Pete za silver

Pete za silver

mapadri na wachungaji kule kanisani Wanavaa zaidi hizi pete sijui ni kwa nini mwenye knowledge atujuze
 
mapadri na wachungaji kule kanisani Wanavaa zaidi hizi pete sijui ni kwa nini mwenye knowledge atujuze

wale huvaa kwaajil ya miito nazo huwa za aina tofaut na hz zlizo zagaa ovyo.
 

Attachments

  • IMG_20150531_080122.jpg
    IMG_20150531_080122.jpg
    76.5 KB · Views: 338
  • IMG_20150531_080055.jpg
    IMG_20150531_080055.jpg
    124.9 KB · Views: 313
  • IMG_20150531_080102.jpg
    IMG_20150531_080102.jpg
    128.1 KB · Views: 298
Na wewe nawe!!!!!!
ushamba tu umekuzidi,haya hizo hapo!!!

He he.......asante.......kumbe ni hizo........huwa naziona ila najua ni za kiganga.........basi sawa...........ndooooorooobo we......
 
He he.......asante.......kumbe ni hizo........huwa naziona ila najua ni za kiganga.........basi sawa...........ndooooorooobo we......

Heeeeee,yani kukusaidia nimekua ndooooooroooooobo?
ama kweli ukimuamsha aliyelala.........
 
Back
Top Bottom