Pete ya ndoa inaniponza......mawazo yako tafadhali

Mkuu Mayu,

Kilo Tano Kitu Gani Mkuu uki Compare na Risk ya Wife Kujua na Kuyumba kwa Ndoa Yako.
Au Kama vp Nenda Kwa Sonara, Kachongeshe Pete Nyingine Kama ya Awali, Mzuge wife umeipata.
Namna ya ku deal na huyo Demu wako Nitakwambia Baadae
 
Last edited by a moderator:
Wewe mayu, ndiyo ukome, kwa nini umemsaliti mkeo? Huo ndiyo mshahara wa dhambi. Na mnabahati mungu kawapendelea ingekuwa ukitoka nje ya ndoa inapungua kama ufutio naona wengine humu ndani wangekuwa hawana kitu peupeeeeeeeee!!!!
Hahahahahahahahahaahah nadhani wengine hapo pangekua flat duh
 
WHO ON EARTH DO YOU KNOW FU.CKS ANOTHER CHICK AND CONFESS IT HIMSELF TO HIS WIFE WITHOUT BEING ASKED OR PUT UNDER SCRUTINY?????? WHO??

Dude telling your wife is the dumbest idea ever!!!!!!!!!!! IF I WERE YOU I WILL HAVE TAKEN MY CHANCES!!!!!!! Who knows fate might be on my side!

Ila out of the blue, unampigia mkeo magoti na kutubu!!!!!!!!!!!! You may kill your wife with a heart attack!

Watu wanakutwa chiu guest, kitu ready handed na anakomaa hadi mwisho WIFE ITS NOT WHAT YOU THINK IT IS! I CAN EXPLAIN!!!!!!! LOLEST! Na hata mkewe akiondoka ana ji VICTIMIZE kuwa mkewe ndo mwenye makosa, anamnyanyasa kumtelekeza mume na nyumba na kuanza mbele! All in all ukweli anao rohoni!

You know life is all about decisions you make each and every day. An average person makes about 7000 decisions everyday. That includes decision of NOT TO DECIDE. And one has to be responsible for the decisions he/she makes on a daily basis. Remember one thing, if you decide to live in lies in your marriage you have to accept the consequences of your decision. It will be a marriage full of lies/deceptions for the rest of your life. If you fear "cleaning out your closet" by being true, one way or another the dirty in your closet will eventually come out when it is full. Mark my word. There will be disaster when that happens. Just remember one thing, truth always finds its way out no matter how well it has been hidden.

Qn: Would you rather find the truth yourself or be told about it by your partner? And if it happens you find it yourself in your own way (which always is bound to happen) what will be the role of trust that you are so demanding from your partner?

One thing about the medicine is that it doesn't have to be good in shape, sweet in taste or presentable in look. It only performs that which it was created for and bring healing to the sick and bring freedom from sickness. That's what truth does in our lives. There you have it for you to chew. You can spit it if its bitter. This is my take lara 1
 
Last edited by a moderator:
PROBLEM SOLVED!!!!!!!!
Jana mchana nilimpiigia mshkaji wangu mmoja anakaa magomeni anapenda kunywa baa za magomeni polisi, nikamueleza aniunganishe kwa rafiki zake Polisi. Akaniambia kazi ndogo sana hiyo nikitoka kwa ofisi nimfuata magomeni.

Nilipofika nikakuta Askari wawili na mshkaji nikawapa habari wakaniambia palepale nimpigie simu na nijifanye nipo tayari kulipa lakini anipunguzie nina kilo tatu tu, demu akagoma na kudai mwisho kilo4, then tukapanga tukutane baa fulani kwa makabidhiano. Wakaniambia sasa twende polisi ukaripoti upate na RB ili demu asije akaleta ujuaji

