Pete ya uchumba!

Ngoja nikalale nisije kuota bureeeeee....bata bukini??? khaa..........kumbikumbi ningeelewa


ukweli mimi nawafuga na nina wala ila ni wakali sana wako na hasira so usipokuwa makini wanaweza kula hata mtoto mdogo. wanauma sana. lakini ukimchinja leo uibanike nyama yake kesho ndo uipike wacha matani dogo...............ladha ya nyama yake ni tamu kuliko bata wa kawaida halafu ni wasafi kuliko bata wa kawaida.
 
Last edited by a moderator:
kumbe wewe mtoto wa a town chalii yangu. miye miaka hiyo niishi sanawari nikiwa mwwl hapo enaboishu sec. those days back. hivi lkn kijiwe cha kwa keni bado kipo? walikuwaga wanauza mchemsho kweli kweli hapo.

dah!!! wewe umetembea Tanzania nzima nini? ila mimi sio mtu wa vijiwe au kuzurura hovyo...so hivyo vijiwe mimi sivijui.
 
zawadi kubwa,nzuri na yenye ubora na haina expiry date ni ile kitu pekeeee..........inawatesa watu isee jamaa yng yaaaan hadi maneno yamekata.
 
teh teh teh teh!!! Kipipi my dear...come this way...I wanna tell you something.

YM !
Hebu ongeza speed , na ongeza kukazia hukumu kwenye hilo jimbo (Kipipi)
manaake yuaonekana msamiati wa neno "usajili " haujui ! Unanielewa? Hilo neno "unanielewa" lipronnounce kama yule mangi wa ze comedy ya chanel 10!
 
Last edited by a moderator:
YM !
Hebu ongeza speed , na ongeza kukazia hukumu kwenye hilo jimbo (Kipipi)
manaake yuaonekana msamiati wa neno "usajili " haujui ! Unanielewa? Hilo neno "unanielewa" lipronnounce kama yule mangi wa ze comedy ya chanel 10!
Judgement umeshapata moja moto moja baridi nini?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom