Kambi ya Sita/Mwakyembe ilizama muda mrefu sana kwasababu wapiganaji wake walikua wanapambana kila mtu akiwa na malengo binafsi! Baadhi wakipigania maslahi ya taifa (Mpendanzoe, Selelii, mzee Shelukindo),wengine wakipambana na mahasimu wao kisiasa( Sitta, Mwakyembe, Sendeka, Kilango) na wengine bendera fuata upepo!very sad kambi ya Mwakyembe dhidi wala pesa za umma nayo imeanza kuzama, kwani tayari imempoteza SELELII NA SASA MZEE OLE, VERY SAD. Kila empire ina zama zake, ccm naona wameanguka kama empire ya rome taratibu inashuka kule isikotaka