Pesa za boom zina nini jamani?

Pesa za boom zina nini jamani?

Day 1
Kubeti- 1000
Chai- 1500
launch - 2000
Maji- 1000
Dinar- 2500
Maji- 1000
Total 10000Tzs

10000*30 =300000TZS , Only Per month

Other expenses
- Copy
- kuhonga
- Nauli
- Michango

Kuwa na subra kijana ni kawaida sana
Nimecheka kwa sauty
 
Sasa hivi siyo boom bali mkopo. Enzi zetu boom shilingi 3,000. Unakwenda pale kwa Mama Nguruwe unatwanga bia zako ndani ya wiki moja zimekwisha. Baada ya hapo ndo unaanza kufuatilia masomo vizuri. Hakuna wasiwasi kuhusu chakula wala malazi hadi semester inakwisha unasubiri tena boom nyingine.
Nimecheka mno,bumu linaisha wiki moja
 
Boom in mipango tu!! Mfano mimi nipo mwaia Wa 2 ila kwenye akaunti yangu bado inasoma 460k. Na nimepanga nje sio kukaa hostel. Ukielewa maisha unayotaka kuishi mbona boom linabakiza chenji kabsa....
Kila siku movie mlimani city, shopping aura mall then lunch marry brown halafu unataka pesa za boom zisiwe na majini????
Kweli yan mm mwenyewe nmepanga mwaka jana nilisevu laki saba,, japo zkaliwa na uncle na mwaka huu nmesavu laki tano mpaka sasa na kunajamaaa angu yeye yupo udsm mpaka sasa kanunua ng'ombe wanne wapo home.
Kwaiyo me naona huwa ni mipango na matumiz ya mtu huska tu,,,, lakn mpaka apo sjawah enda club, wala kuwa na demu apa chuon,,, make ndio vitu hukamua sana hela kwa wajuvi wanadai ivyo
 
Imekuwa aje mjomba kala pesa zako. Kuwa mwangalifu!
 
Hapo inabidi ujipange kuanza kudanga. Hakuna namna nyingine
 
Kwan booom ni la kujengea au ni la matumiz ya mwanafunz??!!! unajua wabongo tunafeli san kwa sababu iyo tu ww umepewa boom liko budjeted kwa ajili ya masomo ww unatak ujengee, alafu ukipata sup sijui carry sijui disco unalalamika, kilichokupeleka chuoni ni kusoma biashara za nn

acheni unaaa
 
Kumbe mnapewa laki tano wenzenu tulikuwa tunapewa laki na nusu ila tuliweza kusoma na kumaliza.
Mkuu pesa ya boom ni miezi miwili miwili hiyo laki 5 ni kwa miezi miwili sawa na 250k kwa mwezi

Wanatoa 8500 kwa siku
 
Bodi wanatoa 8500 kwa siku wastani 255000 kwa mwezi.

Hii pesa wakuu ni ndogo unless uwe unapewa back up na wazee home

Unaweza kuwa huendi club wala matumizi ya ajabu ajabu lakini elfu nane ni pesa inaishia kwenye kula tu

Bado najiuliza wanaoweza kutumia less than 8500 kwa siku ikabaki ya kufanya saving wanatumia mbinu gani?
 
Hizo pesa bana ukitaka uIchukie maliza chuo ..halafu ka kama miaka mi2 ndo upate ajira utakuta deni la boom million7 halafu penarty million4 halafu jamaa walivyo n roho mbya wanakata asilimia 15% dah....hapo ndo hizi kozi za social huko tunakoelekea ukitaka oa unaomba cheti cha kupimwa ukimwi na mkopo wa bodi waweza kuta mkeo anadaiwa million 50 hasa hawa waliosoma nje
 
Bodi wanatoa 8500 kwa siku wastani 255000 kwa mwezi.

Hii pesa wakuu ni ndogo unless uwe unapewa back up na wazee home

Unaweza kuwa huendi club wala matumizi ya ajabu ajabu lakini elfu nane ni pesa inaishia kwenye kula tu

Bado najiuliza wanaoweza kutumia less than 8500 kwa siku ikabaki ya kufanya saving wanatumia mbinu gani?
Kijana ukitaka kula cafeteria utalia sana...elfu nane mwenzio ndo take hom na familia anatunza..subiri ufike mtaani
 
Kijana ukitaka kula cafeteria utalia sana...elfu nane mwenzio ndo take hom na familia anatunza..subiri ufike mtaani
Babu niko mtaani tayari nishasahau habari za boom nashukuru limeniokoa lakini back then lakini kama kuna mtu anasave kwenye 8500 kwa maisha ya sehemu kama Dar hongera zake..Mimi nilishindwa
 
Mm nimesoma Chuo sikupata Boom kwa Mwezi nilikuwa natumia laki moja tu ww unapata laki tank bado kelele kelele tu
Hapo unafeli Mwenyewe hiyo pesa ni nyingi banaa
 
Niliwahi jibana Kama 3 weeks nikasevu Kama 180,000 ....matokeo yake niliikuta imefia kwenye kutengeneza PC ndani ya siku moja...

Nlichokuja kugundua pesa haikai benki inakupa kutokuwa makini na vitu vidogo vinavyoweza kukukost.....

Since that day nikipata hela naielekeza kwenye uwekezaji wangu mdogo...

Pesa haitakiwi ikae mfukoni I wish ningejua since day One.
 
Bodi wanatoa 8500 kwa siku wastani 255000 kwa mwezi.
Hii pesa wakuu ni ndogo unless uwe unapewa back up na wazee home
Unaweza kuwa huendi club wala matumizi ya ajabu ajabu lakini elfu nane ni pesa inaishia kwenye kula tu
Bado najiuliza wanaoweza kutumia less than 8500 kwa siku ikabaki ya kufanya saving wanatumia mbinu gani?
mimi natumia elfu3 juma tatu mpaka alhamisi baada ya hapo ni elfu mbili tu kwa siku
 
Back
Top Bottom