Pete iliyotangatanga

Pete iliyotangatanga

Mtoto hajambo ile account nipo kwenye mchakato
Doooh mbona siku nyingi hivo?,basi hizo pesa si utazinywea DOMPO au MBEGE na KITOCHI?.,mbona account sasa hivi ni simple,yaani mambo yoote ni Online au?,..YESU NA MARIA KIRUUUUUUUUUUUU,tumemalisa na tumekwisa mamii.
 
Alikuwa tumboni ndiyo katoka juzi juzi hapa kwa hiyo ndiyo mchakato rasmi waaanza
 
Alikuwa tumboni ndiyo katoka juzi juzi hapa kwa hiyo ndiyo mchakato rasmi waaanza
AISEE HONGERA MAMANGU HABARI NI TAMU KAMA MBEGE NASHINDWA KUMESA NAOGOPA NITAIMALISA MAMANGU.USISAHAU KUMPA MBEGE KIJIKO KIMOJA CHA CHAI KILA SIKU MAMA KIMARO.
 
Aisee uu uzi umenikumbusha mbaliii acha kabisa sitaki kusema mengi ila ii pete mpaka leo sijaipatia majibu
c16f6e5202390bbbacef232c3a75e780.jpg
63e1deca767f4c200253e2aef1b884ba.jpg
 
Aisee uu uzi umenikumbusha mbaliii acha kabisa sitaki kusema mengi ila ii pete mpaka leo sijaipatia majibu
c16f6e5202390bbbacef232c3a75e780.jpg
63e1deca767f4c200253e2aef1b884ba.jpg
Tupe ubuyu kidogo kwakuwa mwonekano wake tu unajieleza ni ya aina gani
 
Aisee Ina story ndefu sana na mm ni mvivu wa kuandika kwa ufupi imetengenezwa na dhahabu chafu na ni Mfano wa nyoka King cobra ilishapotea zaidi ya Mara 7 wanairudisha na malalamiko makubwa kwa awo wanayoimiliki kwa mudi ni kua uyo nyoka kuna Sasa anageiza kichwa na la zaidi woote awo walivyonirudishia nikiwauliza walijuaje anwani yangu jibu linafanana waliipata ndotoni.
Mimi sasa nisipo ivaa nakwambia dili zinafeli mbayaa japo sio kiivyo sio sawa kama nikivaa ila naipenda maana nikivaa nakua wawili sijui nielezeje ila kuna watakao nielewa
Angalizo ii Pete sio ya majini wala ya kichawa niliinunua kwenye mizunguko yangu ya holly day kwenye nchi za watu
 
Aisee Ina story ndefu sana na mm ni mvivu wa kuandika kwa ufupi imetengenezwa na dhahabu chafu na nyoka King cobra ilishapotea zaidi ya Mara 7 wanairudisha na malalamiko makubwa kwa awo wanayoimiliki kwa mudi ni kua uyo nyoka kuna Sasa anageiza kichwa na la zaidi woote awo wilivyonirudishia nikiwauliza walijuaje anwani yangu jibu linafanana waliipata ndotoni.
Mimi sasa nisipo ivaa nakwambia dili zinafeli mbayaa japo sio kiivyo sio sawa kama nikivaa ila naipenda maana nikivaa nakua wawili sijui nielezeje ila kuna watakao nielewa
Angalizo ii Pete sio ya majini wala ya kichawa niliinunua kwenye mizunguko yangu ya holly day kwenye nchi za watu
Mimi nimekuelewa vizuri sana..hiyo imeshakuwa roho yako ya pili na siku likitokea la kutokea (sikuombei mabaya )nayo itapotea mazima na isipopotea italeta shida sana kwa watakao kuwa nayo
 
Back
Top Bottom