Siku za kupata mimba ni zipi?

southernboy

JF-Expert Member
Sep 27, 2015
826
1,017
Habari wakuu. mimi naomba niulize kwani maana nmekuwa nikifatilia kalenda za ninaokuwa nao kwenye mahisiano ili wasipate mimba zisizo tarajia.

ila kwa huyu sasa wa sasahivi ndio sielewi elewi maana ameniambia yeye mzunguko wake ni siku 28 na mini nikafuatilia nikaona ni kweli.

Sasa siku tuliyokutana ni siku ya 20 tokea aanze mzunguko wake na mimi nanavyojua ni kuanzia siku ya 10 hadi ya 17 ni za hatari kwahiyo nikaona tuko salama,na yeye haelewi kusoma kalenda mimi ndio nikampa somo,

Ila sasa zinakaribia siku 33 naona yupo tuu anadunda maana huwa lazima aniambie tumbo linamuuma,leo asubuhi nimemuuliza anasema yeye bado . Embu mnisaidie wakuu mnieleweshe ni tayari au ni mabadiliko tuu maana nawaza sana hapa natamani aniambie tumbo limeanza msumbua la bleed
 
ila kwa huyu sasa wa sasahivi ndio sielewi elewi maana ameniambia yeye mzunguko wake ni siku 28 na mini nikafuatilia nikaona ni kweli.

Sasa siku tuliyokutana ni siku ya 20 tokea aanze mzunguko wake na mimi nanavyojua ni kuanzia siku ya 10 hadi ya 17 ni za hatari kwahiyo nikaona tuko salama,na yeye haelewi kusoma kalenda mimi ndio nikampa somo,

Ila sasa zinakaribia siku 33 naona yupo tuu anadunda maana huwa lazima aniambie
Kama ni 28, means ovulation yake ni siku ya 14. Ongeza siku 4 nyuma, siku 4 mbele.
Ya 20 bahati nasibu zake Mola.
 
Screenshot_20240208-214210_Instagram.jpg
 
nimetumia sana hii nimeiangalia inaonesha siku ya 20 ni salama kabisa. sasa had leo sielewi hii inakuaje

Siku ya 20 ni unlikely lakini sio kwamba haiwezekani kabisa

Kwa hiyo hutakiwi kusema siku ya 20 ni salama kabisa
 
Siku ya 20 ni unlikely lakini sio kwamba haiwezekani kabisa

Kwa hiyo hutakiwi kusema siku ya 20 ni salama kabisa
ni kweli mkuu , Ulivosema hajapata mambo yapo vizuri, ooh yule mzee wake nilishaanza kutafuta sehemu nzuri ya kukimbilia hapa tz.sahizi nitakuwa mstaarabu
 
Angalia asikubebeshe kama ni mzunguko wa siku 28 ukakutana nae siku ya 20 hamna kitu ila anaweza akakitembeza huko akuletee wewe,kuwa makini
 
Kwa mzunguko wa siku 28, siku ya hatari ni ya 14 tokea aanze MP (hata kama ali-bleed kwa siku zaidi ya 5). Epuka sana siku ya 13 hasa kuanzia saa 12 jioni hadi siku ya 15 kabla ya saa 12 asubuhi.

Note; siongelei nadharia, bali ni matokeo ya vitendo halisi.
 
Back
Top Bottom