Peter Serukamba: Ole Sendeka 'huna sera kwa leo kaa chini'

Njowepo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
9,710
Reaction score
2,249
Ole Sendeka azomewa
Katika kikao hicho wabunge walimzomea Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole-Sendeka baada ya kusimama na kuonyesha wazi kuwa anawatetea mawaziri hao walioonekana kuchafua hali ya hewa.

Inadaiwa Ole Sendeka aliwataka wabunge wenzake kupunguza hasira na kuwasamehe mawaziri akisema kuwa nao ni binadamu ambao kwa vyovyote lazima wawe na mapungufu.

Kauli hiyo iliufanya ukumbi huo wa Msekwa kulipuka kwa kumzomea kabla ya Mbunge wa Kigoma, Mjini Peter Serukamba kumueleza mbunge huyo kuwa “huna sera kwa leo kaa chini”.

MY TAKE

Kama haya yote yanatamkwa na wabunge wa CCM let it be a sustainable spirit for the wellbeing of Tanzania not CCM.

Source: Pinda rehani
 
Mzee wa Monduli aliwaambia amerudi na yuko fiti kwa mapambano hamkukubali.. sasa nadhani kila mtu anaona.Ila kwa hili hata mimi niko nyuma yake... kula tano.. mzee wa Monduli....

Acha utani Kiraka. Inawezekana huu mcharuko wote kuanzisha Baba Mlezi wa Sioi.
 
Ole Sendeka azomewa
Katika kikao hicho wabunge walimzomea Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole-Sendeka baada ya kusimama na kuonyesha wazi kuwa anawatetea mawaziri hao walioonekana kuchafua hali ya hewa.

Inadaiwa Ole Sendeka aliwataka wabunge wenzake kupunguza hasira na kuwasamehe mawaziri akisema kuwa nao ni binadamu ambao kwa vyovyote lazima wawe na mapungufu.

Kauli hiyo iliufanya ukumbi huo wa Msekwa kulipuka kwa kumzomea kabla ya Mbunge wa Kigoma, Mjini Peter Serukamba kumueleza mbunge huyo kuwa “huna sera kwa leo kaa chini”.

MY TAKE

Kama haya yote yanatamkwa na wabunge wa CCM let it be a sustainable spirit for the wellbeing of Tanzania not CCM.

Source: Pinda rehani

Serukamba ni mtu wa Lowassa, tena yeye ni mpambe wa Lowassa kuliko hata Millya. Ole sendeka ni kambi ya Six. So nothing new hapo
 
Lowassa naye jamani anau-speed up ukombozi. Tumuunge mkono!
 
Back
Top Bottom