Pete ya ndoa inaniponza......mawazo yako tafadhali

Pete ya ndoa inaniponza......mawazo yako tafadhali

Nimesoma posts zote na bhange la leo halinitumi cha kushauri aisee.

Hiviiii? Ulikumbuka condom? Manake kama huyu ex alishaingia kwenye ujasiria mali na hakukuonya kabla, lazma atakuwa na mengine tu isiyoyajua!
 
Sidhani kama ni sahihi kumwita huyo mdada Malaya..................Blackmailer sawa but not Malaya kwa sababu kama Malaya hata huyu mwanaume anaqualify kuitwa Malaya. Kisa cha kutoka nje ya ndoa yake ni nini. Malaya ni huyo mwanaume besides hajasema alivyomtongoza huyo mwanamke anayedai alikuwa wake wa zamani alimwambia nini..............


ndo maana mwisho wa post yangu nimemtukana kimoyomoyo(sikutaka ma admin wasikie coz wangeniban).nadhan tusi nililompa linamqualify moja kwa moja kuwa malaya kama huyo mdada.kifupi ni kwamba,wote ni malaya ila nimewataja kitofauti
 
Nilipendekeza amtume mkewe kwa kutaka kumjulisha huyo mwanamke kua hata mkewe issue yao anaifahamu so asiendelee kumtishia kwamba atamshitaki kwa mkewe na kumharibia. Otherwise huyu ndugu anapaswa kuchmbua kwa kina mawazo mbali mbali yaliyotolewa na wadau hapa jukwaani na mwisho aone nini anaweza kufanya au lipi ni jepesi kwake kufanya. Najua kila mdau ana nia njema ya kutaka kumsaidia mhanga . Halafu bora umegusia mambo ya acid so wawe careful.

Mawazo yetu yote mazuri- wengine wanaweza kusema kujumuika kimawazo ni kuzuri hata kama mawzo yatakayotolewa yatakuwa mabaya- ni uangalifu wa kuyaboresha tu.

Mazuri zaidi ni haya yanayompa uwanja mhusika mwenyewe aamue kwa mujibu wa mambo anavyoyaona mwenyewe, kwa maana sisi tutabaki washauri tu, uamuzi wa mwisho anao mwenyewe, na sisi hatuwezi kujua kama anavyojua mambo haya yeye.

Umeongelea vizuri suala la wepesi, kuna tutakayoona mepesi yeye akayaona magumu, na tutakayoona magumu yeye akaona mepesi.

Nimetoa msimamo wangu tu, kwamba, nikikosea, siwezi kumtuma mke/hawara/rafiki wa kike eti aende kukomboa mali au kusawazisha, kamwe si kwa aina hii.

Itakuwa kuongeza aibu (ya kumtuma aliyekosewa kusawazisha) juu ya aibu (ya kumkosea awali).
 
Nimesoma posts zote na bhange la leo halinitumi cha kushauri aisee.

Hiviiii? Ulikumbuka condom? Manake kama huyu ex alishaingia kwenye ujasiria mali na hakukuonya kabla, lazma atakuwa na mengine tu isiyoyajua!

Walijikuta watupu
 
Hivi kwani ukigegeda...pete inazuia nini.??, kisa kilichokufanya uivue.?? Kila mtu atajiuliza hilo swali kwann uvueee...
Watahis kitu tu

Ameivua kwa sababu anapoiona wakati anazini anakumbuka ahadi waliyowekeana na mkeo mbele ya madhabahu, dhamira na nafsi lazima vimsute.
 
Yaani wewe wakati wa kunjunji unajiangalia vidole! Aisee
Ameivua kwa sababu anapoiona wakati anazini anakumbuka ahadi waliyowekeana na mkeo mbele ya madhabahu, dhamira na nafsi lazima vimsute.
 
Nakushauri wewe I mwanaume, msome mkeo kwanza kama anacho kifua na akili ya kuelewa wanawake wengine sie hatuna dogo ukishakiri basi ntakuona kila siku wewe ni mhalifu hata nkijakukuomba unikate kucha za miguuni wakati nina mimba ukigoma ntarelate na kosa lako ulilofanya miaka kumi ilopita. Msome mkeo kama anacho kifua cha ustahimilivu na uelewa basi mketishe chini mweleweshe, mwambie ni kosa unakubali na halitorudia tena nisaidie tufanyeje. Kama si mwelewa ni mtu kama MwanajamiiOne hapa basi minya, deal na hiyo issue kiume uue soo.