Tulipofika eneo la tukio mimi nikakaa nje askari ndani, baada ya yule demu kuingia akiwa na shoga yake wakakaa na kuagiza vinywaji mara askari polisi wakatokea, mpochini ya ulinzi kwa wizi wa simu mbili, pesa, pete na Laptop wanahitajika kituoni
Demu akataka kuleta za kuleta akatolewa maganda ikabidi awe mdogo, wakabebwa kwenye gari ya kukodi, ilibidi wabebwe wote maana inawezekana pete ikawa kwa yule mwingine na nia ilikuwa wakibisha wapekuliwe na kukutwa na kithibiti

Walipokuwa wanaelekea kituoni askari wakawaambia mimi nimemshtaki kwa wizi huo so kama hataki mambo yawe makubwa ni bora watoe hiyo pete wao watajua jinsi ya kuongea na mimi maana mimi nimedhamiria kumfunga na wanauhakika hiyo pete imo kwenye begi la mmojawao. Ikabidi wakubali kutoa pete na wakawahonga Polisi elf60 wafanye juu chini kumaliza mambo yasiende mbali.
Wakaonywa wasijaribu kufanya ujinga wowote ikiwemo kumpigia wife maana kesi inaweza kuendelezwa na wao watashindwa kuwatetea

Wakaachiwa, tukakutana nao polisi wakanipa pete yangu wakaniambia nijihukumu mwenyewe nitatoa ngapi, Nikawapa Kilo moja
ukijumlisha na elf60 za yule mshenzi jamaa wakanza kulapombe mimi mbio home

Nashukuru sana kwa mawazo yenu sasa mnaruhusiwa kunipiga madongo muwezavyo as long as problem solved
Thank you JF
 
Mshahara wa dhambi ni mauti. Ulidhani ni mjanja kumhadaa dada wa watu kwa kuvua Pete ya ndoa ili uendelee kumfaidi lakini Mungu amekataa. Starehe ya dakika chache imekuletea maumivu ya kila siku, onyo kwa wengine kama wewe.
 
Thanx
we learn through mistake
 
Thanx
we learn through mistake
Ningekuwa wewe kuliko kutoa hizo laki tano kwa huyo malaya ningeingia kwa sonara kimyakimya kabla mambo hayajawa wazi kwa mke na kuchukua nyingine tena kwa gharama nafuu kuliko hiyo anayotaka huyo Malaya. Tuone ataipelekaje kwa mke wangu wakati kidoleni nina pete na sijui atajielezaje mpaka aeleweke bila kushushiwa mvua ya makucha.
 
PROBLEM SOLVED!!!!!!!!
Jana mchana nilimpiigia mshkaji wangu mmoja anakaa magomeni anapenda kunywa baa za magomeni polisi, nikamueleza aniunganishe kwa rafiki zake Polisi. Akaniambia kazi ndogo sana hiyo nikitoka kwa ofisi nimfuata magomeni.

Nilipofika nikakuta Askari wawili na mshkaji nikawapa habari wakaniambia palepale nimpigie simu na nijifanye nipo tayari kulipa lakini anipunguzie nina kilo tatu tu, demu akagoma na kudai mwisho kilo4, then tukapanga tukutane baa fulani kwa makabidhiano. Wakaniambia sasa twende polisi ukaripoti upate na RB ili demu asije akaleta ujuaji

Tulipofika eneo la tukio mimi nikakaa nje askari ndani, baada ya yule demu kuingia akiwa na shoga yake wakakaa na kuagiza vinywaji mara sakari polisi wakatokea, mpochini ya ulinzi kwa wizi wa simu mbili, pesa, pete na Laptop wanahitajika kituoni
Demu akataka kuleta za kuleta akatolewa maganda ikabidi awe mdogo, wakabebwa kwenye gari ya kukodi, ilibidi wabebwe wote maana inawezekana pete ikawa kwa yule mwingine na nia ilikuwa wakibisha wapekuliwe na kukutwa na kithibiti

