Pesa zao za mziki zinaliwa na kina nani?

Tuwahoji naa hawa?

262455_138558696228538_100002232255306_269428_3866715_n.jpg
 
rafiki wa panya hawezi kuwa paka na rafiki wa mbwa hawezi kuwa paka..... rafiki wa majani ni majani huwezi changanya majani (bange) na mlokole moto lazima uwake hapo..... hao wote ni walevi wa bange hawana upeo na maisha yao ya kesho kwa watoto wao yatakuwaje wao wanafikiria leo tu.

Ukiona baba kavua nguo zote hadharani unadhani kuna malezi hapo ya maana kwa wanae iko siku mzuka utapanda atakun...y..a kwenye meza sebuleni na mtoto atafanya hivyo hivyo utachukua fimbo umchape???
 
Duuu! kama picha siyo "adobeshop" basi hakuna wakulaumiwa. Uvaaji na mazingira ya picha yanatosha kueleza wasifu wa ndani wa wahusika na jinsi matumizi ya pesa zao yalivyo ...
 
Bange bange bange...imesababisha mie nirostiiii...bange bange bange ........
 
Back
Top Bottom