Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,144
- 166,076
Kila ufisadi wa nchi hii utakisikia jina ChengePeter Noni na Rostam ni wabia wa biashara (Vodacom). Peter Noni ni shahidi wa serikali katika kesi za EPA zinazoendelea. Alikuwa ni bosi wa kina Imani Mwakosya, Esther Komu na Bosco Kimola. Katika ushahidi wake mwanzoni mwa mwaka huu aliiambia mahakama kuwa malipo ya EPA yalifanyika kwa idhini na ujuzi wa moja kwa moja wa Gav. Ballali. Alishuhudia mwenyewe kuwa taarifa zilitoka kwa Gavana kuja kwake, na baadaye kwenda kwa kina Imani.
Niliandika kwenye kijarida cha Cheche wakati nazungumzia mafisadi (mwishoni mwa mwaka jana) kuwa Peter anatakiwa kuwa miongoni mwa watuhumiwa wa wizi huu lakini nilielewa kwanini asingeweza kusimamishwa kizimbani - kwa sababu ni mtu mmoja ambaye anajua connection ya Rostam.
Mfanyakazi wa BOT ambaye ana uwezo na fedha ya kuanzisha kampuni ya Planetel (ningependa kweli kujua kampuni hii ilianzishwa lini na wana hisa wake!) na kuwa na hisa kubwa tu kule Vodacom ambazo walikuwa waziuze (sijui kama tayari wameziuza) kwa kampuni ya Mirambo inayomilikiwa na Rostam!
Mpango huo ulifanikiwa kwa ushirikiano mkubwa na usaidizi wa aliyekuwa Waziri wa Miundombinu Bw. Andrew Chenge.
Well.. je waridi likiwa na rangi nyingine laweza kuwa si waridi?
Dah! Ama kweli kuishi kwingi ni kuona mengi.Katika Uchunguzi wangu wa Kina, nimegundua kuwa Tatizo sio Vodacom Hapa, Tatizo ni UKABILA NA UKANDA ndio unatusumbua kwa sasa.
Wachaga walikuwa very influencial katika siasa za Tanzania, but they lost that status as the time was passing on. Ukiangalia utawala wa Mkapa uliwanufaisha sana wachaga, which has lost in Kikwete leadership. On other hand kwa Kuangalia political Map Rostam Aziz ni influential kwasababu alikuwa na good ties with the lake zone which politically always is a very big decider of Tanzania politics.
Ndio maana ukianza kutaja majina yote ya watu ambao wako associated na Rostam Aziz na VodaCom wote wanatoka kanda ya ziwa, mpaka unakuta hata Lipumba hawezi kuongea against RA
Rostam Aziz ni mnyamwezi, ukiangalia Tabora, Mwanza na Shinyanga mpaka Musoma ukweli ni kwamba kuna waarabu wengi sana ambao ni wafanyabiashara maarufu katika maeneo yao and they have helped those communities for many years.
Why Rostam Aziz ana kiburi? Rostam had legitimate business for so long and if you look back at Mirambo Holdings is one of very reputable investment company in Tanzania for so long.
Kilichoenda kombo ni kwamba Rostam alikuwa ni njia tu ya ku-justify uchotaji wa fedha za CCM ,
why KIKWETE YUKO KIMYA?
Since he drugged RA in this shit hawezi kumsaliti, COST ya yeye kumsaliti is equal to the lose of political map. RA anafahamika Mwanza, Shinyanga, Tabora na Musoma and he is very influential there, calculation ni kura za NEC Mzee, na kanda ya ziwa ndio imempa JK ushindi.
MENGI
Tatizo la Mengi ni kwamba he have been a big fish for so long, akiangalia mwelekeo wa biashara na political influence ilivyopotea kwa wachaga anaogopa. But he has legitimate claims panapoharibika ni kwamba waarabu wengi wenye ugomvi na Mengi ni kutoka kanda ya ziwa, wanajiita wasukuma. So Mengi is in battle to retain his powership/chaga but at the same time anasidia kupambana na ufisadi
Mwisho tulipofika sasa:-
- JK Anaangalia his political future.
- Wasukuma wameshikilia justice department
- Wasukuma,wanyamwezi hawawezi kumwachia RA afe maji
- JK hawezi kuwatosa wasukuma
- Wachaga, they see it is the time for them to gain their political influence
- Wasukuma wanawafunga mafisadi wachaga
NGOMA NZITO MZEE MWANAKIJIJI
Waridi ni harufu rangi zaweza kubadilika kutokana na hali ya hewa na vipindi vya sikuPeter Noni na Rostam ni wabia wa biashara (Vodacom). Peter Noni ni shahidi wa serikali katika kesi za EPA zinazoendelea. Alikuwa ni bosi wa kina Imani Mwakosya, Esther Komu na Bosco Kimola. Katika ushahidi wake mwanzoni mwa mwaka huu aliiambia mahakama kuwa malipo ya EPA yalifanyika kwa idhini na ujuzi wa moja kwa moja wa Gav. Ballali. Alishuhudia mwenyewe kuwa taarifa zilitoka kwa Gavana kuja kwake, na baadaye kwenda kwa kina Imani.
Niliandika kwenye kijarida cha Cheche wakati nazungumzia mafisadi (mwishoni mwa mwaka jana) kuwa Peter anatakiwa kuwa miongoni mwa watuhumiwa wa wizi huu lakini nilielewa kwanini asingeweza kusimamishwa kizimbani - kwa sababu ni mtu mmoja ambaye anajua connection ya Rostam.
Mfanyakazi wa BOT ambaye ana uwezo na fedha ya kuanzisha kampuni ya Planetel (ningependa kweli kujua kampuni hii ilianzishwa lini na wana hisa wake!) na kuwa na hisa kubwa tu kule Vodacom ambazo walikuwa waziuze (sijui kama tayari wameziuza) kwa kampuni ya Mirambo inayomilikiwa na Rostam!