Walipokuwa wanaelekea kituoni askari wakawaambia mimi nimemshtaki kwa wizi huo so kama hataki mambo yawe makubwa ni bora watoe hiyo pete wao watajua jinsi ya kuongea na mimi maana mimi nimedhamiria kumfunga na wanauhakika hiyo pete imo kwenye begi la mmojawao. Ikabidi wakubali kutoa pete na wakawahonga Polisi elf60 wafanye juu chini kumaliza mambo yasiende mbali.
Wakaonywa wasijaribu kufanya ujinga wowote ikiwemo kumpigia wife maana kesi inaweza kuendelezwa na wao watashindwa kuwatetea

Wakaachiwa, tukakutana nao wakanipa pete yangu wakaniambia nijihukumu mwenyewe nitatoa ngapi, Nikawapa Kilo moja
ukijumlisha na elf60 za yule mshenzi jamaa wakanza kulapombe mimi mbio home

Nashukuru sana kwa mawazo yenu sasa mnaruhusiwa kunipiga madongo muwezavyo as long as problem solved
Thank you JF

ha ha haaaa, haya bana tukupe hongera kwa kusolve hiyo kitu, lakini hilo ni funzo tosha kwako na kwa wengine..ila nyie wanaume bana mnanishangazaga sana, we unawezaje kutembea na mtu umekutana nae siku hiyo hiyo tu, ulijiandaa? ulitumia kinga? haya sasa km amepata mimba utafanyaje na umeshaliharibu? mambo mengine jamani tumieni vichwa vya juu na sio vya chini mnatupa shida wake zenu kwa makosa ya kijinga km haya
 
You did the right thing, maana ungemwambia mkeo hilo lingekuwa donda ndugu haliishagi
Next time try to play wisely
 
Wadau nipo njia panda naombeni ushauri wenu, nimefanya kosa kubwa na nalijutia
Tafadhali naomba ushauri badala ya kunituhumu

Mwezi nilikuta na demu mmoja tulisoma naye chuo kitambo alikuwa demu wangu for time being, so baada ya miaka kadhaa tukaja kukuta sehemu, shetani akanipitia nikavunja amri ya sita naye

Baada ya kurudi home nikagundua sina pete, nikajaribu kukumbuka nilipoiweka sikupata majibu
Baada ya siku kadhaa yule demu akzidi kunisumbua na kutaka niwe karibu naye sana lakini nikaona si vyema maana anaweza kusababisha mtafaruku kwa ndoa yangu

Baada ya kuona nampotezea akaniambia sasa unajifanya mjanja pete yako ni nayo na nahitaji sh 500,000 cash ama sivyo naharibu kwa mkeo kwamba pete ninayo na ulinikopa.

Kibaya zaidi wife aliniuliza pete umepeleka wapi nikadanganya nimeisahau ofisini nilikuwa nafungua printer sasa pete ikawa inani disturb nikaivua , nilipoenda jumatatu nikamwambia nahisi wahudumu wa usafi wameiiba maana siiona pale nimeiweka naendelea na uchunguzi.

Mwanzo nilimpuuzia lakini mshenzi yule kapeleleza hadi wife anapofanya kazi na kapata simu yake, juzi kampigia kamwambia "naomba mkumbushie mumeo deni langu mimi xxxxx nampigia simpati" halafu akakata simu.
Niliporudi wife kanibana nikamwambia ni mambo ya kazi tu akataka kujua no yake kaipataje, nikazuga zuga na ubabe wa kiume yakaisha

Nikipiga akili nimuendee Polisi naona kama kitanuka na wife atajua
Nikifikiria kumlipa akili hainipi kabisa....kilo tano?
Sijui nimueleze wife ukweli?

