Pestana Pub- Dodoma

Pestana Pub- Dodoma

Mi nimefurahia hiyo lugha ya Malkia mkuu...damn!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi nimeipenda hiyo misamiati ya kizungu. Ila nimeelewa kabisa kabisa story yake. anasema kuna pub hapo Dodoma ni nzuri sana, aliona hata wabunge na viongozi wengine wa serikali wanakula hapo pamoja na madreva wa magari ya mizigo. Halafu kuna wadada walilewa wakaanza kupigana hadharani, polisi wakawasomba, mmoja akang'atwa mgongoni na polisi kwa kuwa alikuwa ana kaidi kwenda kituoni, ikabidi polisi atumie risonabo pawa.....
(Raha sana mtu ukiwa unajua ki english thread kama hii unaisoma tu na kuelewa haraka bila shida yoyote)
 
Back
Top Bottom