Unafikiri ni rahisi kihivyo mwanaume kukubali na kukiri,, mwenyewe keshasema kuwa alishagatumia mfumo dume kumlaghai mkewe kuhusu pete ya ndoana yake.... hapo kwenye black bold....hiyo toleration haiishi daima, kila ukijichanganya kdg, lazima ukumbushwe.....
Aende polisi amkamatishe rushwa in blackmail.....
 
Nimejaribu kumpiia simu na kumbembeleza kagoma anachohitaji ni kilo tano au aniharibie kwa wife
Tafadhali ushauri wakuu lawama na madongo hayatanisaidia

Weigh kipi expensive kati ya pete na 500,000/=?
Kisha mpe unachoona anastahili kama gharama ya kulala naye(She deserves that).

As for ur wife, go confess to the poor lady....Amejitolea maisha yake kwa ajili yako she deserves to know who her husband has turned out to be.
Maadam umesema ni kosa price utakayolipa kwa mkeo na kwa huyo mwanamke itakukumbusha siku nyingine tabu itakayokupata pindi tu ukishikwa na hamu ya kufanya hivyo (Kiukweli the best way ya kujua extent ya huo uovu ni kuface the consequences. Be a man enough to do that. Uone kama utarudia)
 
bro,hakuna kitu kibaya kama kuiyumbisha ndoa yako,fanya hivi,chukua hiyo laki 5 mpelekee huyo malaya akupe pete yako,uwe umeandaa polisi ambao utawastua baada ya kukabidhi hiyo hela na wewe kupata pete yako.huna haja ya kumpeleka mbalia au kituoni,baada ya kumkamata wamwambie anatuhumiwa kwa kosa la kuku "blackmail"ili ajipatie fedha.ni kosa tosha sana la kumfikisha mtu mahakamani.so aamue kwenda mahakamani kwa kuwa ushahidi wa kuchukua pesa upo(pesa iwe ni kithibiti cha rushwa aliyoomba)au arudishe pesa yako na kuachiwa huru.ukitumia nguvu kumnyang'anya itaonekana umemletea maaskari ili wamnyang'anye pesa.pia aonywe kutompigia mkeo simu,enddapo atafanya hivyo tena atachukuliwa hatua.hii kitu itakapokuja bumbuluka kwa waifu we komaa na msimamo wako kuwa ni mambo ya ofisini na alikuwa anakudai fullstop.ukijichanganya ndo mwanzo wa kuiyumbisha ndoa yako.
acha umalaya 2mbavu

Ushauri wa hela ya moto ukiwa na wakora ni mzuri au akishindwa amchukulie mateja wampe "jamba jamba :fencing: :boxing:" kidgo, mbona atatepeta mwenyewe tu na kusalimisha majeshi. we mtoto wa kiume huwezi kutikiswa na huo "mvujo" kizembe zembe namna hiyo.
 
Angalia movie hii ''Derailed-Jennifer Aniston/Owen.... don't ever negotiate with a criminal, esp. Blackmail, they never get satisfy ...
 
Kesi ndogo hio,
Kwanza wife ulipaswa umwambie pete imepotea ulipoitoa kufanya kazi ambayo uliona si vma kufanya huku umevaa pete kama ulivyosema. Na huo ndio ungekuwa msimamo wako straight.
baada ya hapo huyo kahaba akikomaa kutaka 500,000/=, unamwambia afanye analoweza au analotaka. Na wewe hapo kwa wife ungeendelea na msimamo ule ule na kusisistiza kuwa hujui kapiata wapi na huna hakika kama ile pete ni yako kweli. Unaongeza kuwa huyu ni kahaba tu anataka kutuharibia na kwamba huwa unamwona akipita maeneo ya ofisi yako.
 
Mkuu unafahamu kitu inaitwa black mailing..

Huyo demu atakusumbua sana .. Coz haujui ana nia gani.. Huenda hata ana baadhi ya picha za tukio lenyewe.

Hivyo ukimpatia hyo kilo 5.. Inakuwa ni mwanzo tu.

.. Mwisho kabisa wenye tabia hii mtulie na wake zenu nyumbani muache kuchovya chovya ovyo.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Weeeeeeee! Usiwe zoba na kwenda kujishtaki kwa mkeo! Hii michezo ya mjini kwetu born town mbona simple sanaaaaaa! Wala hamna haja ya kwenda kujisalimisha kwa mkeo!

