Nakadi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 7,778
- 7,375
Wadau,
Binafsi napenda utanashati yaani full kupendeza. Yaani nimetupia pamba Kali, saa Kali na vitu kama hivyo But now nimejikuta nina interest sana na Pete (Si ya uchumba) bali ni single tu nivae mwenyewe kama gangster kiutanashati zaidi.
So Niko na bajeti ya 50,000 hapa naweza kupata pete pure gold hasa Dar? Kitu kama hiki hapa chini.