General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,178
Hapo naona umeanza kuja sawa bibi.hebu niache huko unanitakia nn mm?
Mwisho wa mwezi nikupeleke Pizzeria ukale pizza .
Sent using Jamii Forums mobile app

Naomba Grid reference ya hiyo pub mkuu.Ni sehemu nzuri sana!itabidi ufike aisee!


Hapo naona umeanza kuja sawa bibi.
Ebu fanya uje kule uwani tusemezane...![]()
![]()
kama kawa pestana am here
Mi hata sijaelewa, nitafsirie mpendwa.
Bibi, ebu lainika basi nawewe...
Kumbe kiswahili unajua?Good man, appreciate it mkuu.
Tafadhali mfikishie huu ujumbe, ile ni biashara nzuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Bibi, ebu lainika basi nawewe...
Huu ni mwaka mwingine bibi...
Haya bibi, ebu ngoja nipambane tu nahali yangu hapa jikoni Pestana....Babu nalainikaje sasa jamani ujue unanichanganya?
Mambo yameshakuwa mengi
Sent using Jamii Forums mobile app

Haya bibi, ebu ngoja nipambane tu nahali yangu hapa jikoni Pestana....![]()
![]()
![]()
Kule ulipo weka kufuli....

Wanapatikana bibi, mimi ndie chief cooker hapa...




waoooh nitakuja kuwaungisha
Wanapatikana bibi, mimi ndie chief cooker hapa...![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()