Pete ya ndoa inaniponza......mawazo yako tafadhali

Pete ya ndoa inaniponza......mawazo yako tafadhali

kwani kuna ulazima wa kuvua pete wakati una zini na kimada wako wa nje ya mdoa?? kwa mm nisiye oa sijui taratibu but kwa ushauri wangu kama unadhani ukimweleza mkeo itakuwa ni matatizo zaid bora ukatoa tu iyo kilo 5 baba!!
 
Weeeeeeee! Usiwe zoba na kwenda kujishtaki kwa mkeo! Hii michezo ya mjini kwetu born town mbona simple sanaaaaaa! Wala hamna haja ya kwenda kujisalimisha kwa mkeo!

1. Polisi ndio Suluhisho! Tunza hizo massage anazo kublack mail umpe hio kil 5, ikiwezekana mrekodi then kahonge nusu kilo tu polisi,, unamchukua mmoja mnaenda kumuambush kwake ama kazini, anasweka ndani kwa mashtaka ya Wizi, Utapeli, Blackmail, Kujipatia feza isivo halali na ikiwezekana na madai ya fidia juu! Na ushenzi huu unamfanyia ijumaa jioni. Hapo zaman ni jatau! Siku mbili hizo za weekend lazima akulambe miguu msuluhishane!!!!!!!! Na mwanzo ni kuleta pete! Na kesi huifuti ndo inakuwa cha kumfungia mdomo! Akisema tu nyo.ko ndo ajiandae na gharama za kesi kwa umbea tu! Nyamaaaaaaaafff!

2. Unakodisha mateja tu, wanaenda kumtikisa kidogo nyumbani kwake na kumwambia akizubutu kukukaribia wanakuja kumbaka na kumpiga picha. Wewe siku hizi ni Muuza white sugar wa kuaminika amebugi men! Kukuchezea bosi wao! Atatetemekaje sasa na kusalimisha pete kiupole! Ile amekaa ndani hodi, miteja kama 6 na visu mkononi! Kwa kino hatokucost zaidi ya nusu kilo tu.

3.Tafuta namba za wazazi wake na UKASHITAKI yote, na uwaeleze ana pete yako, na unataka kumshtaki polisi, so hata akimwambia mkeo wajiandae na kesi nzito za hapo juu, ama arudishe mmalizane.

Ujue watu wanakupima tu, Ukionekana zimejaa wananywea! Ila ukitishika na nyau hata ukitoa Kilo 5, pete hupewi na mkeo haambiwi chochote! Uzobaa wako tu.
lara 1, huu mchezo unaomfundisha mwenzio in the end ukweli utakuwa umejianika kiurahisi sanaaaaaa. Ukiamua kulipeleka polisi utafanya ukweli utoke in the way you will embarass yourself. Mayu, fuata ushauri wa Ablessed. It is the only way. Ongea na mai wife wako kwa upole na umwambie kuwa hutarudia tena. Truth has a way of shaping your future actions knowing that the embarassment it will cause you in the event you happen to think of doing the same thing twice.
Hakuna malaika duniani. If she is understanding enough atakuelewa. Otherwise you need grace of God
 
Last edited by a moderator:
Wanaume acheni USALITI!!! Mnahangaika na nini??? Mnawaletea matatizo wake zenu na watoto wenu kwanini lakini?? Wake zenu wanapita mabarabarani wananyooshewa vidole maana mume wake anajulikana utupu wake na wanawake kibao, kwanini lakini mnawafedhehesha wake zenu jamani?? kama bado mnapenda kumeng'eneka na wanawake mbalimbali mlioa ili iweje?. Ndio ukome, tena ningekuwa mimi ningekudai zaidi ya hiyo laki5..mmmxxiiieeewwww!!!
 
Mdanganye kama unampa kilo 5,akikubali unamtegeshea polisi na zengwe then unarudi na mpunga wako hm,usimweleze mkeo kamwe:A S-fire1:
 
ongea na mkeo kiutu uzimaa na akuelewe! Then fanyeni mishe mishe za kupata pete. Sababu fanya ufanyavyo lazima mkeo ajue. Think twice
 
Weeeeeeee! Usiwe zoba na kwenda kujishtaki kwa mkeo! Hii michezo ya mjini kwetu born town mbona simple sanaaaaaa! Wala hamna haja ya kwenda kujisalimisha kwa mkeo!

