Pete iliyotangatanga

Pete iliyotangatanga

Mshana ninakukumbuka pale Nachingwea kumbe ndiyo wewe.
 
Teh teh! Enzi hizo simu ni Motorola ya antena afu unakuta mtu kaweka ule mlio wake hapo njiani ananepa kinyama.
 
Nadhan unaweza kusema pia ni "Transfer of person's energy to another person ila inategemea strength za wewe recipient.Unakuta mwingine hiyo energy(pete/zawadi au penzi) anamiliki muda gani na pale inapokutoka upo strong kiasi gani.Ndio maana unakuta jamaa aliamua kupiga.That's reaction you get heat/hit as an aftermath.

Sio roho hiyo ni energy.Naeza kuita possessive energy.Unless your inner body is strong enough you will contain it otherwise it will shift to another person.
 
Thanks MIGUGO for the insights lakini nadhani pia kuna tofauti ndogo kati ya spirit na energy kwamba spirit ni energy the only difference ni kwamba energy haiweZi kuwa spirit
 
Nitakua ninaomba ya risiti ya zawadi mweeh!! Si kwa kutanga tanga huko
 
Sijuagi kabisa maana/faida ya pete na cheni ktk uvaaji wake tofauti na kukaririshwa kuwa ni urembo. Anaeweza kunisaidia naomba.
 
Mbali na urembo pia kuna Pete au cheni kwa ajili ya maagano.. Ama majini au mizimu wanapenda saana kuzitumia. Pia ni mapokeo tu.
 
Back
Top Bottom