Nimejaribu kumpiia simu na kumbembeleza kagoma anachohitaji ni kilo tano au aniharibie kwa wife
Tafadhali ushauri wakuu lawama na madongo hayatanisaidia

Naona ushauri wa mdau huyu umeufuata,

Njia kuu na yakijasiri ni hii,

Hela ya mwanaume huwa hailiwi kienyeji mkuu:

Kwanza:

Leo jioni ukirudi nyumbani tu jambo lakwanza mwambie mkeo kwa furaha ya ajabu "Mke wangu kipenzi, Mungu amejibu maombi yetu, mwizi wa pete nimeshampata na nimepewa na namba yake kabisa, nilipompigia anadai nimpe laki tano, lakini sasa nataka nimuonyeshe kuwa mimi ni kidume na ni mtoto wa jiji"

Wakati huo kumbuka kumuonyesha hiyo namba na kisha mwambie awe mtulivu asijaribu kumpigia ataharibu dili, mwambie sasa umeamua kumshugulikia kupitia polisi,

Pili:

Mpigie simu huyu demu na umwambie awe mvumilivu, mshahara wako wa mwezi huu ambao siku tano tu zijazo unaupokea utamlipa hela hiyo, mwambie awe mtulivu na ailinde ndoa yako nawe utamlinda na umwambie kuwa ukishamlipa hiyo hela mtaendelea kuwa wapenzi,

Tatu: kesho asubuhi nenda polisi kachukue RB

Bada ya hapo sasa misheni inaanza rasmi,

Tafuta polisi wale wanaotembea na difenda muone kiongozi wao halafu mwambie ishu nzima, atakuuliza, sasa unasemaje? Mwambie naitaka pete kutoka kwa mwanamke huyo leo hii, hakikisha umetembea na kama laki mbili hivi,

Baada ya hapo watakushauri njia nzuri za kumtia mikononi akiwa na pete yako,

Lakini sisitizi kuwa leoleo wahakikishe wanaipata hiyo pete,

Mkishaweka mipango safi, bila shaka atakupa vijana wake wawili hivi wakufanikisha dili hilo, sasa wewe unaweza kumpigia simu huyo demu na kumwambia
kuwa leo umebahatika kupata hiyo hela sasa unaomba yeye apange wapi mkutane uichukue pete yako na umpe hiyo hela yake, hapa hakikisha unatumia lugha laini asije kuustukia mchezo akasema mtumie kwa M-Pesa au Tigo Pesa,

Ili kumpoteza sawa sawa mwambie atafute hoteli yoyote ya kisasa ndipo mkutanie kwakuwa unataka kula na tunda kabisa,

Akishakubali nenda na vijana wako wakazi kachukue pete yako na salio lolote mtakalo mkuta nalo,

Jinsi ya kufika eneo la tukio na kumkamata watakuelekeza polisi kwakuwa wao wanambinu zaidi!

NB: Hakikisha kuwa mnapokutana awe na hiyo pete,

Kama upo Dar ni rahisi zaidi,

Mengine ni PM

Mwisho wa siku umefanikiwa hivi,

PROBLEM SOLVED!!!!!!!!
Jana mchana nilimpiigia mshkaji wangu mmoja anakaa magomeni anapenda kunywa baa za magomeni polisi, nikamueleza aniunganishe kwa rafiki zake Polisi. Akaniambia kazi ndogo sana hiyo nikitoka kwa ofisi nimfuata magomeni.

Nilipofika nikakuta Askari wawili na mshkaji nikawapa habari wakaniambia palepale nimpigie simu na nijifanye nipo tayari kulipa lakini anipunguzie nina kilo tatu tu, demu akagoma na kudai mwisho kilo4, then tukapanga tukutane baa fulani kwa makabidhiano. Wakaniambia sasa twende polisi ukaripoti upate na RB ili demu asije akaleta ujuaji

Tulipofika eneo la tukio mimi nikakaa nje askari ndani, baada ya yule demu kuingia akiwa na shoga yake wakakaa na kuagiza vinywaji mara askari polisi wakatokea, mpochini ya ulinzi kwa wizi wa simu mbili, pesa, pete na Laptop wanahitajika kituoni
Demu akataka kuleta za kuleta akatolewa maganda ikabidi awe mdogo, wakabebwa kwenye gari ya kukodi, ilibidi wabebwe wote maana inawezekana pete ikawa kwa yule mwingine na nia ilikuwa wakibisha wapekuliwe na kukutwa na kithibiti