1. Polisi ndio Suluhisho! Tunza hizo massage anazo kublack mail umpe hio kil 5, ikiwezekana mrekodi then kahonge nusu kilo tu polisi,, unamchukua mmoja mnaenda kumuambush kwake ama kazini, anasweka ndani kwa mashtaka ya Wizi, Utapeli, Blackmail, Kujipatia feza isivo halali na ikiwezekana na madai ya fidia juu! Na ushenzi huu unamfanyia ijumaa jioni. Hapo zaman ni jatau! Siku mbili hizo za weekend lazima akulambe miguu msuluhishane!!!!!!!! Na mwanzo ni kuleta pete! Na kesi huifuti ndo inakuwa cha kumfungia mdomo! Akisema tu nyo.ko ndo ajiandae na gharama za kesi kwa umbea tu! Nyamaaaaaaaafff!

2. Unakodisha mateja tu, wanaenda kumtikisa kidogo nyumbani kwake na kumwambia akizubutu kukukaribia wanakuja kumbaka na kumpiga picha. Wewe siku hizi ni Muuza white sugar wa kuaminika amebugi men! Kukuchezea bosi wao! Atatetemekaje sasa na kusalimisha pete kiupole! Ile amekaa ndani hodi, miteja kama 6 na visu mkononi! Kwa kino hatokucost zaidi ya nusu kilo tu.

3.Tafuta namba za wazazi wake na UKASHITAKI yote, na uwaeleze ana pete yako, na unataka kumshtaki polisi, so hata akimwambia mkeo wajiandae na kesi nzito za hapo juu, ama arudishe mmalizane.

Ujue watu wanakupima tu, Ukionekana zimejaa wananywea! Ila ukitishika na nyau hata ukitoa Kilo 5, pete hupewi na mkeo haambiwi chochote! Uzobaa wako tu.

ebana daaah!
unajua huyu mdada @lara1 huwa simfagiliagi, bt kwa ushauri huu, lazima kashukiwa na roho mkatatifu!
😱) excuse my french.
deliberate typing and language errors 😉
 
lara 1, huu mchezo unaomfundisha mwenzio in the end ukweli utakuwa umejianika kiurahisi sanaaaaaa. Ukiamua kulipeleka polisi utafanya ukweli utoke in the way you will embarass yourself. Mayu, fuata ushauri wa Ablessed. It is the only way. Ongea na mai wife wako kwa upole na umwambie kuwa hutarudia tena. Truth has a way of shaping your future actions knowing that the embarassment it will cause you in the event you happen to think of doing the same thing twice.
Hakuna malaika duniani. If she is understanding enough atakuelewa. Otherwise you need grace of God

WHO ON EARTH DO YOU KNOW FU.CKS ANOTHER CHICK AND CONFESS IT HIMSELF TO HIS WIFE WITHOUT BEING ASKED OR PUT UNDER SCRUTINY?????? WHO??

Dude telling your wife is the dumbest idea ever!!!!!!!!!!! IF I WERE YOU I WILL HAVE TAKEN MY CHANCES!!!!!!! Who knows fate might be on my side!

Ila out of the blue, unampigia mkeo magoti na kutubu!!!!!!!!!!!! You may kill your wife with a heart attack!

Watu wanakutwa chiu guest, kitu ready handed na anakomaa hadi mwisho WIFE ITS NOT WHAT YOU THINK IT IS! I CAN EXPLAIN!!!!!!! LOLEST! Na hata mkewe akiondoka ana ji VICTIMIZE kuwa mkewe ndo mwenye makosa, anamnyanyasa kumtelekeza mume na nyumba na kuanza mbele! All in all ukweli anao rohoni!
 
