Pesa za boom zina nini jamani?

Pesa za boom zina nini jamani?

Hakuna uchawi wowote. Zimekokotolewa na wachumi nguli wa bodi ya mikopo kiasi kwamba ukimaliza chuo huondoki na senti moja!
Yaani mkuu nimecheka balaaa hapa.

Ina maana walipiga hesabu mnoo wakaona hii kwa matumizi ya kichuo chuo itatosha.
.nadhani pesa ya kuspendia haikupigiwa hesabu
 
Punguzeni starehe, kuna wenzenu wanajenga kwa pesa hizo-hizo. Wewe endelea kupendezesha ghetto la kupanga kwa ajili ya asha boko.
Kujengea pesa ya boom huo ni uzembe na kiherehere.

Kwanini pesa ya boom uipangie matumizi mengine? ?
 
Ukiona mtu kabana pesa ya boom muangalie muonekano wake, kula yake utajua shida anazopitia
 
Nakumbuka mpaka mwaka wa pili semister one nilikwa nmehifadhi karibu l milioni moja na . KWA hilohilo boom
 
Hivi boom ndio nn...???

Maana naona hapa natengwa kabisa yani
Hyo Ni hella ya kujikimu kwa wanafunzi wa chuo kikuu chochote tz..
Na pia Ni mkopo coz lazima ulipe..
Kwa walosoma udsm boom mbili za mwanzo Ni 1048000
 
mwaka mmoja nimewez kuweka 1M ya boom na kuspend 1M hapo nimenunua nguo za kutosha sim ya maan kula nk
ukiwa moro lkn cz maish ya moro simpo sana
Safi br..ila mwaka wa pili utapunguza kidogo
Ama vp
 
Nilikuwa na wazo la biashara nijibane kwa pesa za Bumu ila bi mazaa alisema nisichanganye mambo Yani nkaona nkikaidi hapa mambo yanaweza niendea komboo nkaamua kuzila na Kununua vitu vya geto tu... Tv...sofa..kitanda...kabati..friji na mengine Mengii...!! So ishu ni kujipanga tu ukiwa unaishi hostel na unapenda mademu kila ukipata hela Uelekeo Lodge walahi hela ya bumu utaona kama ni uchawii.. Kama unapenda sana Chini panga tu geto...
 
Imekuwa aje mjomba kala pesa zako. Kuwa mwangalifu!
Ha ha ha wajomba bwanaa! Kuna cku mjomba kanpigia eti nmsaidie laki tano atarudisha baada ya wiki..nikamwambia mjomba hapa nmekauka sema TU umewahi kunipigia nilikwa na shida Kama yako..
Notes;; mjomba ukimkopa kurudisha Ni majaaliwa na haitokeagi
 
Back
Top Bottom