Pesa inashuka sana Thamani, Tushauriane cha kufanya

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,148
11,195
kama mwaka jana ulikuwa na sh milioni 10 benki na mafuta ya diesel yalikuwa sh 2200

inamaana ulikuwa unaweza kupata lita 4,545.4

kwa sasa kwa bei ya 3200 kwa lita utapata lita 3,125

Hebu cheki hilo gepu hapo ndani ya mwaka mmoja ujue pesa yako imeshuka thamani sio kidogo ni kubwa mean kwa sasa kuiacha pesa benki tu imekaa kuja kushtuka thamani ni ndogo kupindukia , na unakuta uliitafuta kwa jasho kipindi ina thamani na siku ukija kuitoa na kupanga cha kufanya kama ujenzi utabaki unashangaa huelewi cha kufnya

angalia bei za bati,nondo,cement zimepanda kwa mda mfupi na bei inatisha

so tushauriane pesa tuifanyie nini ili ibaki na thamani
 
Ungeonekana wa maana ungekuja na mchongo wa kupata hizo pesa, maana pesa zenyewe hatuna.

Sasa tujadiri nini hapa?
 
Watu pesa hawana. Wewe unasema unazo ila zinashuka thamani. Kwanza wewe pesa umeipataje? Tufundishe na utupe mbinu ya kupata pesa. Kama pesa unayo na haina kazi itoe sadaka ili ujiwekee hazina mbinguni na Mungu atakubariki.
 
utapata inshaallah
 
Boss umeongea cha maana sana hapa ntakupa mfano kiwanja cha million 10 ikipita mwaka kinauza zaidi ya iyo Bora kufanya maaamuzi mapema
Kuna watu walinunua viwanja chato. Sijui wana hali gani kwa sasa....... Pia kuna utapeli mwingi kwenye biashara ya viwanja.......lakini kupata mteja wa kiwanja sio rahisi kama unavyodhania labda uwe na kiwanja kwenye eneo la maana na kinafaa kwa matumizi ya hela nyingi mfano Sheli
 
mh
 
Na vinauzwa kiholela kila graduates Kawa na mradi wake watajaa kule segera Sasa ivi utapeli umekuwa mkubwa
 
Back
Top Bottom