Peter Serukamba: Ole Sendeka 'huna sera kwa leo kaa chini'

Tangu lini mtu aliyesindikwa akawa na akili wakubwa?

Ole Sendeka amechachuliwa so hana ladha wala mvuto tena.

Siku zote ukiona mtu mustache umesimama anaongea anazungusha zungusha macho kama kinyonga jua tu huyo si mtu wa kumuamini katika jambo lolote. He is a puppet
 
Naomba nimjulishe mbunge wa simanjiro Ole sendeka kwamba aliwahi kushangiliwa sana na wananchi sii kwasababu anatumbo kuwa wala kichwa kikubwa, hawakumshabikia kwasababu yuko CCM, au anajua kutisha watu kwa bastola!

Hawakumsangilia kwasababu anajua kuiba kura, au kuitukana na CHADEMA, pia sii kwasababu anajua kumnukuu baba wa taifa, na baadaye kuwa mnafiki! walimshabikia kwasababu aliweza kusimama na kupigania maslai ya watanzania hususani kuusimamia ukweli na kutaka watu waujue ukweli

kwa sasa kwasababu ameshaamua kuwadharau na kuwatukana watanzania, kuwajengea uadui na kutengeaneza hila za kuwahujumu watanzania kwa kuhakikisa anaihujumu sauti yao CHADEMA sasa watanzania wameamua na wamedhamiria kuhakikisha hawatakushangilia wala kukushabikia tena.

Hii ni ili wewe ujue kwamba
CHADEMA ni wazo, chadema ni mpango mzima mpango wa mungu. Na huu ndo mwisho wa wewe kuingia mjengoni kweli nakuhakikishia hutaingia tena mjengoni.

Naona umeamua kumwambia ukweli.
 
Jamaa alianza kufuka moshi Arumeru na saizi amekuwa mtori kabisa!!!

Mwisho wa Olesendeka haupo mbali.
 
huyu jamaa nilikutana nae Dodoma akajifagilia sana na huwa anapenda kujisifu kwamba kuna watu wakifika pale kariakoo wata shambuliwa na wananchi kutokana na ufisadi wao! namuomba yeye leo aende pale kariakoo au ubungo ajipitishe aone muziki wake.kosa lake alijiona ni kidume wa kuitukana CHADEMA wakati chadema ni wazo na ni mkombozi wa watanzania,
 
Sendeka atuambie kwanza amemrudisha shule mwanafunzi aliyezaa nae? Kazi kusukuma 2mbo na kuhudhuria kwa mromboo arusha kula mbuzi.MASAI ANAPENDA TUMBO HUYU.
 
Hii ni ili wewe ujue kwamba [/COLOR]CHADEMA ni wazo, chadema ni mpango mzima mpango wa mungu. Na huu ndo mwisho wa wewe kuingia mjengoni kweli nakuhakikishia hutaingia tena mjengoni.

Unamaanisha CHADEMA ni mpango wa Yesu kama anavyosema Josephine?
 
huyu jamaa nilimuona mnafiki pale alipomshambulia bungeni mh lisu kuhusu mambo ya katiba mpya, lakini alikuja kushushuka baada ya rais kukubali kuonana na ujumbe wa cdm pale ikulu! tokea hapo hadi leo huyu mh ole sendeka nimemtoa thamani kwangu, ni mnafiki tu.
 
Kiungwana kama ameweza kusoma alama atangaze kustaafu ubunge kama makinda la sivyo ajiandae kupata aibu. Leo asubuhi wakati nakwenda mzigoni nilipewa lifti na balozi wangu ambaye niwa magamba na ni mfanya biashara mkubwa, kanihakikishia kuhamasisha watu wake waichague cdm na sio magamba pindi wakati utakapofika.
 
nasikia jana kazomewa na wabunge kwenye kokasi ya ccm anajifanya mtetezi wa mawaziri tumbo kubwaaaaaa
 
Sendeka ubunge wake mwisho 2015. Mallya atakuwa Mbunge wa huko. CDM hoyeee!
 
very sad kambi ya Mwakyembe dhidi wala pesa za umma nayo imeanza kuzama, kwani tayari imempoteza SELELII NA SASA MZEE OLE, VERY SAD. Kila empire ina zama zake, ccm naona wameanguka kama empire ya rome taratibu inashuka kule isikotaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom