Peter Msigwa avamiwa na vibaka maeneo ya Ikulu

Kesho tutasikia JK ameibiwa simu na wallet hapo ikulu sasa ikulu pamekuwa pango la wanyang'anyi
 
Haya ndio matokeo ya tafouti kubwa kati ya walichonacho na mafukura wa nchi. Utu unatoweka unyama unaota mizizi. Mgogoro ujao mkubwa Tanzania si wa kidini bali kati matabaka.
 
huyu hapa anafunguka facebook
""Niliharibikiwa na gari maeneo ya kutokea ikulu mda
sio mrefu,nikavamiwa na vibaka Saba Mimi pamoja
na Dereva wangu ambaye alikuwa anafungua tairi
nimepigwa vizuri ,na nimenyang'wa simu zote na
pesa pamoja na waleti ,hii Ndio bongo , ....watu
wengi nitakuwa nimepoteza namba zenu""


My take.: askari wapo bussy na Sheikh ponda na Faridi?? Its a big joke

Hapo kwenye red, nisaidieni tafsiri yake wandugu..
 
Hivi wabunge si wanakuwaga na bastola? au airuhusiwa kupiga hewani maeneo ya ikulu? Je kama hairuhusiwi sasa inakuwaje vibaka wapo maeneo ya ikulu? Hapo inaashiria nini vibaka kuwa karibu na ikulu?

wewe jamaa hamnazo kabisa au hujui kuwa mwenye mji mwenye ni kibaka namba moja unafuu wake huvaa suti kwahiyo kwa hiyo kama msigwa kaabiwa mitaa ya dhaifu mtuhumiwa namba 1 ni dhaifu..msigwa fata sim yako jengo jeupe..
 
inamana polisi wanatakiwa wawepo kila kona ya mtaa,kijiji hadi kitongoji,
sio kweli,pole mhe.
 
Kila kukicha tunapata news na bado tunasema serikali ipo macho! Kwa kweli sijui kama tutafika kwa hali hii!
 
Dar sio salama hili nimeshalisema mara nyingi sana..tatizo lingne ni watu wa huu mji kuwa na tabia mbaya za kiswahili ukivamiwa utapambana mwenyewe hata kama wapo wanakuangalia tu...watu wabaya sana kabisa
 
mkuu mimi nafikiri alikua anatoa taarifa tu, hata nchi zilozoendelea pamoja na sheria kali bado uhalifu upo.!
uko sahihi mkuu.......labda tungejikumbusha kidogo ni wapi tulikopi na ku-pesti ile sheria isiyo na ushahidi "sheria ya kukonyeza" hapa ndio tungejua kuwa wenzetu wana sheria kali sana.
 
Dar sio salama hili nimeshalisema mara nyingi sana..tatizo lingne ni watu wa huu mji kuwa na tabia mbaya za kiswahili ukivamiwa utapambana mwenyewe hata kama wapo wanakuangalia tu...watu wabaya sana kabisa
hivi kumbe ndivyo Dar ilivyo!!
 
uko sahihi mkuu.......labda tungejikumbusha kidogo ni wapi tulikopi na ku-pesti ile sheria isiyo na ushahidi "sheria ya kukonyeza" hapa ndio tungejua kuwa wenzetu wana sheria kali sana.

Hii sheria ya kukonyeza bana, hivi ilishawahi kutumika??
 
Kwetu ulikuwa uzushi kuwatisha wanaume, wabunge waanza kuijadili ili iwe sheria..kabla ya hapo lilikuwa pendekezo, baadaye muswada , halafu ukatupiliwa mbali kwani hata wanawake walikuwa wanakonyeza. Pili hata kama mtu angekuwa na uhasama na mtu anasingizia kukonyezwa.....pia hata kama ni kesi inakuwa haina ushahidi. Ni kama pia mtu akilewa pombe, huwa hakuna ushahidi. Kalewa leo, unam-remand halafu kesho unampeleka mahakamani, kama ni kesi atakushinda kwani hiyo kesho hatakuwa kalewa pombe, pia hakuna sheria yeyote inayombana mtanzania anywe au asinywe kiasi gani hata akiweza kunywa baa nzima. Mwisho : mtu huyu atashtakiwa endapo pombe aliyokunywa itamfanya asababishe tukio au dhara ambalo litageuka kuwa "uvunjifu wa sheria.......!!
Hii sheria ya kukonyeza bana, hivi ilishawahi kutumika??
 
Kwa nn hakupiga yowe rais atoke kumpa msaada?
...TIQO You really made my day nimecheka sana.Hivi unadhani huyo rais hata akisikia yowe atatoka mle ndani kuja kusaidia? Ye mwenyewe akiona bongo panaripuka anachukua pipa huyooooo!!!:laser:
 
Back
Top Bottom