Peter Tosh na Gregory Isaacs

Peter Tosh na Gregory Isaacs

Mtani kuna mmoja aliupiga sijui ni huyu Gregory au mwingine nadhani unaitwa Substitute naomba unikumbushe ninautafuta kweli,moja ya mistari yake anasema since you told me to leave ando you wont come back na anaendelea kidogo nimesahau hapo kati kisha anasema Now you are drinking liquid which you didnt do,Ill be around so you wont get down,substitute gonna make/let you down,naukumbuka baadhi ya maneno tu na kama umenipata naomba unipe jina la muimbaji na ninavyoweza kuupata youtube..

Mkuu @St.Paka Mweusi ni Gregory !
 
sasa hao na mugabe nani ana akili we mtu hata kutembea,kuongea huwezi halafu unataka uongoze nchi wakati we mwenyewe hujimudu shame on him.

You cant shame him, coz he is a Great Son of Mama Africa, sema sera za kutotaka kuwapigia makofi western nations kumemponza so wanamportray as a maniac lets not fall into their cheap propaganda n' trap, usipokubaliana nao they just devalue your currency, impose economic sanctions n' what not so as to prove their goal, long live Mugabe
 
namkubali sana mugabe kaka sana tu lakini kaka kwa kiwango kile cha uzee akili zimeshachoka,na ninaamino morgan tshangirai ni puppet tu.
 
Gregory Isaac Cool ruler!! nyimbo zake nazipenda sana hasa night nurse tulikuwa na kanda yake home nikiwa Iringa my bro aliinunua hiyo ni 1991, wakati ule kanda zinarekodiwa na local studios. Pale iringa kulikuwa na Studio FM5 km sijasahau na Wamahanji hahha ilikuwa balaa collection zao zilikuwa kali. Peter tosh sijawahi kuwa mshabiki wake so sizijui saaaaaaaaana nyimbo zake! Ila Bob Mlay ooops Bob marley zoote zipo kichwani sema nianze!! from Judge Not to Confrotation! RASTA LIVE Mkuu hizo studio umenikumbusha mbali sana hata mm nilikuwepo Iringa wakati ule
 
Back
Top Bottom