ANKO JEI
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 1,319
- 2,502
Aisee mimi boom ndo sijalifaidi kabisa mpaka namaliza chuo mwaka jana,nikipokea laki tano ile,maza namtumia laki 2 unusu alipe vikoba na ampeleke dogo shule,uzuri nilikua nakaa geto maza ananiagizia kipeto cha dona me zangu ugali tu,ilinipa uchungu sana wa kutafuta mishe,thank God sahv nimesimama vema,nikitaka kapiza nakula nikitaka ka nyama choma nakula.Malengo muhimu tambua wewe ni nani na unatakiwa ufanye nini acha kufata watu uliowakuta chuo,wengine kwao wako vizuri na hawajui kama kijana anapewa boom.