Walipokuwa wanaelekea kituoni askari wakawaambia mimi nimemshtaki kwa wizi huo so kama hataki mambo yawe makubwa ni bora watoe hiyo pete wao watajua jinsi ya kuongea na mimi maana mimi nimedhamiria kumfunga na wanauhakika hiyo pete imo kwenye begi la mmojawao. Ikabidi wakubali kutoa pete na wakawahonga Polisi elf60 wafanye juu chini kumaliza mambo yasiende mbali.
Wakaonywa wasijaribu kufanya ujinga wowote ikiwemo kumpigia wife maana kesi inaweza kuendelezwa na wao watashindwa kuwatetea

Wakaachiwa, tukakutana nao polisi wakanipa pete yangu wakaniambia nijihukumu mwenyewe nitatoa ngapi, Nikawapa Kilo moja
ukijumlisha na elf60 za yule mshenzi jamaa wakanza kulapombe mimi mbio home

Nashukuru sana kwa mawazo yenu sasa mnaruhusiwa kunipiga madongo muwezavyo as long as problem solved
Thank you JF

Kweli jf ni chuo,
 
Jf inatisha yaani tayari issue ishaisha lkn jitahidi kuacha huu mchezo mchafu si vema kumsaliti mkeo. Chukua tukio hili kama fundisho kwako na uwaelimishe na wengine.
 
dada umenena vema babisa!
Pole kwa yaliyo kusibu. Tendo ulilofanya la kumsaliti mkeo halikua zuri. Sasa unachoweza kufanya ni kumwambia mkeo ukweli na kwa uangalifu Unaweza kumwambia jinsi ulivyokutana na huyo dada lkn usigusie kama mlizini manake hiyo inauma sana jaribu kukwepesha eneo hilo na ujitahidi kusema ukweli kwa 90% ili huyo dada akose cha kusema . Mwisho kabisa baada ya kupatana na mkeo muombe yeye aifuatilie pete hiyo.
 
PROBLEM SOLVED!!!!!!!!
Jana mchana nilimpiigia mshkaji wangu mmoja anakaa magomeni anapenda kunywa baa za magomeni polisi, nikamueleza aniunganishe kwa rafiki zake Polisi. Akaniambia kazi ndogo sana hiyo nikitoka kwa ofisi nimfuata magomeni.

Nilipofika nikakuta Askari wawili na mshkaji nikawapa habari wakaniambia palepale nimpigie simu na nijifanye nipo tayari kulipa lakini anipunguzie nina kilo tatu tu, demu akagoma na kudai mwisho kilo4, then tukapanga tukutane baa fulani kwa makabidhiano. Wakaniambia sasa twende polisi ukaripoti upate na RB ili demu asije akaleta ujuaji

Tulipofika eneo la tukio mimi nikakaa nje askari ndani, baada ya yule demu kuingia akiwa na shoga yake wakakaa na kuagiza vinywaji mara askari polisi wakatokea, mpochini ya ulinzi kwa wizi wa simu mbili, pesa, pete na Laptop wanahitajika kituoni
Demu akataka kuleta za kuleta akatolewa maganda ikabidi awe mdogo, wakabebwa kwenye gari ya kukodi, ilibidi wabebwe wote maana inawezekana pete ikawa kwa yule mwingine na nia ilikuwa wakibisha wapekuliwe na kukutwa na kithibiti

Walipokuwa wanaelekea kituoni askari wakawaambia mimi nimemshtaki kwa wizi huo so kama hataki mambo yawe makubwa ni bora watoe hiyo pete wao watajua jinsi ya kuongea na mimi maana mimi nimedhamiria kumfunga na wanauhakika hiyo pete imo kwenye begi la mmojawao. Ikabidi wakubali kutoa pete na wakawahonga Polisi elf60 wafanye juu chini kumaliza mambo yasiende mbali.
Wakaonywa wasijaribu kufanya ujinga wowote ikiwemo kumpigia wife maana kesi inaweza kuendelezwa na wao watashindwa kuwatetea