1. Polisi ndio Suluhisho! Tunza hizo massage anazo kublack mail umpe hio kil 5, ikiwezekana mrekodi then kahonge nusu kilo tu polisi,, unamchukua mmoja mnaenda kumuambush kwake ama kazini, anasweka ndani kwa mashtaka ya Wizi, Utapeli, Blackmail, Kujipatia feza isivo halali na ikiwezekana na madai ya fidia juu! Na ushenzi huu unamfanyia ijumaa jioni. Hapo zaman ni jatau! Siku mbili hizo za weekend lazima akulambe miguu msuluhishane!!!!!!!! Na mwanzo ni kuleta pete! Na kesi huifuti ndo inakuwa cha kumfungia mdomo! Akisema tu nyo.ko ndo ajiandae na gharama za kesi kwa umbea tu! Nyamaaaaaaaafff!

2. Unakodisha mateja tu, wanaenda kumtikisa kidogo nyumbani kwake na kumwambia akizubutu kukukaribia wanakuja kumbaka na kumpiga picha. Wewe siku hizi ni Muuza white sugar wa kuaminika amebugi men! Kukuchezea bosi wao! Atatetemekaje sasa na kusalimisha pete kiupole! Ile amekaa ndani hodi, miteja kama 6 na visu mkononi! Kwa kino hatokucost zaidi ya nusu kilo tu.

3.Tafuta namba za wazazi wake na UKASHITAKI yote, na uwaeleze ana pete yako, na unataka kumshtaki polisi, so hata akimwambia mkeo wajiandae na kesi nzito za hapo juu, ama arudishe mmalizane.

Ujue watu wanakupima tu, Ukionekana zimejaa wananywea! Ila ukitishika na nyau hata ukitoa Kilo 5, pete hupewi na mkeo haambiwi chochote! Uzobaa wako tu.
ushaur wote huo nyie mmeshajuj huo dem amejipangaje? mimi namshauri amlipe pesa yake tu amalizane nae coz lolote atakalofanya ili kumkomoa huyo dem inaweza kuhatarisha ndoa yake. hiyo ndio garama ya uzinz bana mwache alipie halaf inawezekana naye yumo humu anasoma hiz mbinu unazopewa huku sasa cjui ikiwa hivyo utafanyaje. mbinu bora kwa cc watu wa mosh huwa tunampa halafu tunamaliza kes halafu unamwacha miez mitatu unachonga mchongo na polis anauziwa kesi mbaya anamalizia hapo milion maisha yanasonga
 
Wewe mayu, ndiyo ukome, kwa nini umemsaliti mkeo? Huo ndiyo mshahara wa dhambi. Na mnabahati mungu kawapendelea ingekuwa ukitoka nje ya ndoa inapungua kama ufutio naona wengine humu ndani wangekuwa hawana kitu peupeeeeeeeee!!!!
 
Kwani pete mpya shilingi ngapi.???? Mpk uhangaike hivyo..kachonge nyingine na iwe siri yako basiii...huyo kicheche mwenzio akikusumbua we kaushaaa jifanye pete sio ile na umshangae mara 100...ukikosea kumpa hela hiyo lk 5 ndo utakua umefungulia visa....mwache abaki nayo..mbona unaibiwa simu unanunua nyingine..mkeo akikuuliza unamwambia nimeipata....niliwapeleka wahudumu wa ofice police wameitoa full stooop na ukome next time
 
hapo kwa red ndo nini aisee, sijaelewa kitu

Valangati.........mbona rahis tu!!!!alafu mtu uliyetiana nae bhana,unaenda nae kwa mbinu hizo hizo za kutiana.Au laaaah kwa valangati.
 
Ushauri wa hela ya moto ukiwa na wakora ni mzuri au akishindwa amchukulie mateja wampe "jamba jamba :fencing: :boxing:" kidgo, mbona atatepeta mwenyewe tu na kusalimisha majeshi. we mtoto wa kiume huwezi kutikiswa na huo "mvujo" kizembe zembe namna hiyo.


mi nashangaa mshikaji anakuwa nalenale kwenye ishu nzito kama hii,mi nilitegemea aje atupe mchapo jinsi alivyomtoa huyo dada poa wake nishai..
 
Back
Top Bottom