Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
YM !
Mi mbona sikuli hayo makitu ?
Kwani waniona nina viji'element kama nimebugia au ?
naona leo una dalili zote za kubugia hayo makitu...Its a good thing kama hubugii hayo makitu.
YM !
Mi mbona sikuli hayo makitu ?
Kwani waniona nina viji'element kama nimebugia au ?
nimekuja kuifaham but ni ngumu sana mtu kuelewa
imenichukua mda bhana mpaka nimeulizia we unadhani mchezoSi waona sasa! Umefunguka kiutu uzima!
So that agenda tuitupe kule.
Nisingekubana ungenacha nikijua hujui kumbe wajua !
Pamoja kiongozi .
naona leo una dalili zote za kubugia hayo makitu...Its a good thing kama hubugii hayo makitu.
imenichukua mda bhana mpaka nimeulizia we unadhani mchezo
duh!@kaizer wangu ndo anaijibu marinda yapo mangapi??? yule ni mwanaume wa shoka huwa hafumui manake anajua milando mingine yote yaweza kutumika kasoro huu.
Hata mie wa shoka pia !
Kitaka hakiki uliza BeibeNasty atakupa hadidu kama nami ni wa Mbao, Plastic au wa nini !
Usitudanganye hapa, kwa Cacico ulishindwaje hadi mkamwagana!!!? au fundi wa kuongea tu lakini vitendo hakuna!?kwa upande wangu mimi ningempa zawadi ya upendo na mapenzi yangu ya dhati ambayo hatoyapata kutoka kwa mtu mwingine yoyote zaidi yangu mimi...na hiyo ndio itakuwa zawadi yangu special kwa ajili ya huyo msichana ambayo ni jinsi gani nampenda, namheshimu, namthamini na jinsi gani alivyo wa muhimu katika maisha yangu.
Nan anauliza wewe wa nin? Alaaaaa we lako shoka hun wala wa plastic useme joto likizid wayayuka akuuu unautamu zaid ya jibin na asali bby mi stak nseme yoye hebu kwanza imiss ur voice tayari.
Kwanza tuangalie ni nini hasa maana ya engagement ring, hii huwa ni alama ya kuonyesha kuwa binti huyu tayari amepata mtu na yuko kwenye process za kuwa mke wa mtu (Tukitilia maanani kuwa mara nyingi ni mwanaume/mvulana anayemfuata mwanamke) so huwa ina lengo la kuwazuia wanaume wengine kumfuata msichana huyo kwa lengo lolote lile liwalo.mambo!
mara nyingi waschana huwa tunavikwa pete wakati wa engagement!! sasa endapo itatakiwa mvulana umpe mschana ktu kingine tofauti na pete!! je utampa nini mschana!!?? na endapo mschana itakuwa ni lazima umpe mvlana zawadi baadaya kuvshwa pete au kupewa mbadala wa pete!! utampa zawadi gani!!?? this is for all!!
Usitudanganye hapa, kwa Cacico ulishindwaje hadi mkamwagana!!!? au fundi wa kuongea tu lakini vitendo hakuna!?
We hujui watu tunaoongea sana practically huwa ni low ufanisi? Lol
Na Mungu alivyokujalia kipaji cha kuponda!
Unanipondeaje! Ile ponda msiginio!
Nway nambie Kimodo wangu! Hali vipi ?
Mi nikukaribishe Daku , kwa maana kuhusu futari ratiba inaread fully loaded .
Kwanza tuangalie ni nini hasa maana ya engagement ring, hii huwa ni alama ya kuonyesha kuwa binti huyu tayari amepata mtu na yuko kwenye process za kuwa mke wa mtu (Tukitilia maanani kuwa mara nyingi ni mwanaume/mvulana anayemfuata mwanamke) so huwa ina lengo la kuwazuia wanaume wengine kumfuata msichana huyo kwa lengo lolote lile liwalo.
Sasa umeongelea kama itatakiwa iwepo na mbadala nini kitolewe badala ya pete ya uchumba, nimesema hapo juu maana ya pete ya uchumba na kitu kinachotolewa ni lazima kiwe kile ambacho kinaweza kuonekana na watu wengine kirahisi ili kutoa ujumbe uliokusudiwa. Kwahiyo kwa fikra za haraka haraka naweza kusema labda bangili ya aina fulani, maana hivi vitu vingiensidhani kama vitakuwa ideal maana kuna uwezekano wa kuvibadili mara kwa mara.
Kwa mwanaume nini apewe! Mh hii ina mjadala kidogo maana kwenye stage ya uchumba mwanaume/mvulana huwa havai kitu lakini baada ya ndoa huwa anavaa pete pia kuonyesha kwamba huyu mtu sasa hayuko available kwa wengine. Labda tuendelee kujadili hili la wanaume......