Pete ya uchumba!

Pete ya uchumba!

hahahahhahhh!! c mbaka aweze kuiendesha!! na akiwa sister duh!! ndo utarudshiwa uendeshe mwenyewe!! lolest!!
heheheh kama ananipenda atajifunza kuendesha,mbona kuendesha baiskeli ni kama zoezi la kumaintain figure
 
mambo!
mara nyingi waschana huwa tunavikwa pete wakati wa engagement!! sasa endapo itatakiwa mvulana umpe mschana ktu kingine tofauti na pete!! je utampa nini mschana!!?? na endapo mschana itakuwa ni lazima umpe mvlana zawadi baadaya kuvshwa pete au kupewa mbadala wa pete!! utampa zawadi gani!!?? this is for all!!
mie ukinkubalia utachagua mwenyewe bibie, mradi uezo na uhai viwepo.lolz
 
huo mchele unaotaka kuniuzia ni mchele wa wapi?
hapa kuna aina kama kama 10 hivi ila ukiuliza utaambiwa supa ya mby. ndo mjini hapa umeona eeh! kuna mixed grill hii unaweka mchanganyiko maguu lower msh, na japan ya AR, kuna wa mby kyela na kuna makundi kienyeji yenyewe na dihybrid. kuna ifakara wa aina 3 wenye aroma na unaovumba na punje dongo. pia kuna singida na tbr shy huu ni wa aina moja so sema wewe wataka upi?
 
princess enny na Kipipi hivi si mwajua kwamba nyumba yeyote lazima iwe ina mlango na dirisha? so mtu anapita dirishani pamoja na vitu kama samani za ndani zapitia mlangoni siyo? dirisha kazi yake ni kupitisha hewa na mwanga ndani siyo? sasa ili mtu apite dirishani inamaana lazima uliharibu siyo yaani uchane wire mesh na nondo pia uzivunje siyo...........kwaherini
 
Last edited by a moderator:
hapa kuna aina kama kama 10 hivi ila ukiuliza utaambiwa supa ya mby. ndo mjini hapa umeona eeh! kuna mixed grill hii unaweka mchanganyiko maguu lower msh, na japan ya AR, kuna wa mby kyela na kuna makundi kienyeji yenyewe na dihybrid. kuna ifakara wa aina 3 wenye aroma na unaovumba na punje dongo. pia kuna singida na tbr shy huu ni wa aina moja so sema wewe wataka upi?

dahh!!! Mwenzangu yaani umeniacha katikati ya traffic lights halafu mbaya zaidi sijui hata niende njia gani.
 
so unanirudisha msimbazi center ama. manake sikusomi kabisa. hlafu unaroho mbaya sana nakukaribisha uanuchuna lol!


Muhimu kumkumbusha dada unaempenda...........hujui tuliku-send off na si on, kwa hiyo lazima kuhakikisha unabaki hukohuko.......nani anataka mbanano nyumbani, hapa story tu kula kwako ulikoenda kwa mbwembwe.......

Halafu umenikaribisha wapi?
 
Back
Top Bottom