Mpango huo ulifanikiwa kwa ushirikiano mkubwa na usaidizi wa aliyekuwa Waziri wa Miundombinu Bw. Andrew Chenge.
Well.. je waridi likiwa na rangi nyingine laweza kuwa si waridi?
Aiseee!!Kwa wale ambao wamesahau.. tulikotoka na watu ambao hawakutakiwa kupigishwa magoti...
Uko sahihiKwa wale ambao wamesahau.. tulikotoka na watu ambao hawakutakiwa kupigishwa magoti...
Duh! Interesting. Uchambuzi utadhani MaghufuliKatika Uchunguzi wangu wa Kina, nimegundua kuwa Tatizo sio Vodacom Hapa, Tatizo ni UKABILA NA UKANDA ndio unatusumbua kwa sasa.
Wachaga walikuwa very influencial katika siasa za Tanzania, but they lost that status as the time was passing on. Ukiangalia utawala wa Mkapa uliwanufaisha sana wachaga, which has lost in Kikwete leadership. On other hand kwa Kuangalia political Map Rostam Aziz ni influential kwasababu alikuwa na good ties with the lake zone which politically always is a very big decider of Tanzania politics.
Ndio maana ukianza kutaja majina yote ya watu ambao wako associated na Rostam Aziz na VodaCom wote wanatoka kanda ya ziwa, mpaka unakuta hata Lipumba hawezi kuongea against RA
Rostam Aziz ni mnyamwezi, ukiangalia Tabora, Mwanza na Shinyanga mpaka Musoma ukweli ni kwamba kuna waarabu wengi sana ambao ni wafanyabiashara maarufu katika maeneo yao and they have helped those communities for many years.
Why Rostam Aziz ana kiburi? Rostam had legitimate business for so long and if you look back at Mirambo Holdings is one of very reputable investment company in Tanzania for so long.
Kilichoenda kombo ni kwamba Rostam alikuwa ni njia tu ya ku-justify uchotaji wa fedha za CCM ,
why KIKWETE YUKO KIMYA?
Since he drugged RA in this shit hawezi kumsaliti, COST ya yeye kumsaliti is equal to the lose of political map. RA anafahamika Mwanza, Shinyanga, Tabora na Musoma and he is very influential there, calculation ni kura za NEC Mzee, na kanda ya ziwa ndio imempa JK ushindi.
MENGI
Tatizo la Mengi ni kwamba he have been a big fish for so long, akiangalia mwelekeo wa biashara na political influence ilivyopotea kwa wachaga anaogopa. But he has legitimate claims panapoharibika ni kwamba waarabu wengi wenye ugomvi na Mengi ni kutoka kanda ya ziwa, wanajiita wasukuma. So Mengi is in battle to retain his powership/chaga but at the same time anasidia kupambana na ufisadi
Mwisho tulipofika sasa:-
- JK Anaangalia his political future.
- Wasukuma wameshikilia justice department
- Wasukuma,wanyamwezi hawawezi kumwachia RA afe maji
- JK hawezi kuwatosa wasukuma
- Wachaga, they see it is the time for them to gain their political influence
- Wasukuma wanawafunga mafisadi wachaga
NGOMA NZITO MZEE MWANAKIJIJI
Ila tulipofikia ni patamu, sasa mmegeuka kuwa propaganda machine za ccm.Kwa wale ambao wamesahau.. tulikotoka na watu ambao hawakutakiwa kupigishwa magoti...
Uliona mbali sana Leo Peter yuko rumande kekoKwa kweli tunaelekea pabaya,maana kama walijua wazi wakimgusa Peter wamekusa serikali ndio maana wakaamua kumwacha.ila wajue kuna siku wataumbuka.Tuendelee kuomba mungu bila kuchoka watz
Kila lenye makengeza wanalisingizia.Kila ufisadi wa nchi hii utakisikia jina Chenge
Linajisingizia lenyeweKila lenye makengeza wanalisingizia.
Wewe umenena.Kama watu kama Dr. Slaa na Kina Mwakyembe wangeamua kukimbilia ugenini ingekuwaje?
Tusichoke iko siku moja Tanzania itakuwa huru.
And the party is going on ....King maker is again on the wheels of steel [emoji41][emoji41][emoji41]LeoKweli... CCM wenyewe wanasema 'chama kama chama hakikumtuma mtu kufanya ufisadi, ni watu wenyewe'.. Hilo swalii la nguvu za RA ni swali ambalo historia itachukua muda kulijibu.
Ndani yao kwenye CCM kuna watu wenye nguvu zaidi (nguvu ya dola) ambao wanaweza kuamuru mvua ikanyesha ikanyesha! RA ana nguvu kubwa, nguvu yake inatokana na ujuzi siyo fedha (kwani wapo wengi tu wenye fedha). Ni nguvu ya mtumishi anayejua nani kafanya nini... ni nguvu aliyoionesha juzi kwenye taarifa yake na ni nguvu aliyoionesha kwa Mtikila...
Kwenye Mafia hakuna mtu ambaye anaogopwa kama anayejua..... ndiyo maana RA hagusiki.... sikiliza maneno yangu: siku RA atasimama na kusema kuwa anataka kusema ukweli juu ya EPA n.k.. that same day itakuwa ni mwisho wake (literally). Amina Chifupa .... Ana nguvu kuliko malaika wa shetani!
Hatari, hadi Mwenyekiti na Katibu wanaona fahari kupiga naye picha.And the party is going on ....King maker is again on the wheels of steel [emoji41][emoji41][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app