Sasa kati ya laki tano na familia yako kipi zaidi?! Kama na hili nalo ni la kuja kuuliza humu, kazi ipo!!
 
kama alivosema Lara na wengineo
huyu ni mkuki kwa mkuki, kubaliana nae mkutane mahali aje na pete na wewe uwe na fedha hizo
andaa polisi wawili tu toa kilo moja sio mbaya
akitoka hapo na hizo warning atakazopewa atajutia.
hakuna ushahidi kwa wife kuwa mlikula tundi,,,,,akili mjini kaka changamka
tena ungefanya amapema hata leo ili asijekusoma JF akashtuka
 
Imekaa kama ya kutunga. Kama ni kweli mpe tu hiyo kilo tano yaishe.
 
Mimi kwa upande wangu natofautiana na mawazo ya walio wengi, polisi hapana.Kama huyo alikuwa demu wako kitambo na siku hiyo umesuza roho.Kwa nini usimpe hiyo laki tano mkamalizana kuliko kutafuta makuu, be carefully maana you dont know what a women are capable of
 
Thanx to all JF members, issue seems to be ended
 
polee!!!! hakukumbuka kubeba na boxer huyo dada?
 
Wadau nipo njia panda naombeni ushauri wenu, nimefanya kosa kubwa na nalijutia
Tafadhali naomba ushauri badala ya kunituhumu

Mwezi nilikuta na demu mmoja tulisoma naye chuo kitambo alikuwa demu wangu for time being, so baada ya miaka kadhaa tukaja kukuta sehemu, shetani akanipitia nikavunja amri ya sita naye

Baada ya kurudi home nikagundua sina pete, nikajaribu kukumbuka nilipoiweka sikupata majibu
Baada ya siku kadhaa yule demu akzidi kunisumbua na kutaka niwe karibu naye sana lakini nikaona si vyema maana anaweza kusababisha mtafaruku kwa ndoa yangu

Baada ya kuona nampotezea akaniambia sasa unajifanya mjanja pete yako ni nayo na nahitaji sh 500,000 cash ama sivyo naharibu kwa mkeo kwamba pete ninayo na ulinikopa.

Kibaya zaidi wife aliniuliza pete umepeleka wapi nikadanganya nimeisahau ofisini nilikuwa nafungua printer sasa pete ikawa inani disturb nikaivua , nilipoenda jumatatu nikamwambia nahisi wahudumu wa usafi wameiiba maana siiona pale nimeiweka naendelea na uchunguzi.

Mwanzo nilimpuuzia lakini mshenzi yule kapeleleza hadi wife anapofanya kazi na kapata simu yake, juzi kampigia kamwambia "naomba mkumbushie mumeo deni langu mimi xxxxx nampigia simpati" halafu akakata simu.
Niliporudi wife kanibana nikamwambia ni mambo ya kazi tu akataka kujua no yake kaipataje, nikazuga zuga na ubabe wa kiume yakaisha

Nikipiga akili nimuendee Polisi naona kama kitanuka na wife atajua
Nikifikiria kumlipa akili hainipi kabisa....kilo tano?
Sijui nimueleze wife ukweli?

Nimejaribu kumpiia simu na kumbembeleza kagoma anachohitaji ni kilo tano au aniharibie kwa wife
Tafadhali ushauri wakuu lawama na madongo hayatanisaidia
Sasa kamanda ilo mbona zoezi jepesi japo linahitaji akili kidogo,umesema kwamba yeye anakung'ang'ania muendeleze uhusiano na alipokubania wewe ni kwenye pete.sasa ili kuipata iyo pete jishushe kwake na umwambie upo tayari kuwa naye.Hakikubali tu liendeleze libeneke mpaka atakapokupa pete,baadaye akikupa pete unampotezea tu.Sasa tatizo jingine ni la kumfahamu wife wako,anyway ata ukichukua pete ukammwaga na akataka kukuharibia kwa mkeo kwamba mna uhusiano,hoja yake haitakuwa na nguvu coz kidhibiti ushampoka.Wewe mwanaume bana usimpigie simu kumbembeleza,mwite ukae nae face to face,atatulia tu izo ni hasira tu za fungu la kukosa.
 
Back
Top Bottom