Wakaachiwa, tukakutana nao polisi wakanipa pete yangu wakaniambia nijihukumu mwenyewe nitatoa ngapi, Nikawapa Kilo moja
ukijumlisha na elf60 za yule mshenzi jamaa wakanza kulapombe mimi mbio home

Nashukuru sana kwa mawazo yenu sasa mnaruhusiwa kunipiga madongo muwezavyo as long as problem solved
Thank you JF

Aisee......hiyo yako ilikuwa hatarii saaana,basis mshukuru Mungu
 
aisee nimecheka hadi tumbo linaniuma jamani, yaani dhambi kweli ni hatari/mbaya. Hilo ni fundisho kutoka kwa Mungu kwamba heshimu ndoa yako la sivyo utaaibika aisee, pole ila tubu kwa kusaliti ndoa yako
 
Ila siku nyingine ushauri wa jinsi wa kumkamata mwizi naomba muuote kwenye PM...Maana unaweza kukuta dada mwizi wa pete naye ni member JF!
 
PROBLEM SOLVED!!!!!!!!
Jana mchana nilimpiigia mshkaji wangu mmoja anakaa magomeni anapenda kunywa baa za magomeni polisi, nikamueleza aniunganishe kwa rafiki zake Polisi. Akaniambia kazi ndogo sana hiyo nikitoka kwa ofisi nimfuata magomeni.

Nilipofika nikakuta Askari wawili na mshkaji nikawapa habari wakaniambia palepale nimpigie simu na nijifanye nipo tayari kulipa lakini anipunguzie nina kilo tatu tu, demu akagoma na kudai mwisho kilo4, then tukapanga tukutane baa fulani kwa makabidhiano. Wakaniambia sasa twende polisi ukaripoti upate na RB ili demu asije akaleta ujuaji

Tulipofika eneo la tukio mimi nikakaa nje askari ndani, baada ya yule demu kuingia akiwa na shoga yake wakakaa na kuagiza vinywaji mara askari polisi wakatokea, mpochini ya ulinzi kwa wizi wa simu mbili, pesa, pete na Laptop wanahitajika kituoni
Demu akataka kuleta za kuleta akatolewa maganda ikabidi awe mdogo, wakabebwa kwenye gari ya kukodi, ilibidi wabebwe wote maana inawezekana pete ikawa kwa yule mwingine na nia ilikuwa wakibisha wapekuliwe na kukutwa na kithibiti

Walipokuwa wanaelekea kituoni askari wakawaambia mimi nimemshtaki kwa wizi huo so kama hataki mambo yawe makubwa ni bora watoe hiyo pete wao watajua jinsi ya kuongea na mimi maana mimi nimedhamiria kumfunga na wanauhakika hiyo pete imo kwenye begi la mmojawao. Ikabidi wakubali kutoa pete na wakawahonga Polisi elf60 wafanye juu chini kumaliza mambo yasiende mbali.
Wakaonywa wasijaribu kufanya ujinga wowote ikiwemo kumpigia wife maana kesi inaweza kuendelezwa na wao watashindwa kuwatetea

Wakaachiwa, tukakutana nao polisi wakanipa pete yangu wakaniambia nijihukumu mwenyewe nitatoa ngapi, Nikawapa Kilo moja
ukijumlisha na elf60 za yule mshenzi jamaa wakanza kulapombe mimi mbio home

Nashukuru sana kwa mawazo yenu sasa mnaruhusiwa kunipiga madongo muwezavyo as long as problem solved
Thank you JF

usirudie tena sasa kuchumachuma mwishowe umechuma mgagani mboga ya wachawi upate mabalaa tene
 
Back
Top Bottom