Atlast nimempata
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 282
- 455
Wiki iliyopita nilienda kituo kimoja kutaka kununua pikipiki Boxer mpya kwa bei ya 2,750,000/=. Nikawa nimepungukiwa nikaenda kujiongeza nimerudi jana naambiwa bei ni 2,950,000 kwasababu ya kupanda kwa dollar! Can you imagine wiki moja shilling inashuka thamani kwa kiwango cha 200,000 (laki mbili?) halafu unasikia SSH yuko nje ya nchi na wasanii, wanawe, mawaziri wakitumia hazina ya hela yetu!
Hivi hii nchi tunajitambua kweli? Lita moja ya petrol ni 3,750/??? Yaani 10,000/ haotoshi hata kununua lita 3 za petrol hapa Dar! Sehemu kama Bukoba sijui bei ya wese sh. ngapi? We need to do something otherwise we are already dead!