Pesa za boom zina nini jamani?

Eti unakutana na Jamaa anamtoa demu wake shopping anasema waende Mr. Price!!! Humo ndani pensi tu unaikuta inauzwa 30k bado hujanunua T-shirt nayo unaambiwa 55k. Hujauliza viatu hapo!!!!!
Lazma pesa ziwe na majini kwa maana jini Wa kwanza ni matumizi ya ovyo ovyo.
Jini mkubwa ni ukosefu wa nidhamu ya matumizi .... hili tatizo ni cancer inayo tutafuna vijana wengi wa taifa hili
 
Jini mkubwa ni ukosefu wa nidhamu ya matumizi .... hili tatizo ni cancer inayo tutafuna vijana wengi wa taifa hili
Kuna marafiki zangu ukiingia ghettoni kwao kumejaa electronics kuanzia home theatre sio subwoofer, sofa sets, HD television ya inch 32, viatu kama pair 10 hivi, mabegi ya nguo matatu makubwa.
Halafu alivyo taahira anakuja kulialia kwangu nimkope pesa ya msosi.
Nikaona huyu ni mjinga Wa mwisho duniani, unanunua kila siku viatu ila msosi ndani hakuna!!!
Chuoni tunaona mambo mengi sana kuhusu bajeti mpaka matumizi ya marafiki zetu!!!
 
Hahaa haa
 
Mm nimekaa nje kuna baadhi ya gharama nimeziespace mfano:
Maji ya kunywa pamoja na lunch pamoja na breakfast vyote ni ghetto. Sasa mwingine nenda hill park au Coet upande Wa staff....
Kwahiyo kama ni geto hivyo vitu unavipata bure??

Uwe unakaa hostel au geto kama una matumizi mabaya huwezi kutokuishiwa
 
Kwahiyo kama ni geto hivyo vitu unavipata bure??

Uwe unakaa hostel au geto kama una matumizi mabaya huwezi kutokuishiwa
Labda unielewe vibaya mkuu ila nia yangu ilikuwa ni kukazia kuhusu matumizi katika vitu vyenye msingi hasa katika maisha ya chuoni.
Boom watu wanatumia vizuri sana ila pia kuna wengine tunatumia vibaya katika vitu vya ajabu.
 
Kumbe mnapewa laki tano wenzenu tulikuwa tunapewa laki na nusu ila tuliweza kusoma na kumaliza.
 
Sasa hivi siyo boom bali mkopo. Enzi zetu boom shilingi 3,000. Unakwenda pale kwa Mama Nguruwe unatwanga bia zako ndani ya wiki moja zimekwisha. Baada ya hapo ndo unaanza kufuatilia masomo vizuri. Hakuna wasiwasi kuhusu chakula wala malazi hadi semester inakwisha unasubiri tena boom nyingine.
 
Boom langu chuo hata cku li enjoy nilipataga limwanamke nilikuwa nalipenda lilikuwa linanitesa ilo bac nikawanaliongaga mpaka bac yani boom cku enjoy ila mshahara tuu na na uenjoy saiz yani ninekuwa mbahiri balaa nautumia vzr mshahara hatari.
 
Boom in mipango tu!! Mfano mimi nipo mwaia Wa 2 ila kwenye akaunti yangu bado inasoma 460k. Na nimepanga nje sio kukaa hostel. Ukielewa maisha unayotaka kuishi mbona boom linabakiza chenji kabsa....
Kila siku movie mlimani city, shopping aura mall then lunch marry brown halafu unataka pesa za boom zisiwe na majini????
Acha ubahili kazitumie pesa hata Buguruni Rozana.
 
Nipo Chuo nimekuja kuongeza ujuzi kidogo (in service). Jana nikikuwa nimeenda kula then nikaona niweke 100 kwa mpesa nimtumie mwana. Kuna visichana wawili walikuja kutoa buku 10 nikaona wananingalia mpk nikawashangaa. Ile 10 wakagawana 5 5 nikajua boom imeshakata.
 
Sasa hivi siyo boom bali mkopo. Enzi zetu boom shilingi 3,000. Unakwenda pale kwa Mama Nguruwe unatwanga bia zako ndani ya wiki moja zimekwisha. Baada ya hapo ndo unaanza kufuatilia masomo vizuri. Hakuna wasiwasi kuhusu chakula wala malazi hadi semester inakwisha unasubiri tena boom nyingine.
Hahahahaa kwamba after one week salio lote kwishnei... baada ya hapo unajikita kwenye masomo vizuri.
 
Boom langu chuo hata cku li enjoy nilipataga limwanamke nilikuwa nalipenda lilikuwa linanitesa ilo bac nikawanaliongaga mpaka bac yani boom cku enjoy ila mshahara tuu na na uenjoy saiz yani ninekuwa mbahiri balaa nautumia vzr mshahara hatari.
Hahahaaaa.... raha ya boom kuhonga! Alisikika muhenga mmoja akinena!
 
Back
Top Bottom