Pesa za boom zina nini jamani?

Pesa za boom zina nini jamani?

Vyuo vya Afya, semister zao ni ndefu
Vyuo vya afya mkuu kuna semister unakula boom kama kawaida lipo juu, field 620,000, research 620,000, special fuculty ambayo inafika hadi 640,000 na zote sometime zinaingia kwa wakati mmoja, nashangaa mnalia na laki tano zenu apa
 
Huko nilishapita mkuu, lakini sikulifaidi kwa sababu ya stress za masomo
 
Matumizi ya pesa yanahitaji nidhamu ya matumizi.

Boom langu nilimsomesha dogo Advance japo nilishirikiana ndugu yangu, niligawia watu home pindi wakiwa na uhitaji.

Nilibaki na salio la karibia Milioni wakati namaliza Chuo.

Ila zilivepa zote ndani ya miezi 3 nikiwa nishamaliza chuo
 
Na balance ya 1m. Ndo nasubiri boom la nne sasa. Eniwei life is too short what can you do?
 
Hill park noma sana
Miaka hiyo nikiwa mshamba mshamba kutoka Maneromango nikaingia kunywa chai pale

Namaliza chai na andazi mbili nadaiwa karibu 3,000.

Ushamba mzigo sana kumbe kuna Yombo, Daruso, Cafe I na Cafe II na kule kwa walalahoi CoET
Mkuu Naomba utengue kauli na uombe radhi CoET sio kwa walala hoi.

NI WIVU TU
 
Mkuu Naomba utengue kauli na uombe radhi CoET sio kwa walala hoi.

NI WIVU TU
Hahahhaa kule maisha ya misosi kulikua nafuu wakati ule sijui kwa sasa kama kupo nafuu au wamepandisha bei.

Kama Cafe I &II ukikuta RB inauzwa Tsh.800 basi ukienda CoET unaweza kuta wanauza Tsh.600 kwahiyo una save 200

Life hili bhana acha tuuu
 
Jini la kwanza na huyo demu wako... unakuta wote mnapata boom sawa ila ww ndiye unamhudumia. lazima ubaki mweupe.
 
Nakumbuka boom lilivyokua linaisha mapemaa afu bado miezi kibao ndyo mpewe lingine.watu kula ilikua ni mpakani mwa mchana na usiku(mlo mmoja)
 
Yaani nilienda Loan Board kucheki deni duuuh 13 m hivi mpaka nkajiuliza hivi nilitumia kweli kiasi hicho chote? , sikusave hata mia aisee
Hata wakikuongezea huwezi kubishana nao. Na lazima deni ulilonalo ulimalize, haina jinsi.

Ila kiukweli kuna wengine hadi wanatia huruma. Unakuta mtu alichukua mkopo, bado loan board wanakatwa na kodi ya Mshahara inakatwa.
 
Yaani ila bana Mimi kusema ile kwelie boom lilinisaidia sana, I can't imagine bila boom chuo life lingekuwaje.
sema tu malipo yake sasa ndyo shida 15% kubwaa, ngoja tukomae tu lkn
 
Yaani ila bana Mimi kusema ile kwelie boom lilinisaidia sana, I can't imagine bila boom chuo life lingekuwaje.
sema tu malipo yake sasa ndyo shida 15% kubwaa, ngoja tukomae tu lkn
Boom lilisaidia wengi sana. Lilikuwa likiingia vijana hawashikiki.

Wengine tulikuwa wapole kwakuwa tulipewa pesa kwa masharti. Ndiyo maana tukajifanya watulivu.

Poleni na Hongereni pia.
 
Sijui huwaga zina nini. Kipindi nasoma nilijitahidi kubana angalau hata nikimaliza nibaki na kabalance kadogo lakini wapi. Nilipomaliza chuo na zenyewe zikapita hivi duu ni balaa.
Hahahah
 
Back
Top Bottom