie I. NEGUS NEGUST
   
 7. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,809
  Likes Received: 2,584
  Trophy Points: 280
  Honourable Mugabe thinks otherwise. Read Jamaicans angry at Robert Mugabe pot smokers comment. BBC news
   
 8. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #8
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  sasa hao na mugabe nani ana akili we mtu hata kutembea,kuongea huwezi halafu unataka uongoze nchi wakati we mwenyewe hujimudu shame on him.
   
 9. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #9
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Hawa si ndio mabaki ya THE WAILERS?
   
 10. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #10
  Oct 12, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  afu ndio huyo huyo Mugabe aliyemualika Bob Marley (mvutaji bangi mkuu) kwenye tamasha la uhuru wa Zimbabwe mnamo mwaka 1980.
   
 11. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #11
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,809
  Likes Received: 2,584
  Trophy Points: 280
  Them crazy,them crazy we gonna chase the crazy bald heads out of town. Qoute Bob Marley.
   
 12. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #12
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wanasiasa ni mhimili wa uzandiki humu duniani hawapaswi kuwaamini hata kidogo,tabia zao tu ni za kiendawazimu,nyerere mwenyewe na ujanja wake alimuona chizi baadae yeye mwenyewe akagundua bob is most genious than him .
   
 13. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #13
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Mtani kuna mmoja aliupiga sijui ni huyu Gregory au mwingine nadhani unaitwa Substitute naomba unikumbushe ninautafuta kweli,moja ya mistari yake anasema since you told me to leave ando you wont come back na anaendelea kidogo nimesahau hapo kati kisha anasema Now you are drinking liquid which you didnt do,Ill be around so you wont get down,substitute gonna make/let you down,naukumbuka baadhi ya maneno tu na kama umenipata naomba unipe jina la muimbaji na ninavyoweza kuupata youtube..
   
 14. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #14
  Oct 12, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Pata uhondo hapa mkuu!

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. JingalaFalsafa

  JingalaFalsafa JF-Expert Member

  #15
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 13, 2012
  Messages: 759
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 45
  "Building your penetetially...we build your schools...Hate is your reward for our Love...telling us about your God above...
  WE gonna chase dem crazy..."
  am very very veryyyyy excited!!!
  Kila la heri mkuu!
   
 16. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #16
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145

  Baba Askari Kanzu ningekuwa na uwezo wa kukupa Like 1000 kwa mpigo ungezipata,lakini inawezekana moja tu kwa hiyo pokea hiyo,umenikumbusha mbali sana mkuu wacha niendelee kukumbuka za miaka hiyo asante sana....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. JingalaFalsafa

  JingalaFalsafa JF-Expert Member

  #17
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 13, 2012
  Messages: 759
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 45
  Mkuu pamoja sana! Unaitwa "Substitute Lover" wa Gregory Isaacs, jinsi ya kuupata Youtube, cjui. Binafsi niliupata Waptrick, na kamchina kangu... Audio, vedeo to Lyrics!
  "Suzan told me to live sayin' she's a woman who's cute...
  All in a sudden she said ama' she found a substitute...
  Am jus' letin' know I'l be still around...I will be ur bridge over troubled water...So u won't get drown...substite gonna put u down...
  Ohoo ohoo ohoooo! Ahaa ahaa haaaa!

  I heard u're smoking cigarrete by the pack...
  Since u told me to leave an' don' come back...
  It is not my fault, u're the one who said we are through...now u are drinkin' liqo which u didn't do...but I will be around, so u won' get drown, substitute gonna put u down...
  Ohoo ohoo ohooooo!
  Ahaa ahaa ahaaaaaa!

  Whenever time u're in trouble...just call ma'name and I'll be on the double...an' u won't get drown, substitute gonna put u down... I will be around, so u won' get drown...... I will be around...u won't get drown"
  Pia ana Hard Drugs, strange in the Nighty, Sad to Know,
  Ni mkali kwangu kwa Sweet Reggae!
  Ila ombi, kama kuna mwenye Lyrics za Boderation by Bunny Wailer, msaada plz...
  Raggae ni zaidi ya Muziki!
  Mungu wetu anaita!
   
 18. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #18
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,798
  Likes Received: 36,829
  Trophy Points: 280
  Jon be good tonight- by peter tosh.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 19. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #19
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145

  Pamoja sana kak,a hapa wewe na Askari Kanzu mmenirudisha kama miaka 20 nyuma nilipokuwa bado niko masomoni nashukuru sana mkuu..
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #20
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Gregory Isaaac alikuwa na vbao kama - Night Nurse na Objection overuled. kwa kweli alikuwa mtaalamu wa reggae za mapenzi

  Tosh acha kabisa kama mnakumbuka- Wanted Dead or Alive, When you live in galss house don't throw stone nna When Dollar Die
   
Loading...