Pete iliyotangatanga

Pete iliyotangatanga

hahaaaaa hiyo ilikuwa 1992 sasa hiii 2016 mbona balaaa vijana wanapenda vya bure hata kiculture cha mia tano anaomba umpe avae
 
Pete hiyo ilikuwa na maajabu yake.Jamaa alishindwa nini kuongoa bei alipwe?
 
Kuna dada yeye aliokota hereni ya dhahabu ilikuwa moja pembezoni mwa njia, akaichukua akarudi nayo nyumbani ili aipeleke kwa sonara, alijuta sio kwa vitisho alivyokuwa Napata usiku kuna watu walikuwa wanamfuata (hii ni kulingana na maelezo yake)wanataka hereni yao na irudishe palepale alipoiokota, ilikuwa balaa
 
Duuu
 
Duh! Tangu 2016 eti leo ndio naiona hii stori

"ᵀʰᵉ ᶠⁱʳˢᵗ ʳᵘˡᵉ ᵒᶠ ʷᵃʳ ᵃⁿᵈ ᵇᵘˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱˢ ᵗᵒ ᵏⁿᵒʷ ʸᵒᵘʳ ᵉⁿᵉᵐʸ"
 
Kuna wakati forum hupinduka

Jr
 
Back
Top Bottom